kujengwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hospital Ya Rufani Kujengwa Kisiwani Ukerewe

    SERIKALI imeanza ujenzi wa hospitali ya rufani katika Kisiwa cha Nansio Wilaya ya Ukerewe kwa lengo la kuwaondolea adha wananchi kuvuka Ziwa Victoria kufuata matibabu ya kibingwa jijini Mwanza. Akizungumza wakati wa kukagua utekelezaji wa mradi huo katika Kijiji cha Bukindo, Katibu Tawala...
  2. S

    Kama jengo la Kariakoo ni miongoni ya yaliyosemwa kujengwa kinyume cha kanuni na Tume ya Lowassa, serikali ishitakiwe ili ifidie wahanga mabilioni!

    Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
  3. Lukuvi: Barabara ya Pawaga mpaka Izazi kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua

    Imeelezwa kwamba barabara ya Pawaga mpaka Izazi imewekwa katika mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua ili kurahisisha shughuli za mawasiliano na kuchochea shughuli za uchumi kwa wananchi wa Isimani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi William Lukuvi (Mb) Isimani wakati...
  4. Serikali yasema imejenga Shule 760 za Kata, kati ya 1000 zilizopangwa kujengwa nchi nzima kupitia SEQUIP

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amezindua Shule mpya ya Sekondari ya Yombo iliyojengwa katika Kata ya Ikuna Wilaya Njombe, Mkoani Njombe Akizungumza Oktoba 03,2024 katika Kata ya Ikuna baada ya kuzindua shule hiyo Prof. Mkenda amesema kuwa Serikali inaendelea kuwekeza...
  5. Rais Samia Aagiza Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kuanza Kujengwa Upya

    RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa...
  6. C

    Tetesi: Magufuli University of Science & Technology Memorial (MUSTM) Kujengwa Chato?

    1. Jabali la siasa na Sayansi Dr Magufuli (PhD) amelala Chato. 2. Ameacha kumbukumbu ya kurithishwa vizazi na vizazi kupitia elimu ya Sayansi na Teknolojia. 3. Yafaa, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Kujengwa Chato kwa heshima yake. RIP SHUJAA Dr Mheshimiwa JPM
  7. Spika Tulia: Barabara ya Dodoma - Iringa inajengwa upya lakini haina umri wa kujengwa upya

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali akitoa mfano Barabara ya Dodoma – Iringa ambayo imekuwa na...
  8. Nyumba za Walimu 562 Kujengwa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali inatarajia kuenga jumla ya nyumba za walimu 562 zitakazochukuwa familia 1,124. Katimba ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu akijibu...
  9. Uwanja pekee unaoweza kujengwa pale jangwani ni wa kufugia majini

    Wananchiiiii 😃😃😃 nikisema nyie ni mazuzu nitakuwa nakosea? Eti uwanja mpaka siku mkiuchomoa huo mwiko ndio mtakuwa na akili. Hivi uwanja wenu utakuwa unaingiza mashabiki wangapi? Contractor tayari mmeshampata? Ameshafanya tathimi ya eneo ambalo uwanja utajengwa? Kwa geography ya eneo la...
  10. Natafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa kwa kiwango cha lami

    Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
  11. Barabara Zinazounganisha Tanzania na Nchi Jirani Kuendelea Kujengwa na Kukarabatiwa

    BARABARA ZINAZOUNGANISHA TANZANIA NA NCHI JIRANI KUENDELEA KUJENGWA NA KUKARABATIWA Serikali kupitia Wakala wa Baraba Nchini (TANROADS), inaendelea na Ujenzi na ukarabati wa Barabara zinazounganisha Tanzania na nchi zote jirani ikiwemo nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) kwa awamu...
  12. Ni kweli barabara ya Morogoro iliwahi kujengwa kwa kutumia udongo ulioagizwa toka misri?

    Niliwahi kusoma kwenye gazeti la RAI kuwa tuliagiza udongo toka Misri kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Morogoro enzi za Serikali ya mzee Mwinyi. Inadaiwa ni kipande cha kutoka Fire kwenda Kimara. Kuna ukweli kwenye hili?
  13. Barabara ya Mbeya - Mkiwa Kuendelea Kujengwa kwa Awamu

    BARABARA YA MBEYA - MKIWA KUENDELEA KUJENGWA KWA AWAMU. Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mbeya - Chunya - Makongolosi - Rungwa - Mkiwa (km 503.36) kwa awamu ambapo sehemu ya Mbeya - Chunya - Makongolosi (km 111) ujenzi...
  14. Waziri Bashungwa: Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kujengwa Upya

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na muda wake kuisha. Bashungwa amesema hayo Wilayani Ludewa, mkoani Njombe wakati akizungumza na...
  15. Waziri Bashungwa: Barabara ya Ramadhani - Iyayi KM 74 (Wanging'ombe) Kujengwa kwa Kiwango cha Lami

    WAZIRI BASHUNGWA: BARABARA YA RAMADHANI – IYAYI KM 74 (WANGING’OMBE) KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya Ramadhani – Iyayi yenye urefu wa kilometa 74 ambayo imekuwa ni kilio kikubwa cha...
  16. Bashungwa aagiza Daraja la Nzali-Chamwino kujengwa haraka

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu wa daraja hilo kukamilika. Akizungumza na wananchi wa...
  17. KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F mradi huu umefikia hatua Gani?

    Kuna siku niliona mikataba ya miradi hii ikisainiwa. Miradi hii imefikia hatua Gani? Ni mwaka Sasa umepita tangu nione miradi ikisainiwa.
  18. Tabata Dar es Salaam: Nani ametoa Kibali cha Vituo 3 vya Mafuta kujengwa ndani ya eneo la Makazi tena chini ya umbali unaotakiwa?

    Kuna vitu nchi hii vinafanyika kihuni sana. Hivi nani anatoa kibali kujenga Vituo vya Mafuta bila kujali umbali unaotakiwa wala kuangalia athari kwa makazi ya watu? Pale Baracuda Tabata kuna Vituo vitatu vinajengwa ndani ya eneo moja tena vimekaribiana mno kiasi ambacho unajiuliza kwanini hatua...
  19. Tetesi: Njombe Airport kuanza kujengwa

    Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa KM 3.5 .
  20. Barabara ya kilomita 13 Matundasi - Chunya -Itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami?

    Kuna mahali nimesoma kwenye bajeti ya maendeleo ya serikali kuu 2023/24 inaonesha barabara ya matundasi kwenda itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami. Mwenye uelewa wa jambo hili ninaomva atujuze. Je, mkandarasi alishapatikana? Je, ujenzi unaanza lini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…