kuitwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  2. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: Digital Manager wa Yanga adanganya Mayele kuitwa Mfalme wa Dhahabu na Canal Sports

    Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us! Ona huyu afisa wa UTO SC anadanganya mchana kweupe hadhar.ani, shame on you Mangi Shayo
  3. JamiiForums Tanzania Ukimya wa PSRS

    Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY. Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawataki kuitwa mama, kwanini?

    By Kelvin Kagambo Siku moja niliona mwanamke mmoja mashuhuri anagombana na watu mtandaoni kwa sababu ya kwanini watu wanamuita Rais Samia Suluhu Hassan ‘mama’. Hoja zake zikiwa, kumuita Samia Suluhu mama ni kama vile kumpunguzia majukumu makubwa ya urais aliyonayo, pia ni sawa na kumletea...
  5. JamiiForums Tanzania IGP Poti Wambura nimeshatoa ONYO kwa Vijiwe vya Wahalifu kuwa wakiingia 18 zangu Majina yao yataanza kuitwa Marehemu

    Poti wangu IGP Wambura Mimi GENTAMYCINE nimeamua leo Kukuambia hili mapema baada ya Kugundua kuwa 95% ya hawa Vijana Wahalifu waliobatizwa Jina la Panya Road wanajulikana na Mapolisi wako na hata Vituoni ila Wanalindwa na hata baadhi ya Askari wako Wanafaidika nao. Haiingii Akilini Polisi wa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania haipaswi kuendelea kuitwa nchi Maskini

    Kwa ujumla, umaskini ni ile hali ya kukosa mahitaji muhimu kama chakula, maji, makazi, huduma za afya, na elimu.I'm Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikishirikiana na Idara ya Kuondoa Umaskini ya Wizara ya Fedha na Mipango mwaka 2017 – 18 unaonyesha kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Raia wa kawaida ninaweza kuitwa na kamati ya maadili ya TFF?

    Ni watu gani wanaweza kuitwa na kamati ya TFF? Hivi kwa sasa Haji Manara kimpira si raia wa kawaida? Raia wa kawaida anaweza hukumiwa na kamati ya maadili ya TFF?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kama TAA imeshaita watu kwenye usaili

    Habari, Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili? Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
  9. JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

    Jiangalieni hapo kama mpo.
  10. JamiiForums Tanzania DTB sasa kuitwa Singida Big Stars

  11. JamiiForums Tanzania Nimeenda leo kanisani mhubiri akaniita "YESHURUNI" Nikalia Sana.

    NIMEENDE LEO KANISANI MHUBIRI AKANIITA "YESHURUNI" NIKALIA SANA. Anaandika Robert HERIEL Yule Shahidi, Ole wangu Mimi ikiwa nimekuwa Yeshuruni, nitatengwa na Mkono wangu utatupiliwa mbali, ingawa najua wengi wenu hamumjui huyo Yeshuruni ni Nani. Leo nikalisogelea lango la Kanisa ikiwa ni muda...
  12. JamiiForums Tanzania Vigezo vya majiji makubwa Kwa mwanamke kuitwa Pisi Kali, vyawekwa wazi Rasmi!

    Wakuu Kwema! Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha! Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika. Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika...
  13. JamiiForums Tanzania Kuhusu wito kwenye usaili M-Gas au Kopa Gas

    Wadau nilifanya maombi ya kazi nafasi ya marketing & sales kwenye kampuni tajwa hapo juu na interview nimetumiwa meseji itakuwa tar 25 saa 9 mchana. Sasa ombi langu kama kuna mtu anafanya kazi kwenye iyo kampuni au aliwahi au anaifahamu iyo kampuni anipe mwanga kidogo kuhusu salary zao, pia...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nakerwa kuitwa msaliti wa mageuzi

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawezi kusaliti demokrasia na mageuzi ambayo yeye ameyapigania tangu akiwa na umri wa utoto. “Mimi ni miongoni mwa watu tuliopachikwa jina la usaliti, kama binadamu, siwezi kujisikia vizuri kuitwa msaliti wa mageuzi na demokrasia kwa sababu tu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waliosomea shahada ya mifugo, misitu, kilimo, kuitwa Afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo. Lakini waliosomea shahada ya elimu hawaitwi afisa elimu

    Hii imekaaje? Waliosomea nyanja ya mifugo, misitu, kilimo, uuguzi, nk katika ngazi ya shahada na kuendelea hutambuliwa kama maafisa katika nyanja zao kama vile afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo, afisa uuguzi nk, na jamii kukubali kuwa wanastahili kutunukiwa uafisa katika maeneo yao ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

    Habari wakuu, Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira. Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
  17. JamiiForums Tanzania Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa. Hongereni mliopata utumishi mwema

    Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema. Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo 7 kuhusu Sadio Mane wa Senegal, Liverpool ikiwemo alivyogoma kuitwa MFALME

    Sadio Mane ametimiza ndoto yake ya kihistoria ya kuisaidia timu yake ya taifa Senegal kushinda kwa mara ya kwanza taji la AFCON. Mane ambaye ni staa wa Liverpool ana utofauti na mastaa wengi matajiri hasa katika matumizi ya fedha zake. Ametokea familia ya kimasikini ambayo ilikabiliwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Soko kuu Arusha halina hadhi ya kuitwa soko kuu

    Hili soko ni la muda mrefu tena tangu baada ya uhuru, na lipo katikati ya jiji mita chache tu toka ilipo stand kubwa ya mabasi, lakini haliendani kabisa na sura ya jiji. Muundo wa soko ni wa kizamani kuanzia nje hadi ndani ambapo vizimba ni vidogo vidogo na wafanyabiashara wengine wamejijengea...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndugai hawezi kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge?

    Nadhani ni wakati muafaka kwa Jobo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge ili aeleze kwa nini awamu ya tano hakuwahi kuhoji kuhusu serikali kukopa? Awamu ya tano ilikopa takribani trillion 29, leo anahoji serikali ya mama kukopa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…