Kuna dhana inajengwa Kwa miaka zaidi ya 25 Sasa, kuwa vyama vya upinzani vifutwe kibaki chama kimoja tu CCM.
Huwa sielewi akili za watu wanaowaza kuwa kama Tanzania vyama vingine inawezekana kuvifutia usajili ila CCM inatakiwa kubakia.
Hivi mnaowaza kuwa vyama vingine na hasa CHADEMA, vinaweza...
KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa.
2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua...
Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi.
Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
Wasalaam.
Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja.
Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa...
TAKE IT SERIOUSLY
Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake!
Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
Dini ya uislamu katika usasa wake iliingia bara hindi punde tu baada ya utume wa Muhammad saw.Hiyo ilikuwa ni karne ya 7.Baada ya hapo wakaingia waislamu kwa makundi kutokana na sababu mbali mbali.
Waislamu walivutiwa mno na tamaduni za watu wa eneo hilo kuanzia dini zao na aina ya...
Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo.
Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema...
Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
Wanabodi
Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!.
Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni adhabu ya ukatili mno, iliyoletwa na wakoloni ili kuwa ogofya wananchi!. Ni aibu kwa Tanzania...
Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID.
Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa.
Lakini AID haiwezi kufutwa na Elon Musk bilionea ambaye hakachaguliwa na mtu yeyote.
Hili ni shirika linawasidia watu...
Good Afternoon my dear brothers and sisters out there.
Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??
Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five.
Karibu kwa...
Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili.
Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani
✅1979 Kundi lenye itikadi kali lilipindua serikali ya kifalme ya shaa
✅Komeni muanzilishi wa itikadi kali alikua akipitisha mahubiri yake...
Tatizo la viongozi wetu wanakimbilia mikataba ya 10% bila kujali maslahi ya nchi ndiyo maana mikataba inakuwa ya sirisiri.
Huyu jamaa amegundulika anatoa rushwa kila mahali na kashitakiwa huko USA wenzetu wa Kenya wamesha sitisha mikataba na sisi tutafute njia sahihi ya kufuta hii mikataba...
Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu(Nov. 17, 2024); je, haiwezekani ipo siku wahusika wataenda mbali na hata kufikia hatua ya...
Shalom,
Huu sijui niite ni dharau, maringo, ubaharia au ujinga wa kitoto.
Ubaharia wa kidwanzi ndio huu kuna siku nikichukua namba ya demu mmoja hapa jijini Dodoma, nikambeep Fair kabisa.
Kesho yake nikampigia daah aliwasha sana moto akaniumbua sana wewe nani acha kushoboka hovyo na maneno...
Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM.
Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama...
Wachambuzi mbali mbali wa kivita akiwemo raisi wa Ufaransa wamesema lengo la Israel kuifuta Hamas ni miongoni mwa malengo dhaifu ya vita vinavyoendelea Gaza.
Raisi huyo baada ya kushuhudia hali ya vita inavyojikokota amesema wakati umefika kwa mamlaka ya Israel kutoa maelezo ya wazi kuhusu vita...
Wanaukumbi.
Ikiwa wewe ni mpya kwa upinzani wa Palestina, labda tayari unajua kuhusu Hamas, lakini jiulize PIJ ni nani.
PIJ (Palestinian Islamic Jihad) na Hamas zote ni vikundi viwili vikubwa vya Upinzani nchini Palestina. Wana malengo sawa katika kuikomboa Palestina, lakini wanatofautiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.