Je ushawahi kutapeliwa, Kuibiwa au kudhurumiwa tuambie ulifanikiwa kulejesha, Hatua zipi ulizochokuwa au Ukasamehe.
Binafsi nilishawahi kuibiwa Piki Piki kipindi nipo Chuo kikuu, Nilimpa kijana mwezangu kwa Siku Lejesho elfu 7 akaleta kama miezi miwili badae akasema ameibiwa ,hakuwa na jelaha...