Wanabodi kama mada inavosema,nimepitia maoni mengi kuhusu uezekaji na gauge pendekezwa ni 28,lkn binafsi nataka kutumia gauge 26,naombeni ushauri wenu wa kitaalamu nipate elimu na kufanya maamuzi
Aslaam,
Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake.
na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi.
sababu Moja wapo ikiwemo stress nyingi zitokanazo na kubeba mzigo wa familia.
leo hii nataka nikupe hii kanuni...
Najalibu kutafakali kwa haya yanayotokea huyu Mama baada ya kustaafu sizani kama atabaki Tanzania kama marais wenzake waliomtangulia,namuona yeye na familia yake wakienda kuishi Oman huku nyuma akiwa ametuachia msala wa mavurugano mkubwa wa kivyama,kisiasa na kidini,
Kama huko CCM hakuna wa...
Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84.
Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia inaonyesha hali bora ya huduma za afya, lishe, na mtindo wa maisha unaojali afya.
Maisha marefu ya raia wa...
Habari wadau,
Naomba kuuliza kama ukimkata nyoka mkia ataendela kuishi.
Leo baada ya mihangaiko yangu nimerudi nyumbani mapema nikaona ni vyema nishughulikie bustani yangu ya matunda na mboga mboga.
Sasa wakati nachimba mche kwa kutumia kisu ghafla akatokea nyoka mweusi na kuanza kutambaa...
Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine.
Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza, watoto wa mitaani na mambo ya ushoga.
Itasaidia kupunguza matukio ya watu kufa kwa kukosa msaada maana...
Habarini wakuu natumaini mko wazima wote leo niwaeleze ,Maana ya kuishi na mwanamke kwa akili ni kuwa na uhusiano wa busara, hekima, na uelewa na mwanamke katika maisha ya kila siku. Hii inaweza kuwa katika ndoa, uchumba au hata maisha ya kawaida ya pamoja. Inahusisha mambo yafuatayo:
1...
Mimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto, awe na elimu yoyote, awe mkristo wa dhehedu lolote awe tayari kuishi Mahali nilipo yeyote anayeweza...
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo
Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana
Mbunge Mama...
Kwa mlio oa / kuolewa , weka mipaka ya marafiki kuizoea nyumba yako , inatosha kukutana viwanja na marafiki sio kuweka vijiwe vya soga nyumbani kwako . Kuna aina ya lifestyle unatakiwa kuibadilisha ukishaingia kwenye maisha ya ndoa
Tangu mwaka 1995 mpaka Leo CCM imekuwa ikihangaika na kuua upinzani. Walianza na NCCR na kufanikiwa kuiua.
Kwa bahati mbaya ikaibuka CUF ikawa na nguvu mpaka wakasingiziwa kufanya siasa za ugaidi. Wakasingiziwa kuagiza matonteina ya majambia. Watu Zanzibar wakauawa, kwa mara ya kwanza Tanzania...
Habari Wakuu!
Moja ya kitu kinachomfanya mtu aishi maisha yenye furaha ni kujua kusudi lake na kuliishi kusudi lake.
Bila shaka najua ya kuwa watu wengi hawajui kusudi lako lao la kuwepo hapa duniani. Kwakuwa mienendo ya watu wengi inakuchochewa na watu waliowazunguka. Mfano unakuta mtu...
Kiwango cha kuishi huko Gaza kabla ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 kulikuwa 75.5 lakini sasa hivi ki sporo oka kwa kiasi kikubwa na kuwa 40.6 baada ya mashambulizi ya Oct 07,2023
Kiwango cha wao kuishi kimepungua sana kutokana na mambo wanayoyafanya na wengi huna katika vurugu na wengi sana...
Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..
Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali...
Heri ya sikuu ya pasaka.
Siri ya kuishi miaka mingi hapa Duniani ni kuishi Kwa matumaini, kuishi Kwa kuamini kwamba kesho itakuwa Bora, kupiga moyo konde na kuendelea kupambana Kwa matumaini ya kuipambania Tena kesho.
Akija mtu kukwambiya kwamba, hakuna uhakika wa kuiona kesho, huyo mtu...
Hello Wana JF;
Leo nakuja na Mada hii inayohusu KARAMA au wengine huita KIPAWA/KIPAJI.
*
Ifahamike kuwa kila binadamu aliyepo hapa duniani, basi kaletwa kwenye uwanja wa mapambano, mapambano ambayo yamegawanyika katika makundi, kuna mapambano ya kiimani, kiuchumi, n.k.
Ila amini nakwambia hayo...