kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuwasha moto mitaani kwenye Maandamano Ufaransa ya kutaka Rais Macron ajiuzulu

    Zaidi ya watu 200,000 wameandamana na mamia wakamatwa nchini Ufaransa Septemba 11, 2025 kufuatia maandamano makubwa ya kitaifa yaliyoanza Septemba 10, 2025 wananchi wakipinga mipango ya kupunguza bajeti na hali tete ya kisiasa nchini humo. Vuguvugu hilo lililopewa jina “Fungeni Kila Kitu”...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sexless: Nashauri kila mzalendo ajitenge na serikali hii kwa kujiuzulu nafasi yake kama alivyofanya Polepole

    Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
  3. JamiiForums Tanzania Mo Dewji kujiuzulu kabla ya tarehe 16 Sept ameona nini?

    Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki. Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana...
  4. JamiiForums Tanzania POTOSHI Hii Taarifa ya GSM kujiuzulu ni ya mwaka 2025?

    Hii Taarifa ya GSM kujiuzulu ni ya mwaka huu?
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Serikali itamkamata Polepole kwa ajili ya barua ya kujiuzulu na kauli zake, basi huo ni udhihirisho kamili kwamba tuna serikali ya kidikteta

    Hebu niambeni, nyie wote mnaoshabikia na mnaotarajia Polepole akamatwe, akamatwe kwa kosa gani alilofanya? Hadi sasa hebu tuseme wazi, Polepole amevunja sheria ipi ya nchi? Kusema hawezi kufanya kazi na serikali inayokiuka taratibu? Au serikali yenye makandokando yasiyoeleweka kuhusu utekaji na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya barua ya kujiuzulu, Polepole atambue kwamba Press Conference ina jambo moja kwake, akisimama nchale akikimbia nchale

    Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania. Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Natamani mtu mmoja ajiuzulu

    Kusema tu ukweli nahisi mtu mmoja ajiuzulu tupone. Weka jina la unayetamani ajiuzulu hata leo.
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kujiuzulu kwa Polepole na maswali 7 yanayofikirisha

    Na. Manase Visulo Nikiri kwamba taarifa za kujiuzulu kwa Balozi wetu nchini Cuba, Balozi Polepole sio jambo lililotarajiwa wala kufikiriwa na tulio wengi. Nikwasababu hiyo naomba kuteta nanyi kwa kusema mambo Saba (7 ) ikiwa sita ni ya kufikirisha kwa kuzingatia historia ya Balozi Polepole...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

    Maria Sarungi NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️ Pole zako kaka Humphrey Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana! Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania , Muda wowote nitaijibu barua ya kujiuzulu iliyoandikwa na polepole aliyekuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba. Nitazijibu hoja zote alizoziandika katika barua yake. Nitajibu kwa kufafanua kwa undani kabisa na kuonyesha Unafiki wake wa Kiwango cha juu alichoonyesha kupitia...
  11. JamiiForums Tanzania Hii barua Ina kasoro kubwa sana ikiwemo hiyo

    Hii barua Ina kasoro kubwa sana ikiwemo hiyo. Hapo amempa Amri "mwenyekiti" atekeleze Amri husika ,hili ni kosa la "kiufundi". Utovu wa nidhamu alioonesha ni Kama vile amepishana kauli na bosi wake (mwenye kofia 2). Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza. Neno sahihi "polite language"...
  12. JamiiForums Tanzania Kukubali uteuzi wa mtu usiyempenda na kumuamini kisha baadae unajiuzuru ghafla si ni unafiki?

    Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika. Wote wamekutana ni WANAFIKI...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Jimbo la Siha kupitia CHADEMA, Robert Gabriel Mrisho ajiuzulu na Kujiondoa uanachama

    Katika barua rasmi aliyoiwasilisha kwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Siha, tarehe 24 Juni 2025, Mrisho amesema amekuwa mtumishi mwaminifu wa chama tangu mwaka 1995, akihusika katika kampeni na kushika nyadhifa mbalimbali zikiwemo Diwani na mjumbe wa serikali kwa tiketi ya CHADEMA “Nimejivunia...
  14. JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yashinikiza Mangungu kujiuzulu, Yakana kuwatambua viongozi wengine walioiwakilisha katika mazungumzo Ikulu

    Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Nasubiri kuona Yanga ikishushwa Daraja,Karia kujiuzulu (BODI YA LIGI) au Vurugu inaweza ikawa solution.

    Nazani Bodi ya ligi haitaweza kuipokonya Yanga points 15 na kuishusha daraja,na endapo ikitokea hivo Nchi nzima itakuwa kwenye fujo Barabara na Magari kuchomwa moto. Vita ya Ushabiki ni vita Nyengine kwa Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya CHADEMA ajiuzulu nafasi yake

    Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Mary Florian Joachim ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ujumbe wa Chadema, nafasi ambayo ameitumikia kwa takribani miaka kumi na tano sasa. Katika barua yake ya leo Juni 02, 2025 aliyoituma kwa Katibu wa Bodi ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Huyu bwana alisema yeye mcha mungu, hawezi kuwa sehemu ya maovu yanayofanywa kwa kisingizio cha amani na usalama na kuamua kujiuzulu nafasi yake

    Habari tulizozipata zinaeleza kwamba kiongozi mmoja wa ngazi ya juu ilifikia mahali akasema waziwazi, kwamba yeye siku zote amejitahidi sana kuwa mcha Mungu, na asingeweza kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao ulifikia hatua ya kuhalalisha kufanya maovu ya kiwango hiki kwa kudai ni kwa ajili ya...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Obote, Jimmy Akena ajiuzulu ubunge

    Jimmy Akena amejiuzulu ubunge baada ya CDF Jenerali Muhozi kupendekeza kwamba masuala yote yanayohusu haki za binadamu yataamuliwa kwa pasenti mia na Kamati Kuu ya Chama tawala, NRM, kabla ya kupelekwa Bungeni kwa majadiliano. Akena ni mtoto wa Milton Obote. Amesema Dar es Salaam hapa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kujiuzulu - Watanganyika hawapo tayari kumuona Mzanzibar akiwa Rais wa Tanzania

    Ni bora akajiuzulu na kuwakabidhi nchi yao ikiwa ipo salama kabla hawajachomana mikuki. Ni habari za mjini kutokana na hali ya Tanzania inavyoelekea nnavyoona hataki kubeba lawama huenda akaikabidhi Serikali kwa vyombo vya Jeshi hadi uchaguzi kuendesha uchaguzi na kupata Raisi Mpya. Na kila...
  20. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Côte d'Ivoire Thiam ajiuzulu kufuatia utata wa uraia wa Ufaransa

    Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Côte d'Ivoire, ambaye amezuiliwa kugombea urais katika uchaguzi wa Oktoba, amesema Jumatatu kuwa anajiuzulu kama kiongozi wa upinzani lakini bado ataongoza kampeni ya kushinda uchaguzi. Ni miezi sita kabla ya uchaguzi wa kumchagua kiongozi mpya wa nchi, kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…