kuishambulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Marekani kulipa fidia kama njia ya kuizuia Israel kuishambulia Iran! Iran yasema ipo tayari kwa lolote!

    Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita! On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Israel kuishambulia Iran kesho Oct 07, 2024

    Kwa mujibu wa vyombo mbali mbali vya habari vimesema kwamba Israel inajiandaa KUISHAMBULIA Iran apo kesho Oct 07 Kama kumbukizi ya shambulio la Oct 07 lililofanywa na hamas Kule Israel, Tayari wakuu wa kijeshi wa Israel walikutana na kupanga mipango ya kuishambulia Iran kesho tar 07...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Iran kuishambulia Marekani

    Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi. Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi. Vyombo mbalimbali vya...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini naamini Iran Ilikirupuka kuishambulia Israel kwa sababu lemavu?

    Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni 1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael. 2: Kuuwawa kwa kiongozi wa Hesbullah huko Lebanoni. Ukiangalia sababu hizo zote hazina mashiko ukilinganisha sababu za mashambulizi...
  5. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Hasara ya Iran kuishambulia Israel ni kubwa. Kukaa kwao kimya si kwamba hawana akili. Russia, Korea na China...

    Russia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo. Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel Taifa kubwa ndilo litasababisha vita hiyo. Ni Taifa dogo kwa eneo na idadi ya watu lakini Kihistoria...
  6. U

    JamiiForums Tanzania IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel yafanya kufuru Leo asubuhi Iko hivi Hezbollah walishajiandaa kuisambaratisha Israel hasa maeneo ya kati na kaskazini Hata hivyo idarayaza ujasusi za Israel zilipata taarifa kamili ya mipango hiyo ya magaidi Sasa walichofanya IDF ni kuwawahi Kwa kuishambulia...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuishambulia Israel, Iran yabadili gia angani..!!

    Ahadi ya Iran ya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran itachukua muda, kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini humo (IRGC). "Wakati upo upande wetu na muda wa kusubiri majibu haya huenda...
  8. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

    Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Lebanon wanaowahifadhi Magaidi wa Hezbollah Kuishambulia Israeli walikuwa wanasubiri Kiongozi wao Auliwe leo ndiyo waseme hawataki Vita?

    BBC: Lebanon yasema haitaki Vita kwa sasa Kudadadeki zao waambieni Israeli ndiyo Kwanza imeanza Kazi na leo Netanyahu kasema Vita ndiyo imeanza rasmi.
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Waislam wanapofunga, wanafanya kile ambacho biblia imesema na hakifanywi na wafungaji wa kikristo

    Waislam wakifunga hata usiyemuislam utafaidi. Sio wachoyo, Sio wabaguzi kwenye futari. Nimewahi kupanga nyumba moja na waislam ikifika mfungo sisi wakristo tulikuwa tunafaidi sana. Kikipikwa chakula cha kufuturu na sisi tumo kwenye bajeti hata kama wanajua hatujafunga. Wakristo tukifunga, mara...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yasema inamsubiri huyo atakayejaribu kuishambulia kwa kutumia kisingizio chochote

    Taifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi. Onyo hilo limetolewa na balozi wa...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

    Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua. TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo. Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa Manabii na mitume wote wa Afrika. Wafuasi wa mitume...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  16. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga

    Friends and Enemies, Katika kile kinachoonekana kuwa ni vita dhidi ya rasimali za nchi kama wenyewe wanavyosema, ameibuka Askofu Mstaafu Stephen Munga ambaye ni Askofu Mkuu Mstaafu dayosisi ya kaskazini mashariki. ''Yupo Mfalme wa Wafalme, tuwe makini na kauli zetu, kama umesahau Jana ukumbuke...
  17. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

    Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu. DP world kazi wanayo.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Urusi imewaua wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 560 walipojaribu kuishambulia Kherson

    Aisee, hii ni kufuru sasa! Majeshi ya Ukraine yamejaribu kushambulia majeshi ya Urusi huko Kherson, matokeo yake Zelensky kapoteza wanajeshi zaidi ya 560, vifaru 26, armoured vehicles 32 na ndege mbili aina ya Su-25. =====
  19. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Israel akiri kuwa S-300 ya Urusi iliiona na kuishambulia ndegevita ya Israel F-35 (Stealth Fighter🤣🤣) huko Syria

    Waziri wa Ulinzi wa Israel amekiri kuwa wanajeshi wa Urusi nchini Syria mnamo may 13 kwa mara ya kwanza waliamua kuitageti na kuishambulia ndege vita ya Israe F-35, ile midoli ya Marekani ambayo tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni stealth fighter (hazionekani kwenye radar). La kushangaza ni kuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yamtishia China: Eti Marekani itaipigania Taiwan kama China ikitaka kuichukua kwa nguvu

    Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu wa kujiingiza vitani na taifa lolote lenye nguvu ya nyuklia kama China!! Kwa asili Marekani ni...
Back
Top Bottom