kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

    Hellow Tanganyika!! Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili. Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi...
  2. JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Karibu utiririke…
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu kuhusu biashara

    WAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni biashara gani italipa
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kipimo hiki cha matatizo yote ya mwilini

    Wanajf ninaomba anayekifahamu kipimo hiki anieleweshe!Ni kipimo nimeambiwa unalipia sh.30000,wewe ni kukaa na kusubiria majibu ndani ya dakika chache!Utaambiwa shida zako zote!Kwa kuwa ni suala la kiafya ninaomba wataalamu njooni mnielimishe kwani kama mnavyojua sasa hivi "afya" imegeuzwa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye Ujuzi na uelewa kuhusu policy za warranty za electronic devices

    Habari za wakati huu wana Jf. Kuna issue imenitokea week iliyopita nimeenda kariakoo kununua Smart tv TCL inch 32 Tshs 380000; imejaribiwa ikawaka vizuri nikafanya malipo nikaondoka. Kufika nyumbani nimeiwasha nimeunganisha wifi nacheki video youtube ikazima yenyewe, Yaani taa nyekundu upande wa...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

    Wakuu Salaam, Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana. Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii

    Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii. Utangulizi: Hapa kuna ufafanuzi wa maswali yako: 1. Wanasiasa walisomea wapi kazi ya nishati safi? Wanasiasa wengi hawana ujuzi wa kitaaluma katika nishati safi, lakini...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Waziri unajisifia kuhusu ajira za Walimu wakati nafasi zipo 14,000 kati ya 200,000 walioomba, huoni aibu Waziri Simbachawene?

    Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi? Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
  9. JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata mkopo nikitaka kusoma Diploma?

    Habari za sahivi wana JamiiForums, Naomba kujua kama umesoma veta hadi level 3, sasa unataka kwenda diploma je unaweza pewa mkopo, na kwa njia zipi? Msaada tafadhali
  10. JamiiForums Tanzania Utu uzima umebadili mtazamo wangu kuhusu mafanikio

    Nikiwa chini ya miaka 20 nilikuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa umasikini na shida niliona kama vitu vya kupita. Nilikuwa najiuliza na kushangaa sana inakuwaje mtu anaishi mpaka anafika miaka 30 hana nyumba, hajaoa hata hawazi kununua gari? Huo ni uzembe bwana nilijijibu mwenyewe. Sikuwahi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hili la majina yanayofanana kwenye nyaraka zote usaili wa Walimu, ni mpango wa Serikali kujipatia pesa

    KUHUSU USAILI WA WALIMU Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama cheti Cha kuzaliwa kina majina full pasipo initial na vya taaluma view vivyo hivyo. Sasa concern yangu...
  12. JamiiForums Tanzania Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi Kuhusu Mambo ya Nishati

    Wakuu Tanzania tunategemewa kuwa host wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaenda kwa jina la Africa Heads of State Energy Summit utakaofanyika January 27 - 28, 2025 Dar es Salaam, Tanzania Tungependa Kujua Utaratibu ambao Wizara ya Nishati inatumia Kuinvite delegates na stakeholders mbalimbali...
  13. JamiiForums Tanzania Jamii ibadilishe mtazamo kuhusu madeni ya hospitali kwa wapendwa waliofariki

    Kumekuwa na mjadala mzito katika jamii yetu kuhusu tabia ya hospitali, iwe za umma au binafsi, kuzuia miili ya wapendwa wetu waliotutoka mpaka familia iweze kulipa madeni yaliyosalia. Wengi hulalamika wakisema kwamba mtu anapofariki, hana tena jukumu la deni, na kwa hiyo familia inapaswa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania YAHUSU MTAALA MPYA

    Jana usiku nilifuatilia mjadala wa Hoja yenye kichwa cha habari kinachohusu Mtaala Mpya katika Shule za Sekondari ambayo inasisitiza "Elimu Ujuzi". Nia ya mpango huu ni nzuri kabisa na nimponngezee Mhe. Rais na viongozi wote walioliona wazo hili. Wanafunzi wanatakiwa wawe na elimu ya ujuzi ili...
  15. JamiiForums Tanzania Wazee wetu hawakuwa wajinga kututafutia wake wa kuoa! Wasukuma tulibezwa sana kuhusu hili yamkini waliona mbali.

    Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko) Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei mfano ni babu yangu kuwatafutia baba zangu wote wanawake wa kuoa na akalifanikisha wote akiwamo na baba...
  16. JamiiForums Tanzania Tunga sentensi yeyote kuhusu hii picha.

    😃😃😃😃😀😀😃😃
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelemishwa kuhusu ulaji wa Samaki wanaofugwa kwenye Mabwawa

    Kumekuwa na uwekezaji mkubwa wa ufugaji wa samaki hasa katika Ziwa Victoria. Hili ni jambo la kupongeza sana na mpaka Wachina wamejenga kiwanda cha vyakula vya hawa samaki. Juzi nimepita katika eneo la Luchelele Mwanza palipo na mabwawa haya ya kufugia samaki na kushuhudia uvunaji wao...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Waliosoma uganda au wenye kujua kuhusu hii kozi ya ufamasia nchini uganda

    Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
  19. JamiiForums Tanzania Tujadiliane kuhusu michongo.

    Wadau tujadiliane kuhusu michongo mbalimbali je ni sekta gani zenye kipato Cha kuridhisha?
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…