kukimbia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kazi gani ya kiwandani kila ukienda kuomba unapata ila unaweza kukimbia kabla ya kulipwa

    Kuna jamaa yangu alikwenda kutafuta kazi kwenye kiwanda cha nondo akapata anasema ile shuruba ya mle ndani alitamani atoroke kabla hajalipwa kwa ugumu wa kazi amalipo madogo, anasema wakikutajia malipo kwa siku unakuwa bado hujajua ugumu wa kazi unajipa moyo nitakomaa ila anadai mateso yaliyoko...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa Zushu Na Diamond Anakaribia Kufikisha Billion Moja Alizopewa Kama Zawadi Ndani ya Wiki Moja Wakati CHADEMA Wanaelekea Kukata Tamaa Kukimbia

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
  3. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha wanaume kukimbia familia zao?

    Siku hizi kwenye magroup ya wanawake, Wanalalamika sana wanaume kuwa achia watoto, Na wao kutokomea kusikojilikana na kwenda kuanzisha family Nyingine huko. Je ni ugumu wa maisha,au gubu la mke,? Au ndo kuchokana?
  4. JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kukimbia Africa kimbia mbio zako zote

    Usiwashangae wamorocco kuvamia Spain, zaidi ya wamorocco 3000 wameingia Spain Kwa kuvuka bahari, licha ya Morocco kufahamika Kwa mazuri yake, ni Moja Kati ya nchi ambayo ni tofauti na nchi zetu wamepiga hatua na wametuacha mbali kidogo, lakini watu Kila siku wanazama baharini wakitafuta maisha...
  5. JamiiForums Tanzania Amnyonga mkewe kisha kukimbia na 300k

    Nimeitoa FB ============================================================================ R.I.P uyo mwanamke ndiye marehemu na huyo wapembeni ndiye alikua akiishi nae kama mume hivyo alichukua jukumu la kumuua mke wake mchana waleo akiwa shambani hivyo alipo fanya tukio alichukua simu ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naulizia wapi naweza kupata mashine ya mazoezi ya kukimbia au kutembea

    Wadau wa michezo habari zenu. Nauliza kwa hapa Dar ni wapi naweza kupata mashine ya kumfanyia mazoezi ya kukimbia au kutembea kama zile zinazopatikana gym. Naomba kuelekezwa mahali na duka lilipo.nahitaji kua nafanyia mazoezi nyumbani badala ya kwenda gym. Msaada tafadhari. Mtu akiniambia bei na...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kawaida mwili kuchoka, kuhisi homa na mafua baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia?

    Nauliza tu wakuu nisijekufa bure
  8. JamiiForums Tanzania Mganga gani anaweza Baki na Maini na Kichwa cha mtu siku zote hizo Huku akijua wenzake Wamekamatwa ? Hakuogopa kutajwa? Kukimbia ? Kuvifukia?

    Kuna Movie inachezwa na "Mfumo" kuhakikisha wananipa Nguvu Ripoti Uchwara ya CHANDE !!. Watanzania Shtukeni !!.
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini utahisi ngozi ya tumboni na Kifuani kuwasha unapoanza Kukimbia baada ya Kukaa muda mrefu bila Matizi?

    Ukikaa muda bila kufanya mazoezi halafu siku ukirudi kukimbia ukaanza kuhisi kuwasha tumboni au kifuani mara nyingi ni mwili wako una-react na kitu kinaitwa histamine. Hii ni chemical ambayo mwili huwa nayo naturally na huwa inahusika kwenye allergy au kuwashwa kwa ngozi. Unapoanza kukimbia...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Wambulu wa Tanzania hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia?

    Hawa Wambulu wa Tanzania si ni ndugu moja na wa Ethiopia? Kwanini wao hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia watutoe kimasomaso na sisi Tanzania kama taifa kimataifa?! Tanzania inabidi tutafute mchezo hata mmoja tunaouweza wa kutupa jina duniani na sisi kama majirani zetu, kimataifa sisi ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu atoa kauli ya kibabe: Mnaweza kukimbia, mnaweza kujificha, lakini mwishowe tutawapata tu

  12. JamiiForums Tanzania Ommy Fitness: Kukimbia ni zoezi baya sana lisilofaa kufanywa. Halina msaada

    Kwa mujibu wa huyu mtaalamu wa mitandaoni KUKIMBIA ni zoezi baya sana lisilofaa. Sababu aliyotoa ni kuwa mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?.. Unakubaliana naye? https://www.facebook.com/share/v/1ZnKNHuYMT/
  13. JamiiForums Tanzania Mohamed Shabalala aliona mbali sana Kukimbia Simba

    LEO NILIKUWA NA WANA SIMBA SEHEMU NA HAYA NDIO MANENO YAOOO KAKA DIDY NIKWAMBIE TU SHABALALA ALIKUWA CAPTAIN YULE JAMAA ALIKUWA CLOSE NA VIONGOZI NA KABLA YA KUONDOKA ALITOA BAADHI YA USHAURI WAKAMKATILIA AKAONA BORA AONDOKE AWACHIE SIMBA YULE BWANA AKANZA KUELEZA UKWELI WACHEZAJI WENGINE...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mpira huu hakuna kukimbia uwanjani

    Dah hii Al Ahly ya Sudan ya Libya Yaan nilifikia uamuzi wa kusema wakizingua kama afcon tutoke uwanjan Ila.kwa mpira huu tutakufa nao
  15. JamiiForums Tanzania Kuna watu wengi wanao ondoka Dar kukimbia maandamano ya Gen Z Disemba 9

    Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9. Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa =========== Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Picha: Watalii wakiondoka Tanzania kukimbia maandamno ya Desemba 9

    Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30. ic
  17. B

    JamiiForums Tanzania Alphonse Simbu kukimbia New York Marathon 4 November 2025

    30 Oktoba 2025 Jiji la New York City USA Majina makubwa ya wakimbiaji mbio za marathon kyshiriki mbio hizo jumapili tarehe 4 November 2025 saa mbili asubuhi Mwamba huyo kutoka Tanzania mbali ya kutaka ushindi kwa sifa ya nchi pia kuna kitita kikubwa cha dollars za Kimarekani kutoka kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu

    Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu
  19. JamiiForums Tanzania Kupewa Ujauzito kisha mwanaume kukimbia au kukukataa maumivu yake yataongezwa zaidi na mikesha hii

    Nasikia niseme jambo moja muhimu kuhusu mtoto anayezaliwa, jambo hili ninalisema kwa unyenyekevu mkubwa na upendo mkubwa kwenu dada zangu. Najua si wote walipenda kuwa na hali walizonazo sasa za kupewa mimba au ujauzito kisha wakaachiwa watoto hapo na wanaume waliowapa ujauzito. Ukiangalia...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Itutu: Mafisadi jiandaeni kukimbia nchi tukiingia madarakani

    Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesisitiza kuwa endapo kitapata ridhaa ya kuingia madarakani, kipaumbele chake kitakuwa kuwawajibisha wote walioiba mali za umma. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 3, 2024 katika Wilaya ya Ilemela, wakati wa mwendelezo wa kampeni za mtaa kwa mtaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…