kujibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mkikubali maridhiano ina maana kweli nyie ndo mlikuwa nyuma ya GenZ na mna kesi ya kujibu, huo ni Mtego Polepole alikataa Maridhiano

    Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena. GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
  2. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania Uwiano wa kujibu(replies) nyuzi na soma (views) jukwaani ya shangaza!

    Uwiano wa kujibu nyuzi na kuzitama/soma jukwaani, hasa jukwaa hili la siasas unashangaza! Kwa haraka haraka sana uwiano ni kama ifuatavyo kwa uchache: 1. Nyuzi za Leo-74/994; 2/10; 29/698; 10/134; 16/282;,na 24/307 2. Nyuzi za jana kurudi nyuma- 61/2000; 164/3000; 15/214; 15/219; 4/126...
  3. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  4. S

    JamiiForums Tanzania David Kafulila kuongea leo, Sept Mosi kwenye Dk 45 za ITV

    TANGAZO Usikose kutazama mjadala maalum utakaorushwa moja kwa moja kupitia kituo cha televisheni ITV leo saa 3:00 usiku kwenye kipindi cha DKT 45. Mjadala huu utakuwa na mgeni rasmi Bw. David Kafulila mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, ambapo pamoja na mambo mengine, ataeleza kwa kina...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Mawakili wa CCM kujibu hoja za Dkt. Malisa na kukimbilia kuweka mapingamizi dhidi ya Utaratibu ni muendelezo wa Uhuni

    Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa . Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya. SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwanamapinduzi akutwa na kesi ya kujibu kesi ya uchochezi

    Singida. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu Askofu Maximilian Machumu Kadutu maarufu Mwanamapinduzi amekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida mkoani Singida. Hatua hiyo...
  8. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

    Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
  9. Farolito

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kilutheri naombeni mnisaidie kujibu maswali haya muhimu sana

    Shalom wakuu, Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya; 1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani ya Athanasio Mtakatifu(Quicunque vult) Je huyu Mtakatifu Athanasio ni nani na kwanini imani hii...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Afande muliro kusema `No reforms No election` ipo kwa sheria gani?, Inaonyesha unajibu mambo ya siasa na sio kazi yako

    Hapa afande muriro kama unasoma JF umekosea sana kujibu kitu ambacho sio sehemu yako sababu polisi kazi yake kusimamia usalama pamoja na raia na mali zao.Sasa inakuwaje mambo ya siasa ukaweza kuyajadili ambayo maneno wanayotumia CCM na wewe ndio unatumia hayo hayo. Siku mabadiliko yakija...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Steven Wasira: Siwezi kujibu hisia za watu

    "Hisia ni hisia, mimi siwezi kujibu hisia za watu, wala siwezi kuwazuia kuhisi" - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bashe ni MSOMALI? lazima ajitokeze kimbelembele kujibu Hoja za Polepole ili Mamlaka iendelee Kumkumbatia

    Huyu Bashe Kwa Lugha nyepesi kabisa unaweza muita ni CHAWA asiyemtanzia ambaye anatumia Janja kujiweka karibu zaidi ya Mamlaka ya Juu, ili aendelee kuchukua Nafasi za Watanzania. Suala lake la Sukari, Mnunuzi Mmoja wa PAMBA, huku wakulima wakizidi kua Masikini Hana namna ya Kulikwepa, Njia...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas waipongeza Iran kwa kujibu mapigo ya Israel kwa ufanisi. Yasema hakuna iron dome wala David Sling zilizoilinda Tel aviv na Jerusalem

    Mmoja ya viongozi wa Hamas , Izzat al-Risheq amesema majibu ya Iran yameonesha kuwa hakuna kiburi cha Israel ambacho hakitapatiwa majibu na kwamba vifaa vyake vya ulinzi kama Iron dome havitaweza kuliokoa taifa hilo dhalimu kutokana na moto waliouwasha kwa muda mrefu ndani ya mashariki ya kati.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google play store sasa inaweza kujibu maswali yako yote kuhusu app unayotaka kudownload

    Kampuni ya Google kupitia program yao ya Google play store imefanikiwa kuzindua feature mpya inayotumia muundo wa akili bandia (AI), kwa kuweza kumruhusu mtumiaji wa play store kuweza kuuliza app wanayotaka kuipakua ikoje kama hajaamua kuwa nayo kwenye simu yake. Feature hii inatumia...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wanachapwa kipigo cha Mbwa-koko na hawana uwezo tena wa kujibu Mapigo!!

    Baada ya Magaidi wa Hezbollah kulemazwa na majeshi ya Israel sasa hivi IDF inajipigia tu popote inapotaka bila hata upinzani wowote!! Magaidi wa Hezbollah kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wakisifiwa na kurambwa miguu na wengi ambao kwa ujinga wao hawakujua nguvu ya Jeshi la Israel. Baada ya...
  17. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi oral interview za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha?

    Hivi wakubwa Hizi oral za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha au ni kitu gani kingine huwa wanaangalia ili kuweza kukuita kazini?
  18. Username 20

    JamiiForums Tanzania Kuna mKenya kaniuliza swali hapa naomba mnisaidie kujibu

    Baada ya kukamtwa na kurudishwa kwa baadhi ya wanaharakati wa Kenya na baadhi yao kuripotiwa kuteswa na kutupwa mipakani (Tanga na Kagera) Kisha kauli ya Rais kuwa hatakubali chokochoko, na kuwa katiba yetu haiingiliwi na mtu, jamaa kanikomalia kuwa ni kweli nchi yoyote ile duniani ina...
  19. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Mmemtukana na kumtweza wee! Kaamua kuzunguka na chopa yake nchi nzima kujibu matusi yenu na kujisafisha utu wake. Sasa woga na wasiwasi wa nini?

    Akili za baadhi ya watu huwa hazieleweki zinavyofanya kazi. Yaani kweli mtu mliyemtukana wee na kutweza utu wake, mutawezaje kumuomba msaada kwa matatizo yanayowapata kutokana na laana ya matusi na matendo yenu? Kwa nini sasa mnakuwa na wasiwasi na uoga tele munaposikia kuwa mtu huyo kaamua...
  20. excel

    JamiiForums Tanzania Bila kuweka siasa na Ujanja Ujanja, Hakuna Mkristo wa Kujibu hili Swali

    Iko wazi kabisa hakuna Jibu la kueleweka.. Hapa tutapuyanga sana kutafuta wakwe Halisi wa Adam na Eva ni kina nani 👇👇👇👇👇
Back
Top Bottom