kuishambulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Trump aweka mguu usawa Nyambizi tayari kuishambulia Urusi ikiwa watamlazimisha

    Katika kile kinachoonesha ubabe wa Marekani. Na kauli za kibabe kujibiwa na aliyewahi kuwa Rais wa Urusi miaka ya nyuma. Trump ameziweka mguu sawa Nyambizi zake zenye nguvu ya Kinyuklia akisubiri tu Putin aseme kitu kuchangamke. Ndo unagundua kuna kitu Marekani wameona kwa Urusi.
  2. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

    Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: Abwabwaja kuishambulia Israel bila kusita!

    Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: "Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu." “Mytake” Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine kwa makombora

    Urusi imerusha kombora katika mji wa viwanda wa Samar kusini mashariki mwa Ukraine na kusababisha vifo vya watu watano huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa. Gavana wa mji huo Serhiy Lysak, amesema katika mtandao wake wa Telegram kwamba watu wanne kati ya waliojeruhiwa wako katika hali mahututi...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Waziri wa ulinzi Israel aagiza IDF kuishambulia Iran baada ya kukiuka makubaliano ya kuacha ya. Amani baino yao

    . Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’ By Lazar Berman Follow Today, 11:22 am Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire. “Iran broke the...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Trump atoa dirisha la wiki mbili kufanya majadiliano ya amani na Iran. Muda ukiisha atishia kuishambulia Iran

    Uamuzi wa Rais Donald Trump kufungua dirisha la majadiliano la wiki mbili kabla ya kuamua iwapo ataiamuru Marekani kuishambulia Iran umechochea harakati za haraka za kuanzisha tena mazungumzo ambayo yalikwama wakati Israel ilipoanza mashambulizi yake wiki iliyopita Kwa mujibu wa maafisa wa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Trump ameidhinisha mpango ya kuishambulia Iran

    Breaking News Trump ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, - 19 Juni 2025, 12:30 asubuhi 2 Juni 18, 2025. (Brendan Smialowskyi/AFP) Rais wa Marekani Donald Trump aliwaambia wafanyakazi kwamba ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, lakini...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Israel inatumia marubani wa kike kuishambulia Iran, wanawake wakipewa nafasi nao wanaweza !

    Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu kuwazuia , waliweza kufika Tehran kupiga doria na kurudi salama Israel. Round hii wameenda wengi zaidi...
  9. stan john

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya kula itakuaje Baada ya Israel kuishambulia iran

    Habari, Baada ya Israel kuishambulia iran Leo usiku ,Bei ya mafuta ya kula itapanda au itashuka ????
  10. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Ukraine inapokea kipondo cha karne muda huu, Tangia jana usiku, wanajuta kilicho watuma kuishambulia Russia

    Kama tujuavyo last weekend Ukraine ilifanya mashambulizi ya kimkakati katika AirBases za Russia na kufanikiwa kuharibu baadhi Ndege vita (Bombers) zake. Kwanzia jana Usiku Russia imelipiza kisasi hicho kwa kisago cha mwana ukome ambacho Ukraine ilikua haijawai kupata kamwe, Hili ni fundisho kwa...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wahouth wa Jaribu tena kuishambulia Israel kwa kombola la Ballistic

    Mapema jioni hii Yemen ilirusha kombora la balistiki kwa Israel na safari hii mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel wa Arrow interceptor likipaa na kulidunga kombora la balistiki. Wakati kwenye uwanja wa mpira wa Tel Aviv kulikuwa na mechi tamu sana baada ya dakika tano mpira uliendelea na team...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki sio sawa na CHADEMA, kulishambulia ni kuishambulia Vatican

    Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima. Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Houth wajaribu kuishambulia Jerusalem kwa makombola 2 ya ballistic

    Magaidi wa Houth kutoka Yemen leo Wamejaribu kuishambulia Jerusalem kwa kurusha makombola ya Ballistic 2. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel iliweza kwa ustami mkubwa kuyapopoa na katika zoezi hilo hakuna madhara yoyote yaliyotokea. Wakati huo huo huko Yemen Wahouth wameendeleza uongo wao wa...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania BAADA YA KULEMAZWA NA IDF HEZBOLLAH YAJITUTUMUA TENA KUISHAMBULIA ISRAEL

    Leo tena, kombora lingine limerushwa Israel kutoka Lebanon. Israel wamezoea ving'ora vya roketi na milipuko wakati Iron-Dome ikipopoa makombola kama vile sisi tulivyozoea kunywa kahawa au chai. Wakati mwingine, huwa najiuliza ikiwa ni jambo zuri wamezoea hilo (labda njia ya kukabiliana na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Houthi:" tupo tayari kuishambulia Israel endapo makubaliano yatasitishwa

    Mikono yetu ipo kwenye trigger na tupo tayari kwa mapambano kama Israel atasitisha makubaliano na kuamua kushambulia gaza-HOUTHI HOUTHI wametoa msimamo huo mara baada ya Hamas kudai hawatoachia mateka siku ya jumamosi wakidai Israel wamekiuka na kuvunja makubaliano. Hali kadhalika Waziri...
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Asif Rahman aliyekuwa C.I.A, akiri kuvujisha siri za mipango ya Israel kuishambulia Iran

    Mchambuzi wa zamani wa CIA Asif Rahman alikiri katika mahakama kwa kuvujisha rekodi za siri, ikiwa ni pamoja na mipango ya Israeli kuishambulia Iran. Rahman, aliyekamatwa nchini Kambodia mnamo Novemba na baadaye kuletwa Guam, alikiri kupata, kuchapisha, na kuzigawa mnamo oktoba. Alijaribu...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Msigwa kuishambulia CDM mfululizo, sasa yuko kimya kabisa kamuachia Lissu, wamejipangilia kutudhoofisha? Tuamke!

    Naona kama kuna mkakati wa kuidhoofisha Chadema kuelekea uchaguzi. Lissu akiwa anatumika na dola yuko mstafi wa mbele kutengeneza mgawanyiko hasa baada ya Msigwa kuishambulia sana Chadema, lakini akagonga mwamba. Wana chadema, tukija kustuka, chama chetu kitakuwa hoi bin taaban, watu...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanaoilaani na kuishambulia Israeli taifa teule wamepotoka?

    Ni sahihi kwa Mkristo kuipinga, kuibagaza, kuilaani na kushambulia taifa teule la Israel wakati Biblia imejaa maandiko tele yanayoonyesha Israel ni taifa teule ambalo ukilibariki na wewe utabarikiwa ? Mkristo kuilaani Israel sio kwenda kinyume na maandiko yanayomuongoza pamoja na viongozi wake...
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Wapiganaji wa Kiuyghur waliopo Syria waapa kuja kuishambulia China katika hatua inayo fuata

    Jump to content UK News Website of the Year 2024 Log in See all News Uyghur fighters in Syria vow to come for China next The Turkistan Islamic Party says its main mission to ‘liberate the Muslims of East Turkistan from the Chinese occupation’ 226 The Turkistan Islamic Party propaganda The...
  20. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

    Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east. Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS. Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja...
Back
Top Bottom