kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hekima inaelekeza Jaji Mkuu kujiuzulu

    Kesi ya Mbowe na wenzake imethibitisha ubovu wa mahakama ya Tanzania. Ni dhahiri chombo hiki si huru na wala hakina uadilifu. Mahakama inashirikiana na mawakili wa Serikali kutoa nyaraka za mahakama kuwapa mashahidi wa upande wa Serikali. Jambo hili limethibitika wazi. Jambo la kushangaza ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kansela wa Austria atangaza kujiuzulu kwa tuhuma za Ubadhirifu

    Kansela wa Austria Sebastian Kurz amesema anapanga kujiuzulu kutokana na shinikizo la tuhuma za ubadhirifu, na nafasi yake itajazwa na waziri wa mambo ya nje. Kurz amekuwa akikabiliwa na tuhuma kwamba chama anachokiongoza kilitumia fedha za serikali kujiunufaisha na fadhila ya vyombo vya...
  4. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Mh. MO Simba ni kwa mujibu wa kanuni au ni kutokana na kazi zake nyingi?

    Kanuni za biashara na uwekezaji ndizo zilizomlazimisha mo kujiuzulu uwenyekiti simba au ni kwakuwa mo anasafiri sana nje ya nchi? Wenye ujuzi kwenye hili atudadavulie. Kuwa mwekezaji na kuwa mwenyekiti ni sawa?
  5. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

    Mohammed Dewji a.k.a Mo, amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kiliamua kwamba asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Club ya Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi. Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya Simba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Ni bora Freeman Mbowe ajiuzulu ili kulinda heshima yake

    Habari zenu ndugu zangu. Leo nimekuja na ushauri mzuri kwa mjomba wangu Mbowe ili umsaidie kulinda heshima yake kidogo aliyobaki nayo. Najua ni ngumu kukuubali ushauri wangu, na ukizingatia ushauri huu ni wa kumnyanganya tonge mdomoni kumpa mtu mungine, ila kama akiuangalia kwa makini ushauri...
  7. JamiiForums Tanzania Makazi ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Katika mazingira haya, Askofu Gwajima anapaswa kujiuzulu na si tusubiri kuchukuliwa hatua kuthibitisha ubunge kwake sio kitu kama alivyowahi sema

    Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Rais Samia kumpumzisha IGP Sirro

    Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sirro kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia. Tangu Rais Samia ashike madaraka inaonekana IGP Sirro hatii kabisa maelekezo ya Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Hatimaye Makamu Rais wa Shirikisho la Riadha John Bayo ajiuzulu

    Hatimaye Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) John Bayo Ajiuzulu. John Bayo amejiuzulu baada ya kusakamwa na Sakata la Vyeti Feki, ingawa yeye amedai amejiuzulu ili awe busy na familia na biashara zake. Rais wa RT, Silas Isangi amekiri kupokea barua ya kujiuzulu kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Trump amtaka Biden ajiuzulu kwa kuruhusu Taliban kuteka Afghanistan

    Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amemtaka mrithi wake, Joe Biden ajiuzulu baada ya wanamgambo wa Taliban kudhibiti Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, pamoja na Ikulu ya Rais siku ya Jumapili. Trump amemlaumu Biden kwa ‘kuruhusu’ Wataliban kutawala Afghanistan katika ushindi mwanana licha...
  12. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
  13. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania MD, Hisham Hendi resigns

    August 4, 2021, Dar es Salaam: Vodacom Tanzania announced today that Managing Director (MD), Hisham Hendi, has resigned with effect from 1 November 2021 having spent five years with the company, including two and half years as MD. Mr. Hendi will remain within the Vodafone Group of companies...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

    Taarifa Mbunge wa CCM amejiuzulu.
  15. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Vijana CHADEMA wamtaka Mbowe kujiuzulu; kesi ya ugaidi inamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa kisiasa

    Hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la vijana wa CHADEMA nchini wakitofautiana kabisa na mawazo ya mwenyekiti wao wa Taifa, hii inakuja baada ya vijana hao kuona kuna haja ya Chama hicho kuanza kujitafakari chenyewe kwanza kabla ya kuanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya ya nchi nzima. Suala...
  16. JamiiForums Tanzania Ludovick Utouh: Sijawahi wala sitakuja kujuta kuhusu ripoti ya 2012 iliyosababisha Mawaziri 8 kujiuzulu

    Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, amesema wakati wote hajawahi kujuta na wala hatakuja kujuta katika ripoti yake ya mwaka 2012 iliyosababisha mawaziri wanane kujiuzulu. Utouh ametoa kauli hiyo jijini Dodoma leo Oktoba 26, 2018 wakati akizungumzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…