kuitwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuhalalisha usumbufu: Baada ya kuitwa kwenye ajira, unasubirishwa kwa kwa takriban mwezi ili vyeti vihakikiwe, bila kuwezeshwa kujikimu!!

    Huwezi kuamini kuwa watu wenye akili zao timamu walioaminiwa na Taifa kushughulikia ajira, wakaamua kuweka utaratibu usio rafiki wa kuajiri kwanza kabla ya kujiridhisha na uhalali wa vyeti vya waajiriwa. Halafu akiisha kuitwa kwenye kituo chake cha kazi, ndipo huambiwa subiri kwanza uhakiki wa...
  2. JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Kuitwa kwenye mafunzo ya Uchunguzi

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anapenda kuwatangazia watu wote walioomba nafasi 320 za ajira ndani ya TAKUKURU kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Hoja ya Simba kuitwa Bob Jr, Serikali yasema ‘Simba akiitwa jina la Masanja hakuna atakayemjua’

    Serikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza kimataifa. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema “Tunapotumia majina maarufu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Huu ndio ukweli ambao Roman imeamua kuuachia katika kipindi hichi cha mfungo wa kwalezima And the LORD said to Moses, "Make a fiery serpent, and set it on a pole; and every one who is bitten, when he sees it, shall live." So Moses made a bronze serpent... Numbers 21:8-9 Recently we received an...
  5. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa Kazini kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 23-11-2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwani kuna kosa Bodaboda kuitwa Maafisa Usafirishaji au kosa tafsiri?

    Habar wanajf, Nashangaa watu wanalama mitandaoni eti boda hawapaswi kuitwa maafisa tuache kudharau kazi za watu zimeajiri mamilioni ya vijana.
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa, Rais wa kwanza na pekee kuitwa Mahakamani

    Aliitwa/alienda mwenyewe nafikiri ilikuwa ni kesi ya Balozi aliyeitwa Mahalu aliyeshutumiwa kwa uuzaji wa nyumba ya Ubolozi huko Italia, baada ya Mkapa hakuna na wala hakujawahi kuwa na Rais wa Tanzania aliyeitwa Mahakamani. Mzee Mkapa Mahakamani
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuitwa msaliti, is a curse, inaondoa heshima na hadhi kisiasa!

    Najua wengi mtatukana matusi mengi ila mkashindwa kukubaliana na ukweli! Kokote kule, msaliti huchukiwa na kila mtu, awe mke ama mume akimsaliti mwenzake, huibuka chuki na pengine mgogoro mkubwa ndoa unaanzia hapo na hata kuvunjika kwa ndoa! Watu wengi hawafikii katika hali ya kufunga ndoa na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo: A)...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika. Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru lakini si haki: Kuitwa kwenye usaili kwa majina ya nyongeza na tume ya ajira

    Kwa sasa imekuwa kama utaratibu. Kwa mfano ulio hai kuna baadhi ya waombaji wa ajira MDA's na LGA's walipewa taarifa ya kuitwa kwenye usajili tarehe 07/01/2023 na wengine wakaitwa kama majina ya nyongeza siku tano baadaye yaani tarehe 12/01/2023. Na wote hao watafanya usaili tarehe 15/01/2023...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu yeyote ambaye amesoma chuo tofauti na UDOM amewahi kuitwa interview za UDOM?

    Habari zenu maboss zangu. Naomba kuuliza jamani. Hivi kuna mtu yeyote ambaye amesoma chuo tofauti na UDOM amewahi kuitwa interview za UDOM?
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

    Wanabodi, Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama. Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Dkt kumekuwa fashion za kisiasa. Wananchi tunahitaji matokeo

    Najua Tanzania kuanzia wakati wa Kikwete imekuwa kama sifa kuwa na PHD hata kama ni za kupewa, kupendelewa au kununua. Kwa wanajua elimu huwezi na ni vigumu kuweza kupata PHD ya kweli wakati wewe ni waziri. Kuna mawili kama umepata PHD yako kama waziri kwanza inawezekana hufanyi kazi yako vizuri...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Batili mawakili wa Tanzakujiita mawakili wasomi bali ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa zaidi

    Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa. Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
  16. JamiiForums Tanzania Sifa za kuitwa mtaalamu

    Kama ni msomaji wa jukwa la siasa unaweza shangazwa na wachangiaji wanaojiita wasomi wakipinga PhD’s za watu wasio wakubali. Issue za ovyo kwangu kwenye huu upingaji ni kuhusu hizi PhD za social science. Hivi unajiuliza what is so special kwenye kuandika five chapters za hizo thesiskwa mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Pesa isiwe kipimo cha Utu, familia na taifa litaangamia

    PESA ISIWE KIPIMO CHA UTU; FAMILIA NA TAIFA LITAANGAMIA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nataka watu waelewe kuwa Maisha hayana maana yoyote Kama hautajali utu wako na utu WA watu wengine. Tafsiri sahihi ya Upendo ni kujijali utu wako na utu wa wanaokuzunguka. Koo kubwa zote zenye nguvu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara Swali...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Interview and employability; Usipozingatia haya, utaishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye interview

    USIPOZINGATIA HAYA, UTAISHIA KU-APPLY KAZI BILA KUITWA KWENYE INTERVIEW Vijana wengi sana Wahitimu wa vyuo wamejikuta katika janga la kuishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye Interview. Kwa miaka kadhaa nimekuwa kwenye Managerial Level katika taasisi ninazofanyia kazi. Na katika recruitments...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…