kukopesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PENDEKEZO: Taasisi za umma ziache kukopesha watumishi wake, ziwadhamini wakakope benki

    Kuna mtindo mchafu umeingia kwenye taasisi nyingi za umma wa kuwakopesha pesa watumishi wake kwa kutumia pesa za ndani za uendeshaji wa mashirika hayo kiasi ambacho kimepelekea kukwamisha ufanisi wa uendeshaji wake. Mfano halisi ni mfuko wa Bima ya afya ya taifa (NHIF). Upo ushahidi wa wazi kuwa...
  2. Software ya kuendesha biashara ya kukopesha pesa (Micro-credit system)

    Habari, mimi ni kijana ninaye jihusisha na kuunda software mbalimbali ikiwemo za simu(mobile apps) na webstite. Katika kazi zangu zilizopita, nilipata fursa ya kufanya kazi katika kampuni ya kuunda software mablimbali, ikiwemo sotware ya micro-credit. Katika kufanya kazi kwangu, niliona...
  3. Kukopesha bila kuwa na leseni adhabu faini milioni 20, jela miaka miwili

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imepiga marufuku kwa taasisi, kampuni na watu binafsi kufanya biashara ya kukopesha fedha bila kuwa na leseni ya BoT au taasisi zilizokasimishwa majukumu hayo. Wasiotii sheria inayowataka kuwa na leseni watakabiliwa na kifungo jela kisichozidi miaka miwili au kulipa...
  4. SoC03 Kuibuka kwa Taasisi/vikundi vingi vya kukopesha pesa mtandaoni: Je, wananchi wana uelewa? Usalama wa Taarifa Binafsi unazingatiwa?

    Na DON YRN. Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara, hapana, lengo ni kufichua kile kinachoonekana kipo kinyume kwenye jamii. Kumekuwa na ongezeko kubwa...
  5. Msaada wa mawazo na uzoefu kuhusu biashara ya kukopesha pesa (Microfinance)

    Ndugu wananchi, wanabodi na great thinkers wa humu JF Salaam !! Tayari mwaka 2023 umeanza kwa kasi na kama ilivyo ada tumeendelea na pilika pilika za kusaka maisha kona mbali mbali. Katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimefikiria kufanya biashara ya kukopesha pesa (Microfinance). Kiufupi ni...
  6. Sababu kwanini Matajiri wengi hawaendi Makanisani, na wakienda wanaenda wakiwa wamechelewa sana

    1. Waumini na watumishi, ombaomba. Kuna watu mabingwa wa kuscan watu wenye uwezo na kuanza kuwapiga mizinga. Wakati mtu kaja kuabudu waabuduji wenzake na watumishi wanamvizia wampige vibomu. Hali hii ikizidi inafukuza watu wenye uwezo kifedha. Inakuwa ni kero. 2. Mahubiri mengi yamelenga...
  7. Niliishi miaka kadhaa Dar kwa kukopesha watu pale Kariakoo kwa rejesho la asilimia kumi kwa siku

    Wanasema mjini akili. Miaka kadhaa nilikuwa napambana kukuza mtaji kwa kukopesha watu kuanzia elfu ishirini mpaka elfu hamsini kwa marejesho ya kila siku. Pale Kariakoo kuna watu hawana mtaji ila wanafahamu chimbo la bidhaa na wapi atauza. Walikuwa wanakuja na kuchukua hela halafu anarudisha na...
  8. BoT: Kukopesha fedha bila leseni faini Tsh. Milioni 20, jela miaka 2

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni. Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 imezuia na kukataza biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na vibali maalumu...
  9. Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  10. Waziri Mwigulu: Hatubani matumizi kwa kukopesha watu magari yanayowekewa mafuta na Serikali

    Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa. Njia pekee ya kubana matumizi ya serikali ni kwa kufanya yafuatayo: 1. Kuyafanya magari yote ya serikali yatumie gesi asilia badala ya mafuta na kuyafungia vifaa vya kuyafuatilia mienendo yao. Madereva wa magari ya serikali baadhi yao huwa wanaiba mafuta...
  11. T

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO. TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU. ●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi ●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu ●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
  12. Atakayenisaidia kufungua microfinance ya kukopesha wajasiriamali nitampa pesa

    Hi ladies & gentlemen! Vipi hii kitu inahitaji mtaji kiasi gani, na mizunguko yake ikoje mpaka kukamilika? Aliye tayari aje pm tuyajenge?
  13. Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    Habari za asubuhi JF people? Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha. Watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu. Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya: Kwa kila shilingi...
  14. Athari za kukopesha Wateja Bidhaa

    1. Kumpoteza mteja Kuna usemi usemao kumkopesha mteja ni kumfukuza. Nimesikia mara kadhaa wafanyabiashara wakisema tangu ni mkopeshe haji tena dukani kwangu, au tangu nimkopeshe anapita mbali tu. Mara nyingi mteja akishakopeshwa pesa au bidhaa haji tena kwenye biashara husika ili kukwepa kulipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…