kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu Toyota Harrier first generation.. Nataka niichkue soon.

    Habari zenu wanaJamii.. Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002. Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption. Nafaham zipo za 2.2cc, 2.4cc na 3.0cc. Ofcourse ningependelea yenye 2.2cc kulingana na factor yangu ya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tusaidieni Elimu kuhusu Upokeaji wa Summons!

    Naomba mtusaidie Elimu kuhusu taratibu za Upokeaji wa Summons. Je, ni Nani anapaswa kubeba summons kutoka mahakamani kumpelekea Mdaiwa? Je, Ni yeyote Yule au kuna mtu maalumu? Je, kuna muda maalumu (namaanisha masaa ya kazi) au saa yoyote Ile ata saa 7 za usiku ni sahihi? Je, ni sahihi...
  4. JamiiForums Tanzania Kuhusu biashara ya chakula kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara

    Habari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar. Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara. Wenyeji wa Mtwara mlio na uzoefu na minada ya korosho naombeni ABC za minada hiyo tafadhali. Ninacho taka...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO LATRA: Tahadhari Muhimu kuhusu Mabasi ya Kampuni ya Kimotco

    Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika, Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni muhimu kutambua kwamba ukosefu wa ufuatiliaji wa mabasi haya unaweza kuleta matokeo mabaya sana, ikiwa ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuhusu sisi

    Kuna sehemu sisi jina letu ni viburi kwasababu tu, tulishindwa kuvumilia dharau zao.. Kuna sehemu sisi ni selfish people, wenye tamaa zisizo na kifani, kwasababu tu, tulihitaji maboresho ya maslahi ya jasho letu.. Kuna sehemu sisi ni wavivu na wazembe kwasababu tu, riziki yetu haifanani na yao...
  7. JamiiForums Tanzania Nadharia ya Likud kuhusu ndoto za utotoni ina make sense, nimeweka hoja kueleza kwanini

    Nilisema ndoto ina definition tofauti. Moja kati ya definition za ndoto ( my personal definition) ni : 👇 Ndoto ni ' kioo cha kiroho' kinacho tumika kukuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa roho. Kwa maana ya kwamba unayoyaona kuhusu wewe katika ndoto unazo ota usiku ni reflection ya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Notes za kina au mwenye yuko na upeo wa kina kuhusu radiography

    Habari zenu wakuu,kama ilivyo kawaida JamiiForums ni home of great thinkers,naamini kwa hiki nitakacho kiandika hakito mkwaza mtu na hata mtu aki comment kitu itakuwa imenisaidia kwa namna moja ama nyingine. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ,kozi nayo soma ni Radiography(utabibu wa mionzi...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Homa za Mafua Makali zinasambaa kwa Kasi Mitaani, Mamlaka mbona hazitoi taarifa kuhusu hili?

    Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini wanahoji ukimya wa mamlaka husika kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na hali hii. Je...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu hii fursa

    Nilifanya kazi kwenye kampuni moja ya kuuza vifaa vya ujenzi kwa miaka 5. Mwaka huu mwanzoni sikurenew mkataba kwasababu ya maslahi. Niliamua kupumzika. Wiki hii katika pitapita yangu, nimekutana na kampuni mpya inayofanya shughuli zinazofanana na zile za kampuni niliyotoka Ila utofauti ni...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ugonjwa wa hypertension ( shinikizo la damu)

    Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu ) Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama watu wanavyoongelea ( ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu ya kawaida ) Uhatari wa ugonjwa huu upo...
  12. JamiiForums Tanzania Unapowaambia wakazi wa mkoa wa Kagera kuhusu gari wanachowaza kwanza

    Corona Premio the number one choice ya kina Rweyemamu wa Muleba, Muganyizi wa Karagwe, Kalikawe wa Kiziba. Tasipota..
  13. JamiiForums Tanzania Nimestaafu Rasmi Kujihusisha , Kushabikia, Kutoa Maoni, Kuhusu Siasa kwa Maudhui ya Tanzania

    Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania. Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania TCRA, acheni kujitetea kuhusu mikopo ya mtandaoni; je, hamna uwezo wa kuagiza makampuni ya simu kutosajili lipa namba wanazotumia kupokea marejesho?

    Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu: Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
  15. JamiiForums Tanzania Upi mtazamo wako juu ya hii kauli ya 50 cent kuhusu wanawake?

    " Wanawake hawako na wewe kwa kukupenda . 100% , 90, wapo na wewe kwa kile ulichonacho. Ninapoanzisha mahusiano na mwanamke, kabla hata ya kumkiss kuna fomu maalamu nampa asaini ili kuonesha kuwa ameridhia mwenyewe. Sitaki hadithi kesho iwe tofauti. Wanawake wengi huamini na kudhani kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, The game of Thrones inafichua ukweli kuhusu flat Earth na Mambo yaliyofichwa?

    Habari za Sasa hivi wakuu? Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu. ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu swala la ajira utaratibu ulibadilika awamu wa 5 Kulirundikwa watu mtaani sasa mama anahangaika kupunguza angalau hili wimbi la unemplyoment

    Jk alikuwa na utaratibu mzuri sana kila mwaka husika anaajiri walimu au madaktari wote waliohitimu huo mwaka kiasi ambacho kulikuwa kuna scarcity ya watu mtaani na ikapelekea private sector lazima watoe mishahara mikubwa ili kumconnvince mtu asiende serikalini. Sasa lilikuja likaharibu kila...
  18. JamiiForums Tanzania Tuwakumbushe watoto wa 2000 na waweka mabango kuhusu mechi za simba na yanga

    Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba 1.6-0 2.5-0 3.4-1 4.3-1 5.2-0 6.1-0 Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba kuinyanyasa yanga Uto tunaitaka rekodi kama hii tuione!
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu status ya HESLB

    Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wa jamii Forum kuhusu App na website yao

    Kwema wakuu KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi. 1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications. 2. Kwenye recently post zina jirudia rudia hata kama tayari umeshaisoma yaani inabdi ukiisoma itoke ila cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…