kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yanga yatuma malalamiko rasmi CAF kuhusu kukataliwa goli lao.

    Leo hii Yanga imetuma malalamiko CAF kuhusu kukataliwa goli lao.
  2. JamiiForums Tanzania Hii Yanga ya Sasa inaanza kuingia kwenye Mioyo ya Waafrika kutoka kila pembe ya Afrika

    Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie. Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa. Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga. Las season Yanga second Leg Ya Final ya CAFCC Alifanyiwa uhuni mbele ya Motsepe kule Algeria Afika...
  3. JamiiForums Tanzania Katika makuzi yangu nilimisi sana malezi ya baba ila hakujali kuhusu sisi

    Katika makuzi yangu nilipitia safari ambayo sikupendezwa nayo na leo ningeomba ni share pamoja na wengine wajue siyo vizuri pia kama nao wako hivyo. Kipekee maisha yangu ya ukuaji nilikuwa bila mapenzi ya baba ilikuwa changamoto kubwa kwangu. Ingawa baba alikuwepo kimwili, hakuwa karibu nasi...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

    Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda? Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else? Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
  5. JamiiForums Tanzania Ukitaka kukosa furaha jaribu kufuatilia mambo ya watu

    Habari wanajf! Basi kama kawaida yetu kujadili na kupeana mawili matatu, basi leo nakuletea mambo yaliyopo duniani ambao kwa 99% ndio uhalisia. Hii ni tafiti yenye ushahidi wa kutosha, mambo hayo ni; 1. Ukitaka kukosa furaha jaribu kufuatilia mambo ya watu, kama kufuatilia imani za watu...
  6. JamiiForums Tanzania Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Usijali Mkuu, hapa tunatumia fake ID'S Fungukaaaaaaaaa!
  7. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Criminal Report?

    Nahitaji criminal report na sijui wapi inatolewa au ni utaratibu gani wa kufata ili niipate. Naombeni kufahamishwa nimekwama
  8. JamiiForums Tanzania Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

    Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ? Naomba kufahamishwa.
  9. JamiiForums Tanzania Tuseme Ukweli kuhusu Stephanie Aziz Ki

    Stephanie Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana na mwenye uwezo mkubwa na umuhimu wake ni mkubwa ndani ya yanga sc, lakini hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro; Aziz Ki ana ubinafsi flani hivi uwanjani wakati akiwa na mpira. Aziz Ki ni mzito sana kutoa pass sahihi kwa wakati sahihi kwa wenzie. Aziz...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu PIXIE ORANGES

    Yanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima. Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu. Nimeshangazwa kusoma kwamba hayana mbegu. Ni kweli ndivyo yalivyo? Yana uhusiano wowote na GMO...
  11. JamiiForums Tanzania Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...

    Wanakumbi. 🇮🇱 Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu... 😅 Wanasema demokrasia pekee katika Mashariki ya Kati. https://x.com/dmodoscutter/status/1775186381305729130?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  12. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025: Waitara anataka kumkimbia Heche Tarime? Aibana serikali kuhusu kugawa majimbo kwa ajili ya uchaguzi ujao

    Angurumapo simba mcheza nani? Ngurumo za John Heche jimbo la Tarime zimemtikisa Waitara, na anaomba serikali itoe msimamo kuhusu mgawanyo wa majimbo. Waitara anatoa hoja hiyo wakati hata timu hazijaingia uwanjani na refa hajapuliza kipyenga. Mang'ana ghasarikile!! Waitara ni moja kati ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni upi Msimamo wa Serikali kuhusu Vipimo vinavyopima mwili mzima kwa Tsh. 20,000?

    Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000. Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali juu ya jambo hili. Waziri Ummy, ikikupendeza tueleze.
  14. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo kuhusu ni nini cha kufanya

    Salaam, Katika harakati zangu za kusaka tonge, yupo jamaa ambae nilifahamiana Naye katika biashara, tukawa tumezoeana hadi ikafikia kipindi akiwa na shida na hela namuazima ila anaacha gari yake kama bond, akienda akasupply mizigo yake akilipwa ananirejeshea pesa zangu na yeye anachukua gari...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema imemwita balozi wa Israel kuhusu mauaji ya Zomi Franckom, raia wa Australia

    Wanaukumbi. Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema leo kwamba Idara ya Mambo ya Nje na Biashara ya nchi hiyo imemwita balozi wa Israel kuhusu mauaji ya Zomi Franckom, raia wa Australia. Franckom ni mmoja wa wafanyakazi wanne wa kimataifa wa Jiko Kuu la Dunia (WCK) waliouawa jana...
  16. JamiiForums Tanzania Urusi yalaani shambulizi la Israel ubalozi wa Iran nchini Syria na kumuua jenerali wa Iran

    Kupiga ubalozi wa Iran ni mithili ya kushambulia ndani ya taifa la Iran, Israel wameendelea kuua wakuu wa jeshi la Iran, jana wamepiga ubalozi wa Iran na kuua wakuu wa jeshi humo, nilitegemea Iran ifanye kitu cha maana ila ndio hivyo! ================================ Russia condemned an...
  17. JamiiForums Tanzania Sahau kuhusu kufuzu, hakuna timu itakayopata goli huko ugenini Cairo & Pretoria

    Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
  18. JamiiForums Tanzania Kila ukitaka walaumu wazungu/mabeberu kuhusu Afrika kuchezewa basi usisahau kwamba kuna CCM ,Katiba mpya ni sasa

    Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa.. Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana kwa Ajili ya Wananchi wake kwa Namna yoyote ile . Kwa Tanzania nitakuwa mnafiki kama sitatupia...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

    Kuna mbingu Saba Bahari Saba Ardhi Saba Binadamu ana matundu Saba Kuna siku Saba Katika wiki Waislamu wanazunguka mara Saba kule Kaaba Kiama kitatokea siku ya Saba ambayo ni Ijumaa Waislamu wakiswali wanasujudu kwa viungo Saba,,kwa maana paji la uso na pua moja, vitanga viwili vya mikono, magoti...
  20. JamiiForums Tanzania Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

    Kwanza kabisa namshukuru mh rais wetu. Anaupiga mwingi kinyama. Katika pita pita maishani nimezalisha wanake wa 4. Katika hao watatu hawa kila muda nikijisikia kutaka kulamba naomba napangiwa siku naenda nalamba. Na wote hao wameshaolewa tena. Wawili katika hao watatu wakinipangia ratiba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…