Huwa nashangaa sana wakifika majumbani wana pelekwa moja kwa moja vyumbani bila ukaguzi, hii ni hatari.
Hakikisha siku ya kwanza house girl wako anapofika tu, step ya kwanza inabidi apekuliwe begi kujua kama kuna kitu chochote kitachohatarisha usalama wenu, Hapa akikataa ni heri mumlipie lodge...