SIR MGAX
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,268
- 2,128
Wanachama mwenzangu ambao mmepigwa ban kwanza poleni sana kwa changamoto hiyo,haiumizi ila inashangaza kiasi…nadhani pia ni muda wenu kutafakari kidogo kuhusu kupigwa kwenu ban.
Imagine mwanangu sana Binti wa zamani ulitaka kunisalimia leo halafu ghafla bin vuu,upepo umepita na chaukucha(steam lazma ziongezeke)ila hakuna jinsi.
Kikubwa mtarudi hivyo msiwaze haya ni mambo ya mitandao tu.