kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mauaji ya ajabu ajabu Afrika Mashariki ni kiashiria cha kuingia ugonjwa wa "serial killer"?

    Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na...
  2. JamiiForums Tanzania Simba mmekubali kuingia kwenye huu mtego, Yanga hakuna mgogoro

    Ndo maana ninamkubali Eng Hersi Said. Yaani kaona Usajili wa 5imba ni WA umakini, akaona watatusubua kidogo hatutawapiga magoli mengi. Nawatahadharisha tarehe 8 sio mbali, Mtapigwa 8. Na itakuwa nane nane 1. Jiulizeni mahakama ilitoa hiyo jukumu zamani, kwanini iibuke Leo mechi ikiwa karibu😄😅...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo adai Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na masikini kuikosa mbingu ni 99.9%,

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo "Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije...
  4. JamiiForums Tanzania Elite Bookshop Sabasaba International Trade Fair

    ELITE BOOKSHOP SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR Siwezi kupita duka la vitabu bila kuingia ndani. Achilia mbali kuwa Elite ndiyo wachapaji wa kitabu changu cha watoto, "The School Trip to Zanzibar," kitabu kinachotumika kusomesha Kiingereza na wakati huo huo mwanafunzi anajifundisha historia...
  5. JamiiForums Tanzania Umewahi kuingia ghetto na manzi halafu ukashindwa kumla?

    Yule demu Jana nimemmind Sana na yeye anajua aisee! How come demu aingie ghetto halafu ukashindwa kumla? Au alikuwa ananiigizia kwamba nisimuone Malaya? Anyway na nimemblock sasa Kuna manzi Jana nimeingia ghetoni kwangu na demu nilimpanga aje hapa ghetoni kwangu aisee nimetumia almost masaa...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

    Hali ni mbaya Sana kwa Majirani.. Jeshi limeingia Rasmi mzigoni..
  8. JamiiForums Tanzania Putin na Kim Jong Un wakibishana nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari

    Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
  9. JamiiForums Tanzania Unazingatia Vitu gani kabla ya kuingia kwenye Ndoa?

    Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake. Kutokana na uelewa, experience na mtamzamo wako unahisi ni kipi kati ya hivyo ni vya kuzingatia zaidi? 1. ECONOMY STABILITY(UCHUMI)...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke usikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya

    Majina haya ni mabaya n yanatweza utu wa mwanamke lkn yamepakwa nakshi kuyafanya yaonekane mazuri. Kamwe wanawake msiyakubali na msikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya. Ifuatayo ni tafsiri ya kila jina kwa mujibu wa tafutishi za Sexless unit :- 1. Lishangazi ni kahaba aliyezeeka...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye maji yenye mabarafu

    Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru na katiba mpya ni visingizio. Fahamu sababu inayowazuia wapinzani kuingia Ikulu

    Je hii ndiyo sababu pekee?
  13. JamiiForums Tanzania Huku jeshi la Israel likijaribu kuingia Rafah wapiganaji wa Hamas wameibuka maeneo mengine mengi ya Gaza.

    Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo. Miongoni mwa maeneo yaliyolazimisha Israel kupeleka vikosi vyenye zana nzito ni pamoja...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

    Salaam, shalom!! Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC? NB: Nia ya kuuliza swali hili ni njema, inalenga kujua jinsi Gani Tanzania ilivyobarikiwa(...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

    Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree" Source: EATV CCM kuna Burudani sana 😂 ==== Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
  16. JamiiForums Tanzania Vifaru vya Israel vimeanza kuingia Rafah

    Mlionywa kufuga magaidi, haya... Israeli tanks have rolled into Rafah. What does this mean for the Palestinians sheltering there? ERUSALEM (AP) — The Israeli tanks that entered the periphery of Rafah early Tuesday stoked global fears that an offensive on Gaza’s southernmost city could endanger...
  17. JamiiForums Tanzania Barnaba naomba nikuulize mkeo hakufahamu kuwa kazi yako ni mziki halafu wanawake mjitafakari mnapotaka kuingia kwenye ndoa

    Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake. Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae. Aisee...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

    Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!. CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana . Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

    Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana. Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa. Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa. Ukiangalia hii video unaweza toa machozi. Jamaa ana akili sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…