kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wana Simba tususie kuingia Uwanjani kama Matola na Cadena Wataiongoza Simba mechi ya Asec

    Viongozi lazima wawe siliasi. Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa timu mara ngapi kaishindwa. Kama wanampenda sana wampe u ceo tu. Kadena Toka aje kama kocha wa...
  2. Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

    Kila kitu kina mwisho wake, HAMAS waliofanya hospitali kuwa makao makuu yao ndio mwisho wao sasa, makomando wa Israel wameanza kuingia kiaina fulu mpambano....yaani movie. Israel’s military has said it was carrying out a raid against Hamas in al-Shifa hospital early on Wednesday, conducting...
  3. Mbeya: Wahamiaji haramu 16 kutoka Ethiopia wakamatwa kwa kuingia Nchini bila kibali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu 16 raia wa nchini Ethiopia, wote wanaume, umri kati ya miaka 18 - 53 kwa kosa la kuingia nchini bila kibali. Watuhumiwa walikamatwa Novemba 09, 2023 majira ya 2:00 asubuhi huko kijiji cha Kasumulu, Wilaya ya Kyela, wakati Askari wa...
  4. L

    CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kuingia katika soko kubwa la China

    Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
  5. L

    CIIE ni jukwaa bora kwa nchi za Afrika zilizojiunga na BRI kuingia kwenye soko la China

    Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
  6. Ninachokutana nacho kila nikijaribu kuingia kwenye mahusiano kinanifanya nahofia huenda nikabaki single hadi muda wa ndoa

    Naombeni ushauri wakuu. Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii. 👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status)...
  7. Sasa naelewa kwanini Poland na wenzake walikataa wahamiaji kuingia kwao kiholela.

    Leo USA, UK, France, etc wanataabika kwa kuongezeka kwa matokeo ya ismamic extremism na jihadist movements ambayo yanafanywa na watu waliofungulia milango kwa ajili ya hifadhi na kutafuta maisha bora. US na wenzake hawatambui kuwa wanajijengea bomu ambalo litakuja kulipuka muda sio mrefu...
  8. Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

    Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa Kenya itafuta utaratibu unawalazimu Raia wa Nchi zote Afrika kuingia nchini humo kwa kutumia Viza hadi kufikia mwishoni mwaka 2023, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza kuwa Raia wa Nchi zote za Afrika hawahitaji tena kuwa na Viza kuingia...
  9. Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

    Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika...
  10. Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones ‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na...
  11. Wanajeshi wa Israel waanza kuingia kwenye mahandaki ya HAMAS, wafagia kila kitu

    Kuna sehemu nilisoma wanatumia aina fulani ya gesi kwenye hayo mahandaki inayofagia kila kiumbe na kuwawahisha kwa mabikira.... GAZA/JERUSALEM, Oct 31 (Reuters) - Israel said its forces attacked Hamas gunmen inside the militants' vast tunnel network beneath the Palestinian enclave of Gaza after...
  12. N

    Kilichosababisha SIMBA kuingia AFL hiki hapa

    Habari zenu, Kumekuwa na sitofahamu baadhi ya mashabiki wa Tanzania wanajiuliza imekuwaje simba kuingia African footbal league wakati simba ipo nafasi ya 9 Africa kwa club Bora(sio club kubwa ni club bora nieleweke hapo msichanganye bora na ukubwa). Katika CAF FOOTBALL CLUBS RANKING simba ipo...
  13. Wanajeshi wa Israeli waendelea kuingia Gaza taratibu na kutoa kichapo

    Lakini wanatumia akili wapo makini, hawaingii kichwa kichwa kama Warusi walivyofanya Kyiv na kuangukia pua, hawa wanaingia kiaina yaani kikomando, na mpaka sasa wako Gaza ndani wanasukumiza kichapo. Inabidi kutumia akili maana magaidi ya kidini sio wapiganaji wa kawaida, lazima utumie ukomando...
  14. Jeshi la Israel limeanza kuingia Gaza

    Kulingana na radio ya Israel vikosi vya IDF vimefanya mashambulizi makubwa ndani ya Gaza usiku wa kuamkia leo. Hata hivyo taarifa zaidi za mashambulio hayo dhidi ya Hamas hayajwekwa wazi. Habari hizo zinafuatia ahadi ya hapo jana ya waziri mkuu wa nchi hiyo aliposema mashambulio ya kuingia Gaza...
  15. Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  16. Hamas warudisha nyuma jaribio la mwanzo la jeshi la Israel kuingia Gaza kwa miguu

    Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao. Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na...
  17. Vikosi vya Israel vyapata kiwewe kuingia Gaza huku vikosi vya Marekani Mashariki ya Kati vikianza kushambuliwa

    Matangazo mengi kuhusu wanamgambo wa Hamas kinyume na uwezo wao inaonekana kumelitia hofu kubwa jeshi la Israel ambalo linaundwa zaidi na vijana wadogo. Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi na kuwatia moyo askari hao wakatishe mpaka kuingia Gaza. Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant...
  18. Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

    Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri. Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa? Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika...
  19. Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kwa mara nyingine kuingia Crimea na kushambulia

    Kama kawa.. vilianzia Crimea, vitaishia Crimea ======== Ukraine’s Defence Intelligence has stated that units of the Special Operations Forces landed on the territory of the occupied Crimean peninsula and attacked the Russians, and after completing the mission, they retreated. Ukraine’s...
  20. Pyramids FC yawa Timu ya kwanza kuingia hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Africa 2023

    Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana. Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…