Nadhani huyu ndiye atakuwa Waziri Mkuu mstaafu wa mwisho kuwepo Chadema. Nikitizama Salim, Warioba, Msuya, Pinda na hata Majaliwa sioni uwezekano wowote wa Chadema kupewa fursa ya kumhifadhi Waziri Mkuu mstaafu tena.
Ukichunguza kwa makini utabaini kuwa ujio wa mawaziri wakuu umeiumiza mno...