kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ufaransa waandamana kupinga TotalEnergies kujenga Bomba la Mafuta ghafi la EACOP

    Wanaharakati mjini Paris Jumatano waliandamana dhidi ya Benki 2 zinazohusika katika ufadhili wa mradi wa mafuta wenye utata katika Afrika Mashariki, sehemu ya maandamano yanayoratibiwa katika miji kadhaa duniani kote. Takriban wanakampeni vijana 30 kutoka kundi la Stop Total waliandamana mbele...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC tujiandae kujenga timu ya baadae kwa sasa wachezaj wamechoka

    Ukiangalia SImba kwa nini timu haitembee. Kuna mambo mawili ya kuangalia kwanza UMRI wa wachezaji waliopo SIMBA wengi ni 30 and above, Pili SImba haipandishi vijana wa under 20 kuja timu ya wakubwa. 1. SIMBA hii imecheza CAF CL na CAF CC kwa muda wa miaka kama minne mfulululizo ikiwa na hawa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nashangaa niliwezaje kujenga kipindi cha Hayati Magufuli lakini awamu ya sita najaribu mambo hayasomeki

    Kipindi cha Magufuli cha awamu ya tano pamoja na madili kuwa magumi lakini kilichopatikana kilifaa hadi nikajenga nyumba si haba Nashukuru Mungu. Siyo kujenga tu hata tuvituvitu nilinunua, watoto walikula vizuri, na walipendeza siyo haba. Maduka yangu ya vifaa vya simu kariakoo niliyafunga...
  4. JamiiForums Tanzania Mbinu Bora ya Kutumia Kujenga Himaya ya Utajiri Wako Kupitia Ardhi na Majengo

    Lengo kuu la huduma zangu za uandishi kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni: ✓ Kuwasaida watu kutunza fedha zao kupitia ardhi na majengo. ✓ Kujenga himaya ya utajiri kupitia ardhi na majengo. Nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara swali kuhusu ni mbinu gani ya kujitengenezea kipato kutokana na...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yatenga Tsh. Milioni 757 kujenga Gereza jipya Kilosa

    SERIKALI imetenga Sh milioni 757 kumalizia ujenzi wa gereza jipya linalojengwa wilayani Kilosa ,mkoani Morogoro baada ya gereza la zamani kupitiwa na Reli ya kisasa (SGR). Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni alisema hayo Februari 20,2023 kwenye mkutano wa hadhara...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China kujenga nchi yenye nguvu zaidi ya kilimo kunufaisha dunia nzima

    Hivi karibuni China ilitoa Waraka Namba 1 kuhusu suala la kilimo, ikiagiza kwa mara ya kwanza kuharakisha ujenzi wa nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo. Hatua hii ina umuhimu mkubwa wa kimataifa na itanufaisha dunia nzima. China kuharakisha kujenga nchi yenye nguvu zaidi ya kilimo kutatoa mchango...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sifurahishwi na Wachina kujenga sanamu ya baba wa Taifa

    JF Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanamu ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa. Najiuliza kwa sauti kubwa sana 1. Hivi nchi yetu haiwezi kugharamia hili? how much? 2. Ile ni Sanamu nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu...
  8. JamiiForums Tanzania Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

    1. Dkt. Omar Alli Juma Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Waraka No. 1 wa China wasisitiza kujenga nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo

    Hivi karibuni serikali kuu ya China ilitoa waraka No. 1 wa mwaka huu kuhusu suala la kilimo. Huu ni mwaka wa 20 mfululizo, ambapo China imetoa waraka No.1 kuhusu kilimo, na jambo ambalo linaonesha kuwa suala hili limepewa kipaumbele zaidi nchini China. Mwaka huu, kwa mara ya kwanza waraka huo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unajua kuwa unaweza kujenga nyumba nzuri ya kisasa kwa gharama nafuu?

    Watu wengi wamekuwa wakiogopa kujenga nyumba kwa kuhofia gharama za mafundi kuwa kubwa na hata nyumba yenyewe, nimekuletea mpango mzima wa kujenga nyumba kwa tofali Nikisema hivi namaanisha kuwa yaani fundi utamlipa kwa kila tofali moja bei mtakayokubaliana kwa hiyo utakuta tayari unasave pesa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

    Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini. Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete. NB: Mimi siko genge lolote.
  12. JamiiForums Tanzania Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

    Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu. Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu. Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga kampasi za vyuo 6 katika mikoa 14 nchini

    Wakati wa mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TAHLISO) uliofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma jana, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kujenga kampasi za vyuo vikuu katika mikoa...
  14. JamiiForums Tanzania Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

    Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini? Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi...
  15. JamiiForums Tanzania Seka Sekondari - Wanavijiji waamua kujenga maabara tatu za masomo ya sayansi

    SEKA SEKONDARI - WANAVIJIJI WAAMUA KUJENGA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI Seka Sekondari ni sekondari ya pili ya Kata ya Nyamrandirira yenye vijiji vitano. Sekondari hii iliyojengwa Kijijini Seka, Musoma Vijijini, ilifunguliwa tarehe 5.7.2021. Sekondari ina jumla ya wanafunzi 344 (Vidato...
  16. JamiiForums Tanzania Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  17. JamiiForums Tanzania Unahitaji kujenga nyumba ya kupangisha? Usikose hii

    Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
  18. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kujenga Tanzania mpya

    Rais Samia Suluhu alisema zama zetu hizi zinapitia changamoto nyingi hivyo ameamua kubuni mbinu mpya ili kuendana na wakati tulipo. amekuja na wazo la nguzo nne (4R) za uongozi ambazo ni maridhiano, ustahamilivu, mabadiliko na kujenga Tanzania mpya Hizi nguzo nne zimetufikisha hapa leo Tanzania...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tuelekeze nguvu kujenga uchumi siyo mikutano ya Siasa

    Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Nani anahitaji mapokezi makubwa ya heshima, ni Rais Samia ambaye siku zote anapambana kujenga uchumi au Tundu Lissu anayekirudia kivuli chake?

    Ni swali tu ndugu zangu ambalo limekuwa likininitatanisha sana na leo nimeona nishiriki nanyi kulijadili. Nimeona Tundu Lissu akiomba watu wakahudhurie mkutano wa hadhara uliotishwa na chama chake, ni jambo jema kama kiongozi wa kisiasa. Pia, nimeona watu wakihimizana wakampokee Lissu akitua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…