kukabiliana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania tuache uzushi dhidi ya chanjo ya COVID -19, Je mchango wetu ni upi katika kukabiliana na hili janga?

    Mlipuko virusi vya korona mwishoni mwa mwaka 2019 umebadili kabisa mifumo ya maisha duniani. Ugonjwa huu umesabababisha athari kubwa sana katika kila sekta pamoja na kugharimu maisha ya watu. Nikutokana na athari hizo ndiposa wataalamu wengi wamekuwa wakisumbua vichwa kutafuta suluhisho ili...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

    Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza. Chanzo: Radio One
  3. JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri walimu wapya wa masomo ya Sayansi na Hesabu kukabiliana na uhaba uliopo

    Serikali inatarajia kuajiri walimu wengine wapya hususani wa masomo ya sayansi na hisabati ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo hayo katika shule za sekondari nchini. Hayo yamesemwa na waziri wa nchi ofisi ya Rais-TAMISEMI, mheshimiwa Ummy Mwalimu(mb) akiwa ziarani katika mkoa...
  4. JamiiForums Tanzania Mzazi umejipangaje kumnusuru mtoto wako anaekaribia kubalehe kwa huu utandawazi?

    Suala la ukuaji wa watoto kwa asilimia kubwa sisi wazaz ndio inabidi tuhusike pakubwa , kuwapa Watoto wetu elimu na miongozo katika hiki kipindi ni muhimu sana,tukigoma kuitoa sisi wazazi basi tutambue ya kwamba watu ambao sio sahihi ndio wanaweza kuwa walimu wake. Ni haki ya mtoto atambue kila...
  5. JamiiForums Tanzania Umri unapokuwa umeenda na hujaoa au kuolewa unakabiliana vipi na maneno ya jamii inayokuzunguka?

    Kumekuwepo na maswali Mengi katika jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile siku hizi uko wapi? Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea? Kama umesoma utaulizwa umeshapata kazi? Lakini kuna swali moja ambalo wengi wetu tukiuliza huwa hatupendi kuliongelea nalo ni...
  6. JamiiForums Tanzania SADC wakubaliana kupeleka wanajeshi kukabiliana na ugaidi Msumbiji

    Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika siku ya Jumatano umeazimia kupeleka wanajeshi nchini Msumbiji kukabiliana na kitisho cha usalama katika jimbo la Kaskazini la Cabo Delgado. Hatua ya SADC inakuja baada ya vifo vya zaidi ya watu 3,000 huku wengine...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

    Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys! Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down. Nina wasiwasi...
  8. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaahidi kuisaidia Tanzania kukabiliana na athari za Corona

    Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za ugonjwa wa Uviko 19 katika Sekta mbalimbali ikiwemo ya Utalii, biashara na bajeti ya Serikali. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alipokutana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…