kukata tamaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. proton pump

    Ulipokuwa unataka kukata tamaa ni tukio au jambo lipi uliliona kwa mwenzako ukasema wewe afadhali ngoja usonge mbele na leo hii unefanikiwa?

    Kuna wakati umepitia au unapitia kitu fulani kinacho uchosha moyo akili mwili na nguvu zako kwa ujumla. Ukikaa chini ukitafakari au ukamwona jirani yako kwa anayoyapitia au yaliyomkumba ukasema afadhali yangu mimi. upo wakati fulani ukipita usiku au mchana unakuta mtu kalala kando ya barabara...
  2. Lugano Edom

    Fahamu kwanini hupaswi kukata tamaa katika maisha yako

    --- Hatupaswi kukata tamaa kwa sababu ni hali ya kawaida ya binadamu kupitia changamoto, lakini pia tuna uwezo wa kipekee wa kukabiliana na kuzishinda. Kukata tamaa ni kizuizi kikubwa kinachotuzuia kufikia malengo yetu na kuishi maisha yenye kuridhisha. Hapa kuna sababu kuu za kutokata tamaa...
  3. W

    Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

    Nakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa. Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitumia kujinasua kwenye kiza kama hiki...
  4. T

    Kwa nini umasikini na kukata tamaa kumeongezeka sana awamu ya sita?

    Tiririka
  5. Mshana Jr

    Hutakiwi kukata tamaa wala kulaumu

    William Shakespeare aliwahi kusema kwamba "Nililia sana nilipokuwa sina Viatu lakini nilinyamaza baada ya kukuta Mtu hana Miguu" Hivyo ndivyo ilivyo hata leo hii...Unaweza kumsimulia Mtu kitabu Kizima cha Matatizo yako halafu yeye akakupeleka kwenye Library(Maktaba) ya Matatizo yake....na huko...
  6. Tauceti Rigel

    Kizazi cha 2000 na Kuendelea Kinateseka: Manung’uniko kutoka Kitaa

    Nimeamka saa kumi alfajiri. Nimeenda kazini kwa miguu. Nimefanya kazi hadi jua kuzama. Na bado, sina chochote. Ninarudi nyumbani kwa bibi yangu,iîu nyumba ya bati zilizochoka, chakula ni ugali na maharage, umeme unakatika kila siku. Na bado watu wanasema, “Pambana kijana, mafanikio yanakuja.”...
  7. Dr leader

    Ni mwiko kukata tamaa

    USIKATE TAMAA Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa. Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake. Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa. Ni dhambi yoyote umefanya usikate tamaa hakika Mungu husamehe dhambi zote Amka sasa tuanze upya bila kukata...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Mbowe ameingiwa na hofu. Nini kimempa Hofu na kukata tamaa?

    Habari za Sabato! Nimeona Mbowe Akihojiwa na Kikeke. Kwa kweli hofu ipo dhahiri machoni mwake. Hata body language yake inamkataa akijaribu kuficha hofu yake. Ni kama amekata tamaa pakubwa. Ingawaje wafuasi wake wanahangaika kupambana, na kumtia moyo lakini jitihada Zao zimefua dafu kuondoa...
  9. Tlaatlaah

    Hotuba binafsi ya Tundu Lissu mbele ya wanaombackup huko ulaya ni ya kinyonge sana na ina dalili zote za kukata tamaa

    Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata. Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...
  10. Manyanza

    Usifikirie kukata tamaa tazama hizi picha

  11. Ben Zen Tarot

    Msije kujaribu kukata tamaa

    Usimdharau mtu hata kwenye simu.
  12. Berlin

    Najihisi kukata tamaa lakini sitokata, nitapambana

    Natumai mko salama. Ningependa kushiriki nanyi wana Jf kuhusu hali yangu ya kifedha na biashara yangu. Biashara yangu imekuwa ikifanya kazi kwa mwaka sasa, lakini mapato yameanza kupungua kutoka kiwango kilichokuwa awali hadi kufikia nusu (ni miezi mitano sasa) Nina mfanyakazi niliemlipa kila...
  13. amshapopo

    Safari ya mafanikio vs mishale mingi, kukata tamaa, kukatishwa tamaa,anasa za mwili etc ni ngumu kutoboa kama haupo imara!

    Habari wakuu, Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi kuiridhisha mioyo yetu na hali tulizo nazo. Ukitazama kiurahisi kufanikiwa na kutofanikiwa ni kama...
  14. T

    What do you see yourself in the Midst of Poverty, Suffering and Despair; Katikati ya Kukata Tamaa

    Ndani ya dimbwi la umasikini wa kutupwa, Katikati ya shida, magonjwa, sononesho la kutisha. Baada ya kukatishwa tamaa na watu uliowahamini, baada ya jamii kukuambia huwezi, huwezi kutoboa, huna uwezo, hizo ni ndoto, baada ya kuwa betrayed, je bado unafikiri utaendelea kusimama? bado unafikiri...
  15. Mturutumbi255

    Barack Obama: Jinsi ya Kutojisikia Kukata Tamaa - Simama, Chukua Hatua, na Lete Matumaini!

    Barack Obama aliwahi kusema hivi: "The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope." Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
  16. Oscar Lyrics

    Nachukizwa sana na baadhi ya watu wanye tabia ya kukata tamaa

    Salaam kwa wote, Ni kweli maisha yana changamoto nyingi hilo halina ubishi, Pia ni kweli tumeumbwa kila mmoja na uwezo wake wa kukabiliana na changamoto za maisha. Point yangu ya msingi ni kuwasihi watu wenye tabia ya kukata tamaa haijalishi unapitia chagamoto gani, iwe ni magonjwa, changaoto...
  17. Tlaatlaah

    PreGE2025 Baada ya Mchungaji Msigwa kuhamia CCM kutoka CHADEMA, unadhani kiongozi gani mwandamizi kufuata nyayo?

    Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa. Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo...
  18. P

    SoC04 Namna nilivyotaka kujiua baada ya kukata tamaa ya kuishi

    Hivi karibuni nyuzi zangu nyingi zimekuwa zikielezea hali halisi ya maisha yangu. Moja wapo ya uzi uliokuja kuokoa maisha yangu ni ule wa..... www.jamiiforums.com/threads/hivi-ni-mimi-tu-haya-maisha-yanataka-kunikataa.2210301/ Na hii ni baada ya kukuta watu wawili walionionea huruma na...
  19. Mcheza Piano

    Mo akizira au kukata tamaa, Simba inadondokea nafasi ya 4

    Wakati mashabiki wenzangu wa Simba tukiendelea kusherehekea ushindi huu, tuweke akilinini mwetu ukweli huu kuwa tajiri akizira tunayatimba.
  20. proton pump

    Tetesi: Usijisikie kukata tamaa sasa karibu humu ndani tupeane moyo kwa kutuma picha na mziki unaojenga ubongo, pia kutoa maoni yanayojenga afya

    Hivi karibu kuna nyuzi nyingi za watu kukata tamaa na kutaka kujiua, kuacha au kuachika katika mahusiano ya me na ke, biashara kugoma, kukosa kazi ya kufanya, kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki n.k Ewe mwanadamu mwenzagu hukuzaliwa kwa bahati mbaya ndani ya ulimwengu huu. Huenda unapitia...
Back
Top Bottom