kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Gaidi aliyekuwa akisakwa na IDF akamatwa ndani ya Benk huko Hebron-West-Bank!!

    Vikosi vya usalama vya Israel vilifanya operesheni sahihi katikati mwa Hebron, kumkamata gaidi anayesakwa ndani ya tawi la benki. Wakiwa wamejigeuza kama wateja, wapiganaji waliofichwa kutoka Kitengo cha Duvdevan waliingia ndani kabla hajafyatua risasi. Mshukiwa, aliyehusika na shambulio la...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini akamatwa kwa madai ya kupokea rushwa na kuingilia Chaguzi

    Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo. Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
  4. JamiiForums Tanzania Mwizi amechomwa moto mtaani kwetu alfajiri ya leo. Kuna tetesi Polisi wanataka kuja kukamatwa watu, nifanyeje?

    Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie ndani wiki nzima
  5. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwachinja watoto watatu wa mke mwenza kisa mke mdogo kupendwa zaidi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa. Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

    Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa? Huyu hapa.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano (5) kati ya (7) wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kosa la kumvamia na kumpora mzungu raia wa kigeni

    Watuhumiwa watano (5) kati ya saba (7) wakamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kumvamia na kumpora raia wa kigeni ambaye mpaka sasa haijajulikana ni raia wa nchi gani. Tukio lilitokea wiki iliyopita eneo la Banda la ngozi barabara ya Nyerere road karibu na Lifemate Funiture, raia huyo wa kigeni...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto ashikiliwa na Polisi usiku wa manane Lindi

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi Kwa mujibu wa taarifa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Watu saba wakamatwa kwa tuhuma za kuteka na kumuuwa mfanyabiashara, Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu saba wanaodaiwa kuhusika na tukio la utekaji na mauaji ya Bernad Masaka (43), mfanyabiashara wa maduka ya nyama na Katibu wa Wachinjaji wa Nyama mkoani humo Juni 1, 2025 Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 3, 2025 Kamanda wa Polisi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari akamatwa kwa kumkosoa Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa

    Mhariri mashuhuri wa gazeti la Zimbabwe Independent, Faith Zaba, amekamatwa na kuzuiliwa jijini Harare siku ya Jumatano kwa kuchapisha makala ya kejeli inayomkosoa Rais Emmerson Mnangagwa, hatua ambayo imekosolewa vikali na makundi ya wanahabari na watetezi wa haki za binadamu kuwa ni shambulio...
  12. JamiiForums Tanzania Dereva mtanzania ajiua nchini Zambia baada ya kukamatwa akiiba mafuta

    Imeripotiwa na CHETE FM. Madereva wa tenki za mafuta kuweni waaminifu. Habari nzima hapo chini. ____________________________ A Tanzanian truck driver working for ANAMOL Transport Company in Dar es Salaam has died after allegedly taking his own lífe by ingèsting an unknown substance moments...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi: Sheikh Zuberi Hakutekwa Alikimbia Madeni, Akamatwa Kufikishwa Mahakamani

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa. Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Askari James Mukhwana Akamatwa na kuhusishwa na Kifo cha Albert Ojwang

    Maafisa Polisi wamemkamata Askari anayefahamika James Mukhwana kwa kuhusika na mauaji ya cha mwalimu na mwanablogu, Albert Omondi Ojwang aliyefariki akiwa kizuizini baada ya kushikiliwa kwa kuchapisha taarifa za uongo Kwa mujibu wa ripoti ya Polisi imesema kuwa Askari James wa Kituo cha Polisi...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa

    Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X. Ojwang alikamatwa Jumamosi mchana na polisi katika eneo la Kakot, Kaunti ya Homa Bay...
  16. JamiiForums Tanzania Dereva wa gari la CHADEMA adakwa kwa kusababisha ajali Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Yahaya Bakari Idd (43) mkazi wa Gongo la Mboto Mkoa wa Dar es salaam baada kusababisha ajali iliyotokea Juni 5, 2025 katika eneo la Mataa ya Tumbaku kata ya Mafisa Manispaa ya Morogoro. Taarifa ya leo Juni 6, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

    "Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
  18. JamiiForums Tanzania Governor wa Kenya akamatwa na kukutwa na Tsh. 275M ikazua taharuki. Bongo mtumishi wa umma ananunua assests za 2B na TAKUKURU inamchekea

    Nimeafatilia hili sekeseke la watumishi wetu wa umma wakijumuishwa na wakuu wa mikoa kununua viwanja huko Arusha kwa billions of shillings nikakumbua mwezi uliopita Governor wa Kenya (Kiambu County) Kimani Wamatangi, alikamatwa na kamisheni ya kupambana na rushwa ya Kenya na kukutwa na Ksh...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 International Democracy Union (IDU) imelaani kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA

    Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii za International Democracy Union (IDU), wamelaani kukamatwa kwa Golugwa, wakidai kuwa ni hatua ya kunyamazisha upinzani na kumtaka aachiliwe mara moja kwani ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Hii ni aibu kwa serikali iliyopo madarakani ya mama samia ukurasa...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Haki za Binadamu: Uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, unyanyasaji, na ukandamizaji wa waandishi

    Uhuru wa Kujieleza: Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari. Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…