kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea-Bissau akamatwa siku tatu baada ya uchaguzi

    Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amekamatwa na watu wenye silaha leo, siku chache baada ya uchaguzi ambao mgombea mkuu wa upinzani aliondolewa. Milio ya risasi ilisika katika mji mkuu, ingawa utambulisho wa washambuliaji bado haujafahamika. Embaló na mpinzani wake, Fernando Dias...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Marekani kuchunguza suala la raia wake kudaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania

    Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania. je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo ================= Marekani imesema...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 WARNING:⚠️Namna Serikali inavyowakamata Wanaotuma picha Za Mauaji Mtandaoni: Na jinsi unaweza kujilinda

    Bila Salamu., Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Boniface Jacob 'Boni Yai' akamatwa na Jeshi la polisi akiwa Goba DSM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Boniface Jacob (Boni Yai) muda mfupi uliopita leo, Jumamosi Novemba 08.2025 amekamatwa na Jeshi la Polisi Goba, jijini Dar es Salaam akiwa njiani kwenda kuripoti kituoni Wakili Hekima...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa akamatwa na jeshi la polisi nyumbani kwake Dar

    AMANI Golugwa, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bara, amekamatwa na jeshi la polisi, akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. ikumbukwe kuwa jeshi la polisi hapo jana lilitangaza msako wa kuwatafuta viongozi wa chama hicho. Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni muujiza viongozi kama Gwajima na Heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauaji yanayoendelea

    Ni muujiza viongozi wakina gwajima na heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauwaji yanayoendelea sisi tutakinukisha tarehe 9/12 kwa wauwaji.
  7. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kukamatwa hapana, lipo kubwa zaidi ya kukamatwa

    Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua! Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi

    Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025) Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025. Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania THRDC Walaani mwandishi wa Watetezi TV kukamatwa na kupigwa akiwa kazini

    Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith, Aliyechukuliwa tarehe 31/10/2025 na askari waliovalia kijeshi wakatiwa maandamano amepatikana ametupwa...
  10. JamiiForums Tanzania Polepole alikuwa akiishi na wasaidizi wawili lakini wakati anatekwa hawakuwepo, muda wote alikuwa nchini

    Hii ndio update ndogo niliiyoweza kuipata toka kwa wanafamilia wa Polepole
  11. JamiiForums Tanzania Kutekwa Polepole, Chama chao, kimya. Serikali, yao! Kunani? Kwanini mtufanya tuanze kubunia wakati mnaweza kujitokeza na kujibu

    Kikwete yuko kimya. Rostam yuko kimya! Samia kadhalika. Tunajua. Hawa ndiyo waliokamata na kuikamua nchi mbali na kuielekeza pabaya. Chama chao, kimya. Serikali, yao! Kunani? Kwanini mtufanya tuanze kubunia wakati mnaweza kujitokeza na kujibu. Wahusika, chonde chonde, jitokezeni mtuepushe na...
  12. JamiiForums Tanzania Hii njia ya leo aliyopita Netanyahu kuelekea Marekani, anakimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita?

    Wakuu, katika hali isiyo ya kawaida, Waziri mkuu wa Israel leo ametumia njia isiyoyakawaida kuelekea New York, kitu kilichoibua mjadala juu ya waziri mkuu huyo kukimbia kukwepa kupita katika anga la nchi za Ulaya ili kukimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita. Netanyahu aliondoka Telaviv...
  13. JamiiForums Tanzania Abiria warukia madirishani baada ya basi la mwendokasi kukamatwa na polisi kisa kuzidisha abiria

    Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi. Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo...
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yaamuru Kukamatwa kwa Raia wa Uingereza kwa Kesi ya Mauaji

    Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi: Mtuhumiwa mmoja akamatwa kwa kujifanya askari polisi, yatoa tahadhari kuelekea Dabi ya Kariakoo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kuzuia matukio ya kihalifu Jijini. Kwa ujumla usalama umeimarishwa kwa kiwango cha juu. Tarehe 11 Septemba, 2025 maeneo ya Kariakoo Ilala alikamatwa mtuhumiwa Peter Mahende Mkazi wa Ilemela Mwanza kwa tuhuma za...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Miaka 8 ya shambulizi la Lissu isiyo hata na mshukiwa dhidi ya Masaa 12 ya kukamatwa na FBI kwa muuaji wa Charlie Kirk

    Hii imekaaje wakubwa, FBI wamefanikiwa kumkamata muuaji wa Charlie Kirk wakitumia chini ya siku moja tu kufanikisha hili. Ila, miaka 8 sasa imepita tangu mnadhimu mkuu wa Upinzani Bungeni, mtu mwema na Mbunge wa wakati huo Tundu Lissu ashambuliwe, hakuna hata suspect tu hadi sasa. Hii ina...
  17. JamiiForums Tanzania Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo: Jeshi la Polisi Liache Kutumika Kisiasa, Katibu wa Jimbo la Kiwani Akamatwa

    TAARIFA KWA UMMMA "Tunaitaka Jeshi la Polisi liache kutumika kisiasa" Tumepokea taarifa, ya kukamatwa usiku mkubwa kwa Katibu wetu wa Jimbo la Kiwani Ndugu. Saleh Ali Masoud na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba na anashikiliwa katika kituo cha Polisi Madungu. ACT Wazalendo, tunalalamika...
  19. JamiiForums Tanzania Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyejifanya Msukule akamatwa na wananchi akiiba, Arusha

    Mwanamke mmoja anayedhaniwa kuwa ni msukule amekamatwa mkoani Arusha, ndani ya duka la dada mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe Mwanamke huyo alikutwa akiiba vitu mbalimbali, ikiwemo viatu na nguo, kitendo kilichowashangaza wateja na majirani waliokuwa karibu na eneo hilo ‎ ‎Mashuhuda wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…