kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya ndani Mhe. Bashungwa ajiuzulu mara moja

    Nakumbuka miaka 1970s hapa Tanzania kulitokeza matukio yalosababisha mauaji ya mamia ya Watz wasio na hatia kwa madai kuwa ati walikuwa ni waganga wa kienyeji, wachawi na majambazi! Lawama za mauaji hayo zilielekezwa kwa Jeshi la Polisi wakti huo Waziri wa Mambo ya Ndani akiwa Marehemu Mzee...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupoteza Kesi CAS, Mwanasheria Simon Patrick ajiuzulu rasmi

    Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025. Kupitia ukurasa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania RAIS WA TLS KUJIUZULU?

    Baada ya kushindwa kuiongoza TLS kwa ufanisi? Kutokana mwenendo wa kesi ya Lissu?
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kujiuzulu wadhifa wake

    Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kwamba atajiuzulu kutoka wadhifa wake mnamo Juni 15, akitaja jukumu la kibinafsi kwa shirika hilo kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7 la Hamas. Ikizungumza katika hafla ya ukumbusho wa wafanyikazi waliokufa wa Shin Bet, Bar inasema kwamba baada ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Heche ajiuzulu mapema, ameshindwa kazi

    Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55. Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema. Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
  6. JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona mpaka sasa Wajumbe Bodi ya Ligi Kuu hawajatangaza kujiuzulu

    Baada ya Makosa makubwa na uvunjifu mkubwa wa kikanuni uliofanywa na Bodi ya Ligi, Inashangaza kuona mpaka sasa ni Mjumbe mmoja tu ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja ambaye amejiuzulu nafasi yake na kutoka nje ya kikao baada ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa mjumbe wa bodi ya ligi inaonekana bodi hiyo ilifanya maamuzi ya kishabiki zaidi badala ya kanuni na sheria walizoziweka wao!

    Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao! Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote waandamizi wa BODI YA LIGI KUU YA NBC na TFF wanatakiwa kujiuzulu leo hii kwa kushindwa kusimamia hili sakata la mechi ya watani wa jadi

    Kwa hasira kali! Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba. Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Iran aomba kujiuzulu

    Hatimae makamo Rais wa. Iran kajiuzulu baada yakuona sera ya misimamo mikali Rais wake haifaagilii ==== Hayo yameripotiwa na Shirika la habari la Iran, IRNA ambalo limearifu kwamba Zarif, amewasilisha barua hiyo mapema leo kwa Rais Masoud Pezeshkian. Hiyo itakwua ni mara ya pili kwa Zarif...
  10. JamiiForums Tanzania Usia wa busara kutoka kwa shujaa Volodymyr Zelenskyy.

    Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy atabaki kuwa shujaa. Nukuu yake muhimu ya uzalendo hii hapa.
  11. JamiiForums Tanzania Biden alimwambia Obama Kidogo ajiuzulu

    Utawala bora Uuzwaji Bandari ya Washington DC Utekwaji wa wamarekani Uchumi ku fubaa Biden alikuwa sahihi kwamba muhula Mwingine hagombei Kama mwenza
  12. JamiiForums Tanzania ACT Wazelendo yawataka IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani kujiuzulu kutokana na vitendo vya Utekaji na mauji ya raia wasio na hatia

    "Matukio ya kuuawa, kupotea na kutekwa kwa wananchi, mwaka 2024 umeshuhudia ongezeko la vitendo vya utekwaji, kupotezwa, na hata mauaji ya wananchi wasio na hatia, visa na takwimu ya matukio zaidi ya 150 ya aina hii yamerekodiwa huku wengi wa wahanga (waathirika) wakiwa ni wanaharakati na...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ajiuzulu

    Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau Januari 6 ametangaza nia yake ya kujiuzulu kama kiongozi wa chama na kama Waziri Mkuu wa nchi hiyo mara tu baada ya chama chake kumchagua kiongozi wake mpya. Kwenye hotuba yake ambayo ameitoa muda mchache uliopita, Trudeau alisema kuwa "nchi hii...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri lasema liko tayari kujiuzulu huko Korea Kusini baada ya kushindwa kwa Amri ya Utawala wa Kijeshi

    Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Nchini Kenya ajiuzulu

    Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu tarehe 13 Novemba 2024. Kulingana na taarifa aliyoitoa leo amedai kuwa ameshawasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais wa Marekani Joe Biden na kutotaja sababu ya kujiuzulu kwake. Meg Whitman, amedumu kama balozi...
  16. JamiiForums Tanzania Deogratius Nsokolo ajiuzulu nafasi ya Urais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC)

    YAH: KUJIUZULU RASMI KWA RAIS WA UTPC Husika na kichwa cha habari hapo juu 12 Novemba 2024 Napenda kuwafahamisha kuwa tumepokea rasmi barua ya kujiuzulu kwa Rais wa UTPC Bw. Deogratius Nsokolo tarehe 10 Novemba, 2024. Baada ya kupata uteuzi na kupata wadhifa ambao kuendelea na kazi yake ya urais...
  17. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa Canterbury ajiuzulu kwa kashfa ya unyanyasaji iliyokumba Kanisa

    Askofu Mkuu wa Canterbury ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kufuatia ripoti ya kulaaniwa kuhusu mnyanyasaji mkubwa wa watoto anayehusishwa na Kanisa la Uingereza. Uchunguzi uligundua kuwa Justin Welby, 68, "angeweza na alipaswa" kuripoti unyanyasaji wa John Smyth kwa wavulana na vijana kwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Unadhani kama Spika mstaafu Ndugai angelikataa kujiuzulu , nini kingelitokea?

    1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA Wewe unasemaje?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  20. JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla: Siasa na Uongozi ni Vita, niliomba kujiuzulu mara mbili, bila kulindana mnajikuta mnamalizana

    Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele yake, na ya pili hajui iliishia wapi, lakini hakuondolewa baada ya vikao kadhaa. "Mimi nimewahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…