kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Anaandika mchambuzi nguli wa mpira, Geoff Lea kuhusu Kocha wa Singida kutua Yanga

    Viongozi wa Singida lazima waende peponi,hamna watu wana upendo wa mshumaa kuliko hawa katika soka kokote pale duniani,ukitaka mchezaji wanakupa ukitaka kocha wanakupa ushindwe wewe tu
  2. JamiiForums Tanzania Video: Kuhusu team yangu ya Yanga. Huyu atafutwe kabisa

    Looooooh....salaaaaaleh..... Huyu jamaa . Na mwandishi anamsikiliza tu..... Hili suala la Yanga kuwa na Mamluki wanatoa siri za club ni sababu ya Manara. Hawaweki siri.
  3. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga

    Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports Vs Jkt Tanzania Vs Coastal Union Vs Tabora United SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani Vs Singida Black Stars Vs...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Taarifa gani umewahi kusikia kuhusu Saratani ikakupa shaka?

    Kila mwaka Februari 04 huwa ni siku ya kuadhimisha saratani duniani kwa lengo la kutoa elimu, takwimu na uelewa kuhusu Saratani. Na kwa takwimu za mwaka 2024 zimeonesha kuwa bara la Asia ndo linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waangaa wa Saratani ya shingo ya kizazi SARATANI NI NINI Miili...
  5. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kibonzo cha Kipanya kuhusu CHADEMA na mchoro wa pundamilia usiokwisha

    Wakuu, Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja. Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
  6. JamiiForums Tanzania Dodoma: NEMC Kanda ya kati, kufanyia kazi Malalamiko kuhusu athari za sauti. Imekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji

    Dodoma: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kati kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Januari, 2025, limekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji katika Mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida ikiwa ni asilimia 75 ya makadirio kwa mwaka 2024/25. Kaimu Meneja wa NEMC...
  7. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga msivuke mipaka mnapotoa ahadi kuhusu mechi za Simba

    Komeo Lachuma, Minjingu Jingu, Labani og, Medecin
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kagame kumpigia Marco Rubio kuhusu mgogoro ni udhaifu

    Kagame anajua kuna beef la South Africa na USA kwasababu ya BRICS. Sasa kajioendekeza kwa Marco Rubio ambaye ni kama waziri wa mambo ya nje wa USA. Yaani migogoro yetu wanajenshi wetu wanakufa mpaka leo tunasubiria wazungu wazuie sisi kuuwana. Kijinga zaidi silaha tuna nunua kwao.! Lakini kagame...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

    Tangu mwanzo hadi ufunuo sijawahi ona biblia imetamka wazi kuwa manefili yalitokana na uzao wa mtu fulani sijawahi ona hilo andiko.Badala yake maandiko yanakuwa yanaibuka ghafla tu na kuwataja wanefili. Sote tuna soma mwanzo 6 hadi9 na kuona ya kwamba Mungu aliingamiza dunia na viumbe vyake...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Jamii ni hatua gani tunachukua kuhusu uozo ulioandikwa na Eric Kabendera

    Kwa wiki sasa nimekuwa ninasikiliza historia za viongozi madikteta Afrika. Nimesikiliza jinsi walivyoua na kunyanganya uhuru wa watu. Nimesikiliza kuhusu Samuel Doe, Iddi Amin Dada, Mobutu na madikteta wengi sana. Kwa kweli roho imeniuma sana viongozi wanaoaminika na kupewa madaraka na badala...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya LISSU, Fanyeni mnavyoweza, Kuutangazia na Kuusambazia Umma Habari za Utabiri wa SHEIKH YAHYA kuhusu UPINZAN KUCHUKUA NCHI !!

    Mtakuja Kunishukuru sana !!. Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi. Tumieni Kila kitu mlichonacho kuhakikisha Huo unakua Wimbo Mtaani kuanzia Mijini mpaka Vijijin. Kwa wanaoona Mbali kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RETREAT YA CHADEMA: Azimieni kuwatetea kundi kubwa la Watumishi wa Umma kuhusu kupandishiwa Mishahara mtanishukuru baadae

    Kiukweli hili ni kundi kubwa sana sema kisiasa Wapinzani hawalipi Umuhimu unaostahili. Kundi hili limeathirika kwa muda mrefu sana toka kipindi cha Magufuli takribani Miaka 10 kuna watu hawajapata Nyongeza yoyote ya maana zaidi ya hizo elf 20 ilihali kiuhalisia Gharama za Maisha zimepanda...
  13. JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu wanawake na uongozi!

    Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!. Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
  15. JamiiForums Tanzania Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

  16. S

    JamiiForums Tanzania Enduring Lies: Je, Tulidanganywa Kuhusu Mauaji ya Kimbari ya Mwaka 1994?

    Jana, katika pitapita zangu nikifuatilia yanayoendelea Goma, nikakutana na maoni yenye kutaja kitabu kiitwacho Enduring Lies. Nikavutiwa nacho na nikaamua kukitafuta, bahati nzuri nikakipata. Kulingana na waandishi wa kitabu hiki, kile tunachoambiwa kuhusu mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 ni...
  17. JamiiForums Tanzania Tahadhari kuhusu wanaotaka kutuma fedha nje ya nchi kupitia airtelmoney

    Habari ba-Ndugu? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, nawatahadhalisha wale wenye mpango wa kutumia Airtelmoney kutuma fedha nje ya nchi kufikiri kutumia njia nyingine badala ya hii. Nilituma fedha SA tarehe 20 Jan mpaka ninavyoandika hapa fedha hiyo haijamfikia mlengwa, Nimewapigia Airtel jibu...
  18. JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
  19. JamiiForums Tanzania Pata uelewa kuhusu hifadhi za Taifa za Tanzania

    Hifadhi za taifa za Tanzania ni hazina ya asili na utamaduni ambazo zinatoa fursa nyingi za utalii. Kila hifadhi ina uzuri wake wa kipekee, ikiwa na mazingira tofauti, wanyama wa porini, na tamaduni tofauti za wenyeji. Tembelea Tanzania na uone vivutio vyake vya ajabu! Katika hifadhi kama...
  20. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Taifa la Burundi

    Niulize historia, fursa, diplomasia, n. K nitakujibu Inasemakana Taifa la Burundi ndo nchi masikini zaidi duniani. Ukitaka uone shida za watu fika Burundi, kule ndo Kuna masikini na shida hasa, watu hawana nguo, viatu, watoto hawasoni, pesa ngumu n. K Burundi Kuna makabila makuu 3 amba ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…