Swali langu ni fupi tu,je nchi za wenzetu uko majuu yaani uko kwa wazungu kuna makabila kama ilivyo nchi za afrika?
Mfano Tanzania,wajita,wagogo ,wasukuma,wajaga ,wanyakyusa,nk
* ukitaja nchi unitajie na makabila yake ili nasi tusiojua tujifunze
Shukrani.