Iran yatishia kuishambulia Israel Je wataweza?

Iran yatishia kuishambulia Israel Je wataweza?

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,545
Reaction score
7,941
Msemaji wa jeshi la Iran, Akrami Nia:

Tumebadilisha mafundisho yetu. Tutafanya vitendo vya kuzuia mashambulizi (shambulio la kuzuia mashambulizi) wakati wowote tunapohisi tishio, na hii itakuwa ndani ya mfumo wa sheria za kimataifa.
 
Attachments

  • IMG_5772.jpeg
    IMG_5772.jpeg
    102.9 KB · Views: 8
Mkuu, licha kwamba Iran kwa sasa hawezi kuanzisha mashambulizi dhidi ya Nchi tukutu Israel

Hata hivyo jaribu kuwa unaweka tarifa zinazoendana na kichwa Cha habari

Mbona kama hujabainisha ni wapi msemaji wa Iran kaitishia Israel?
 
Nilitarajia utatueleza kwa nini Iran hawezi kulishambulia Taifa Teule la Israel!!

Nimeona tu nikuwekee taarifa hiyo kwa kiingereza na Kama hutaelewa basi nitakuwekea kwa lugha yako pendwa ya kiarabu!!

Iranian military spokesperson, Akrami Nia:
We have changed our doctrine. We will carry out preemptive actions (preemptive attack) whenever we sense a threat, and this will be within the framework of international law.

Labda hapo kidogo utaelewa!!
 
Safari hii wazayuni wa jf wakiongozwa na wewe mutajamba sanaaaaaaa
 
Zahra Battalion operesheni ya Siku 12..... Pitia hiyo Mkulima.
 
🚨
🚨 INA REPOTIWA KUWA IRAN INAPANGA KURATIBU MASHAMBULIZI KWA ISRAELI

Idara ya ujasusi ya Israel inaripotiwa kuashiria Iran ikitaka kusawazisha shambulio kubwa dhidi ya Israel linalohusisha Hamas, Hezbollah, Houthi na wanamgambo wa Iraq.

Tathmini hiyo inafuatia ripoti za awali za kijeshi zinazoonyesha uratibu mpya kati ya Hamas na Hezbollah, na kuibua wasiwasi kwamba Tehran inajaribu kujenga upya tishio la pande nyingi lililoratibiwa dhidi ya Israel.

Israel inaripotiwa kujiandaa kwa uwezekano wa mashambulizi ya wakati mmoja kutoka katika viwanja kadhaa.
Muajemi akiahidi tuu utekelezaji unafata
Hawajawahi kudanganya
Viongozi wake wa kisiasa na kijeshi zaidi ya 600 akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei waliangamizwa aliahidi nini?
 
Attachments

  • IMG_5787.jpeg
    IMG_5787.jpeg
    344.7 KB · Views: 6
Msemaji wa jeshi la Iran, Akrami Nia:

Tumebadilisha mafundisho yetu. Tutafanya vitendo vya kuzuia mashambulizi (shambulio la kuzuia mashambulizi) wakati wowote tunapohisi tishio, na hii itakuwa ndani ya mfumo wa sheria za kimataifa.
Wee bwabwa aweze mara ngapi wakati alishaipiga israhell kama mbwa koko
 
Wee bwabwa aweze mara ngapi wakati alishaipiga israhell kama mbwa koko

Iran haina uwezo wa kuishambulia Israel halafu Israel ikae kimya, labda kushambuliana, na wakishambuliana, siku zote kilio cha Iran kimekuwa maradufu ya kile cha Israel. Iran inarusha makombora hovyo, lakini Israel kwa kiasi kikubwa inawalenga wahusika wakuu ambao ni viongozi wa serikali na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wa utawala hatari wa Ayatollah.
 
Iran 🇮🇷 sio Venezuela wala sio Iraq. Mziki wake si wa kitoto. Hao mabwana zenu kazi yao kubwa ni kuua wanawake na watoto.
 
Iran 🇮🇷 sio Venezuela wala sio Iraq. Mziki wake si wa kitoto. Hao mabwana zenu kazi yao kubwa ni kuua wanawake na watoto.
Wanawake na watoto ndiyo imekuwa kichaka cha kujificha kuficha Ugaidi wenu?

Niambie hii Mizoga yote ni wanawake na watoto akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei? Acha ujinga!!
 
Attachments

  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 5
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 5
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 5
  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 9
  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 9
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 3
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 10
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 8
  • IMG_3483.jpeg
    IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 3
  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 9
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 6
Iran 🇮🇷 sio Venezuela wala sio Iraq. Mziki wake si wa kitoto. Hao mabwana zenu kazi yao kubwa ni kuua wanawake na watoto.
Iran mnawaramba sana makalio lakini kipondo walichopata wanakijua wao wenyewe ninyi Waarabu-koko hamuwezi kujua
 
Back
Top Bottom