kuishambulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pentagon imeiagiza Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kukamilisha maandalizi ya kuishambulia Iran tena!!

    Pentagon imeiagiza Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kukamilisha maandalizi ya uwezekano wa kuanza tena kwa operesheni kubwa za kijeshi dhidi ya Iran. Rais Donald Trump hajafanya uamuzi wa mwisho au kuweka tarehe, lakini mashambulizi yanaweza kutokea kabla ya uchaguzi wa Israeli mwezi Oktoba na...
  2. JamiiForums Tanzania Pentagon yasema kuna uwezekano wa Marekani kuishambulia Iran

    Pentagon yasema kuna uwezekano wa Marekani kuishambulia Iran. Mark my word iwapo Marekani itaishambulia upya iran, Sitaki kusikia free Iran. Hasa team Iran maana mna mdomo sana hadi mnaboa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iran wanatuangusha, wanashindwaje kuwajibu Marekani kwa kuishambulia nchi ndogo Israel kama wanavyofanya kwa Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain, n.k.

    Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko. Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
  4. JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuishambulia Israel Je wataweza?

    Msemaji wa jeshi la Iran, Akrami Nia: Tumebadilisha mafundisho yetu. Tutafanya vitendo vya kuzuia mashambulizi (shambulio la kuzuia mashambulizi) wakati wowote tunapohisi tishio, na hii itakuwa ndani ya mfumo wa sheria za kimataifa.
  5. JamiiForums Tanzania Israel iko tayari kuishambulia Iran kivyake bila msaada wa yeyote!!!

    Inaripotiwa kwamba Israeli imeifahamisha Marekani kwamba iko tayari kuishambulia Iran yenyewe ikiwa ni lazima maana nia wanayo,Uwezo pia wanao wa kuitia adabu Iran Taifa la Israel lina haki na uwezo wa kujilinda kutokana na uchokozi wa Iran. Wakati wowote Magaidi wa Iran wataanza kupigika...
  6. JamiiForums Tanzania Trump: Usiku wa leo tunaenda kuishambulia vibaya sana Iran.

    Trump anaenda kujitia kidole cha macho.
  7. JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuishambulia Iran. Yataka Vita ianze au iendelee. Yapiga maeneo nyeti ya Kijeshi

    Hawa Waisrael wameshindikana... Hawataki kabisa Iran kupoe. Jamaa wanaona kama Iran ni sehemu yao ya kujipimia ubavu. Hivi ingekuwa ni Taifa kubwa ingelifanyia hivi kweli?
  8. JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuishambulia Israel endapo Beirut itashambuliwa na Israel

    Hawa Iran uthubutu wa kumchimba mkwara Netanyahu wanautoa wapi!? Siku zinakimbia sana aisee!!! Kuna kipindi Israel na Marekani walikuwa wanatafuta sababu ya kumtandika Iran, ila sasa hivi Iran ndio anatafuta sababu ya kumtandika Israel.
  9. JamiiForums Tanzania Trump anatishia kuishambulia Oman

    Wanaukumbi. Rais wa Marekani Donald Trump amekataa pendekezo lililoripotiwa ambapo Oman na Iran walikuwa wakijadili mpango wa kutoza ushuru meli zinazopita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz. "Oman haina budi kufuta mkondo wa watu wengine, la sivyo tutawaangamiza. Wanafikiri kila kitu kitakuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Muda wa kuishambulia miundombinu ya Iran umefika!!!!

    Kauli ya mwisho ya Rais Trump kwa Tehran inaisha saa 2:00 PM saa za Washington (saa 3:30 AM saa za Iran, saa 3:00 Tanzania) usiku wa leo, ikiacha chini ya saa 10 tu. Tarehe ya mwisho, iliyowekwa wiki moja iliyopita kutokana na mvutano unaoongezeka kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, imesababisha...
  11. JamiiForums Tanzania Mitandao Yote Imejaa Picha za Iran Kuishambulia Israel Kwa Sababu Dunia Nzima Imechukia Uonezi wa Israel

    My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Iran: Hatuna Mpango wa Kuishambulia Kenya...

    Iran has allayed fears of alleged plans to target Kenya amid an escalating war with the United States and Israel. During a press briefing in Nairobi on Monday, Iranian Ambassador to Kenya Dr Ali Gholampour noted that Kenya does not provide a US military facility with the capability to attack...
  13. JamiiForums Tanzania US kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

    Vita inakuja sahivi wanahesabu masaa tu, huko Israel mahandaki yashafunguliwa Marekani wenyewe washaanza kuondia wanajeshi kwenye bases zao...Sidhani kama round hii itapita bila mtwangano kutokea
  14. JamiiForums Tanzania Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

    BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7 Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache. Israeli wala Marekani hawajatoa maoni. Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani...
  15. JamiiForums Tanzania Fitina za marekani zafeli Iran,sasa kuishambulia

    Iran imetangaza kukamata zaidi ya waratibu maandamano miambili wakiwa na shehena kubwa ya silaha,vilipuzi na mabomu ya petrol, wakiwemo watumishi wa MOSSAD, shirika la ujasusi Israel Baada ya kamata kamata hiyo maandamano yamepoteza shinikizo na kupungua tangu alhamisi Leo shirika la habari...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Marekani inajiweka tayari kuishambulia Iran

    Ndege nyingi za Jeshi la Anga la Marekani zimeonekana zikiondoka katika kambi mbalimbali nchini Marekani na pia kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Uingereza, zikielekea Mashariki ya Kati. Ndege hizo ni pamoja na za kujaza mafuta angani na ndege kubwa za kusafirisha wanajeshi na vifaa...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani yajiandaa kuishambulia Colombia ili kumchukua Rais Gustavo Petro, majasusi wa CIA tayari wapo kwenye miji ya Bogota na Cucuta

    Raisi Donald Trump amesema Marekani ni lazima iwe na uhakika wa usalama wake pale tu endapo eneo lake la Marekani ya Kusini ( Western Hemisphere) litakuwa salama na tulivu. Rais Trump amesema rais wa Colombia Gustavo Petro ni mgonjwa na kwa muda sasa rais Petro amekuwa chini ya vikwazo kadhaa...
  18. JamiiForums Tanzania Venezuela yashambuliwa na Marekani

    Kuna milipuko mikubwa imetokea mji mkuu wa Venezuela, Caracas. Inaelekea wizara ya ulinzi imeshambuliwa. Bado taarifa rasmi kuhusu shambulio hilo hazijatolewa. Updates:Baada ya mashambulizi yq masaa kadhaa USA wamemkamata nq kumchukua Rais Maduro wa Venezuela. Yuko njiani kupelekwa USA.
  19. JamiiForums Tanzania Israel yaangalia uwezekano wa kuishambulia tena Iran!!!

    🚨 Israel yaionya Marekani: Majaribio ya Makombola ya Iran yanaweza kuficha shambulizi la Iran dhidi ya nchi yake. Maafisa wa Israel wameutahadharisha utawala wa Trump kwamba zoezi kubwa la kombora la IRGC huenda likawa kificho kwa shambulio la kushtukiza linaloweza kutokea dhidi ya Israel...
  20. JamiiForums Tanzania Hizbullah wasema mvua ya makombora kuanza kuinyeshea tena Israel isipoacha kuishambulia Lebanon

    Naim Qassem ambaye ni kiongozi wa Hizbullah amesema kundi lake halijaona umuhimu wa kusalimisha silaha zake kwa serikali ya Lebanon wakati Israel imevunja mkataba wa kusitisha vita na inaenndelea kuishambulia Lebanon. Katika hotuba yake kupitia televisheni,kiongozi huyo ameitaka serikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…