kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba maelezo zaidi kuhusu mtandao wa haloteli.

    Uku niliko mitandao mingine imekuwa tabu sana ninafanya mawasiliano network inakuwa chini mno Isipokuwa halotel sasa juzi nimesajili haloteli na kiufupi iko vizuri. Lakn kuna mdau akanambia ningesajili laini ya chuo coz ina ofa kabambe mf: yeye hupewa 3000Tsh kila mwanzo wa mwezi. Je hii ni...
  2. JamiiForums Tanzania Juma Mgunda atema mabovu kuhusu Cloutus Chama

    “Ni mchezaji huru, ni mchezaji mwenye kutaka wazo la kwenda kucheza, lazima mjue Chama ni Mzambia na shughuli yake ni kuchez mpira, msubirini chama mumuulize yeye mwenyewe, sisi kama Simba tunazungumzia ya kwetu, Chama anatuhusu nini tena? Unashangaa nini Chama kutoka Simba? Kwani kaziliwa Simba...
  3. JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Kusimamia Na Kumiliki Hosteli Za Kupangisha Kwa Faida

    Utangulizi. Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo. Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa Dola badala ya shilingi linawapa shida Wafanyabiashara

    Kero yangu ni kuhusu tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa dollar badala ya shilingi kama alivyoagiza. Mfano Ankara za kulipia leseni za tume ya Madini za dollar 1,000 zinaandaliwa kwa mfumo wa dollar. Ukienda benki kulipa wanadai hawalipii mpaka uwe na dollar...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati sisi tunalalamika kuhusu parking wewe unalalamika kuhusu mwendokasi

    maisha ni kuchagua.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kila nikiangalia hizi picha nabaki kuwangaa CHADEMA lia lia kuhusu suala la Msigwa

    Wanasiasa ni ngumu sana kuwaamini na wanashangaza
  7. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu mchwa

    1. Mchwa hawana mapafu. 2. Mchwa hawana masikio. 3. Mchwa ni wakulima. 4. Mchwa wana matumbo mawili. 5. Mchwa wanaweza kuogelea. 6. Mchwa ni wamiliki wa watumwa. 7. Mchwa ni mzee kama dinosauri. 8. Kuna zaidi ya aina 12,000 za mchwa duniani kote. 9. Chungu anaweza kuinua uzito wake mara...
  8. JamiiForums Tanzania Nina swali kuhusu DSE( Dar es Salaam stock exchange)

    Habari za muda huu wakuu, mimi nilikuwa na swali kidogo kuhusu DSE. Hasa kuhusu namna ya kujisajili na namna ya kupata brokers. Mwishoni mwa mwaka jana nilijisajili na nahisi nilitumiwa baadhi ya taarifa ambazo (kutokana na kutokuwa makini) nilizipoteza. Nikajaribu kuforget password system...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kununua laptops hizi.

  10. JamiiForums Tanzania Serikali kukutana na Mabalozi wa nchi 9 kujadili malalamiko ya Wawekezaji kuhusu masuala ya Kodi

    Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekubali ombi la Mabalozi wa nchi mbalimbali walioomba kikao cha kujadili masuala ya kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa lengo la kujadili malalamiko yalitolewa na baadhi ya wawekezaji kutoka...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tablets zenye keyboard na mouse.

    Je, ni ipi Ni imara na inafaa kwa kazi ndogondogo za Ofisi, kama typing na internet? Ikiwezekana na bei zikoje? Asante.
  12. JamiiForums Tanzania Kunani Tarura kuhusu Malipo ya Makandarasi

    Habari za asubuhi wakuu. Huu ni mwezi 3, Makandarasi wengi hawajalipwa hela zao, kibaya zaidi wamekaa kimya na hawatoi taarifa yoyote kwa makandarasi, mbaya zaidi kesho ndio mwisho wa mwaka baada ya hapo waatafunga mifumo yao ya malipo, lakn bado wanaendelea kuhimiza makandarasi wafanye kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ipoje kuhusu Samsung wajuzi?

    Juzi nilienda Town kutafuta simu ya samsung A15,Katika pita pita kuna wanaiuza 380,000.Maduka mengine hapa Moshi mjini wengine 480,000. Mpaka Leo najiuliza kwanini yule auze 380,000 na specification ni zile zile?.Nilienda duka moja anauza mzee akaniuzia kwa 470,000 akaniambia tunaiscan uone ni...
  14. JamiiForums Tanzania Time travel kiundani zaidi

    Quantum physics Hii ni mojawapo ya branch za physics tuh ambazo vinaelezea kuhusu vitu vingi mfano Time travel Worm holes Time dilations Light&gravity Time travel Ushawahi sikia mtu anatoka future kwenda past au past kuja future ???hii nadharia nadhani wabongo tunaihisi kwenye mamovie tena ya...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali na wafanyabiashara mmekubaliana nini kuhusu bidhaa 8?

    Nilimsikia Kitila Mkumbo akisema kuna bidhaa 8 wamekubaliana na wafanyabiashara kuziingiza kwenye mfumo bila ufafanuzi zaidi na leo nimemsikia tena Mwigilu akisema kuna bidhaa 8 ambazo wafanyabiashara wamekubaliana na serikali ziwe na bei elekezi. Hizo bidhaa ni zipi na serikali wamekubaliana...
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kupata Award Verification Number(AVN)...Ni mtandao wangu au Mfumo ndio unasumbua?

    Habari wakuu, Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB. Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua inayofuata ya kupata CONTROL NUMBER nakwama. Sasa najiuliza ni swala la mfumo ndio haujakaa sawa au mtandao...
  18. JamiiForums Tanzania JF nauliza vipi kuhusu zile ajira zenu mlizotangaza

    Nataka kujua hili kwani mwezi huu wa 6 mwanzoni mlitangaza nafasi za kazi ikiwemo nafasi ya msimamizi wa maudhui (Content manager), Mimi nilijaribu kuomba hii nafasi lakini sikupata mrejesho wowote na muda umeshapita Nilitaka kufahamu kwamba mlishaita watu kwenye usaili ama mmeshawapa ajira Au...
  19. JamiiForums Tanzania Kisa cha kusikitisha Kuhusu kujifungulia Nyumbani

    Je wajua 37% ya wanawake kujifungulia Nyumbani Nchini Tanzania? Anyway tuendelee Katika kijiji kidogo huko Pwani, Tanzania, aliishi kijana mmoja mdogo aitwaye Kaanayi, dereva bodaboda mwenye juhudi na upendo mwingi kwa mpenzi wake mjamzito, Ngaremu. Usiku mmoja, Ngaremu alianza kupata uchungu...
  20. JamiiForums Tanzania Kama anayoyasema Mpina kuhusu Bashe na Sukari ni kweli ,Basi kuna Haja ya CHADEMA kumuunga mkono

    Binafsi mbali na mapungufu ya kiuongozi yaliyopo katika chama changu CHADEMA bado naamini ni chama cha Ukombozi . Hivyo kama Mpina yuko sahihi basi huu ndio muda muafaka wa kuonesha namna CDM tunavyouchukia ufisadi . Vinginevyo tupate kauli ya chama kuhusu suala hili . Soma pia ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…