kujiimarisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Ngorongoro wajengewa uwezo, wakumbushwa kujiimarisha katika masuala ya mawasiliano na itifaki za kijeshi

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea kuwajengea uwezo Watumishi wake kwa kuwapa mafunzo ya namna bora ya kusimamia masuala ya Itifaki na kuhudumia wageni mbalimbali wanaotembelea hifadhi hiyo. Kaimu Meneja Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka hiyo, Hamis Dambaya amesema kuwa kufanyika kwa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Askari wa majeshi mbalimbami wafanya mazoezi ya kujiimarisha barabarani

    Askari wa Majeshi mbalimbali mkoani Morogoro wamefanya mazoezi ya pamoja ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Uhamiaji pamoja na Jeshi la Uhifadhi. Mazoezi hayo yamelenga kuimarisha umoja katika majeshi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zaendelea kujiimarisha kwenye masuala ya uvumbuzi wa kilimo

    Tanzania na China ni nchi ambazo zimekuwa zikiimarisha uhusiano wao ulioanza tangu enzi na dahari. Uhusiano huu umejengwa katika misingi imara na isiyotikisika, ambapo mbali tu na kujikita kwenye mambo ya diplomasia, pia umeingia hadi katika miradi mbalimbali ya kilimo ambayo inawanufaisha zaidi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Exim bank yaendelea kujiimarisha kwa ununuzi wa canara bank Tanzania

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (kati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kutangaza ununuzi wa Benki ya Canara Tanzania ambayo rasmi inakuwa sehemu ya benki ya Exim Tanzania. Ununuzi huu ni wa tatu kufanywa na benki ya Exim ndani ya miaka sita iliyopita ikiwa sehemu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowanyima wapinzani agenda za kujijenga na kujiimarisha kisiasa

    Utendaji wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia serikali ya awamu ya sita anayoiongoza umekua sumu kali kwa upinzani nchini kwani umewanyima wapinzani agenda za kusimama nazo kwenye majukwaa ya kisiasa kumnanga na kumshambulia. Zaidi wamebaki kufanya siasa za kibaguzi kwa kushambulia asili...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa: Vyama vingine viendelee kujiimarisha

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amepongeza vyama 19 vya siasa kwa kushiriki kwa uwazi na utulivu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, licha ya baadhi yao kushindwa kupata nafasi mbalimbali za uongozi. Akizungumza Novemba 28, 2024, jijini Dodoma wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

    Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800. Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania 2044: Miaka Ishirini ya Kujiimarisha

    Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu katika ustawi wa nchi. Katika makala hii nimeelezea mpango wa maendeleo tunaoweza kuutumia...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa anapohudhuria msiba wenye kamera lengo lake ni moja tu, ambalo ni kujiimarisha kisiasa, vivyo hivyo kwa mwanamuziki.

    Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa kujigharamia dawa. Wote ni watu, wote ni past . Hawawezi kufanya lolote tena. Ni void na ubatili. Hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa

    MAISHA NI SAFARI YA KUJITAFUTIA MAFANIKIO: NJIA ZA KUJIIMARISHA NA KUFANIKIWA Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Karibu katika Makala hii, ambayo itajadili kwa kina ujumbe wa "Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa". Katika makala hii, tutajadili umuhimu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Mwenyekiti wa CCM 08/03/23 italenga kujenga nchi au kujiimarisha kisiasa?

    Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala. Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyotumia CCM kujiimarisha ingetumika nusu yake tu kuimarisha uchumi wa nchi tungekuwa mbali sana kiuchumi kama taifa

    Ccm inajisufu na kujitutumua kuwa ni chama kikubwa sana Afrika, kwa kuangalia historia wafuasi na mtindo wake wa kubadili viongozi wao kwa njia ya amani na utulivu. Hata hivyo makusudi makubwa ya chama chochote duniani ni kwa ajili ya kushinda uchaguzi ili kuunda serikali na kushika dola. Lengo...
  13. JamiiForums Tanzania Njia zipi nzuri ya kujiimarisha kiuchumi kwa waajiriwa?

    Natumain wazima? Kama kichwa cha habari kilivyo. Maisha yanahitaji akili ichangamke na kujituma hakuna janja janja,Kwa mlioajiriwa muda mwingi ofisi zinawahitaji muhudimie na Kwa muda sahihi ulioangwa.Mnawezaje na mnatumia mbinu gani kuweza kubalance mambo na mkakua kiuchumi na kazi zikaenda...
  14. JamiiForums Tanzania Elon Musk azidi kujiimarisha kwa utajiri duniani

    Kupitia orodha mpya ya Matajiri wa Dunia ya Bloomberg Billionaires Index, imeonesha nafasi kubwa na kiwango cha fedha alichowazidi matajiri wengine.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC nashauri hizi Mechi zenu tatu za Kirafiki za Kipaumbele kiwe ni Kujiimarisha Kiufundi, Kujifunza na siyo Kushinda

    Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Uongozi wa Simba SC kwa kuamua kutafuta Mechi Tatu Kubwa za Kirafiki za Kimataifa hasa katika Kipindi hiki cha Mapumziko cha Wiki Mbili. Tarehe 28 August 2022 Simba SC itacheza na Wanaojua Mpira Asante Kotoko huko nchini Sudan. Tarehe 31 August 2022 Simba SC...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Poland yajitwika mzigo wa madeni ili kujiimarisha kijeshi

    Kwa kile kinachoonekana kama kupaniki,kujishtukia & kupatwa na uoga nchi maskini ya Ulaya,Poland imeamua kufanya maamuzi ya ajabu ya kutumia mbinu zozote zile ikiwemo kukopa hovyo ili kuliimarisha jeshi lake na kujiweka tayari kwa uvamizi wa super power Russia Kwa sasa nchi ya Poland imeamua...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA fursa iliyopo wazi kwa sasa ni kuwatumia wafuasi wa hayati Magufuli kujiimarisha zaidi kwa ushindi wa 2025 huu ndio mtaji wetu mkubwa kisiasa

    Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi. Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji...
  18. JamiiForums Tanzania Zimamoto kujiimarisha kidigitali

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini limesema kwamba litaboresha mifumo yake ya kidigitali katika utoaji wa taarifa kwa umma, utakaowezesha kutoa taarifa kwa wananchi wengi kwa wakati mmoja ili kutatua changamoto za majanga ya moto. Kauli hiyo imetolewa na Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…