kukata tamaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. proton pump

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Usijisikie kukata tamaa sasa karibu humu ndani tupeane moyo kwa kutuma picha na mziki unaojenga ubongo, pia kutoa maoni yanayojenga afya

    Hivi karibu kuna nyuzi nyingi za watu kukata tamaa na kutaka kujiua, kuacha au kuachika katika mahusiano ya me na ke, biashara kugoma, kukosa kazi ya kufanya, kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki n.k Ewe mwanadamu mwenzagu hukuzaliwa kwa bahati mbaya ndani ya ulimwengu huu. Huenda unapitia...
  2. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Je, ni vema kukata tamaa baada ya kupoteza $20 kwenye biashara?

    Wakuu . Naombeni ushauri juu ya biashara gani nifanye sasa , yaani side hustle. Kwenye moja ya uzi hapa jf kuna thread ya "Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)" Akaeleza kitu kimojawapo ni kuangalia hobby yako. Binafsi mimi ni mtu ambaye hupoteza sana...
  3. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Ulitumia mbinu gani kukabiliana na jambo gumu la kukukatisha tamaa mpaka ukalishinda?

    Katika harakati za kupambana na maisha, tunakutana na chanamoto hapa na pale ambazo wakati fulani unaweza kuona dunia imeisha na hakuna pakutokea, lakini amini kwamba hayo magumu unayopitia yana mlango wa mafanikio, usikate tamaa sababu kuna siku utapata ufumbuzi na magumu yote yabaki kama...
  4. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati kukata tamaa ni chaguo sahihi

    Habari zenu ndugu zangu, japo hatufahamiani ila uwepo wenu humu imekuwa ni faraja kubwa sana kwangu kwani mmekuwa watu wa kunipa furaha na kunifariji mara kwa mara,. Leo nimeona ni bora nisiwaache mkafa bure bila ya kulitambua hili, Ndugu yangu KUNA WAKATI KUKATA TAMAA HUWA NI CHAGUO SAHIHI...
  5. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayependa kukata tamaa, kuna moments kukata tamaa ndio kunaleta faraja

    Never give up. Watu wanafanya kila liwezekanalo kupata majibu ya changomoto zao funfact majibu hayapatikani na hali inazidi kuwa mbaya. No ones care na sio kwa sababu watu wana roho mbaya hapana kila mtu ana msalaba wake. Sometimes inabidi tuache maisha yaflow yenyewe jinsi yanavyotaka kama...
Back
Top Bottom