kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkasa wa jamaa yangu kuhusu mtoto

    Habarini wadau, ningependa kushare na nyinyi humu jf kuhusiana na mkasa wa rafiki yangu ambaye sasa hivi yupo kama haelewi.Alikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi kwa miaka kama miwili iliyopita, baadae mahusiano yakawa yameisha. Amekaa baada ya miezi 8 ya mahusiano yao kuisha, yule mwanamke...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu maisha yangu na mke wangu. Mimi ni muislam

    Ukweli. Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na posho za wastan. Wife alifurahia maisha, anapoona hali sio nzr anakuwa hayuko kwenye Ibada, hali ikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania MAMBO YA MSINGI KWA MWANAUME KUJUA KUHUSU MAHUSIANO:

    Wakuu habarini za wakati huu, kutokana na trends ya vijana wa kiume wengi wa chuo ndani ya wiki hizi mbili kujinyonga au kujidhuru nafsi kutokana na mapenzi. Nimeamua kupita na nondo zilezile za ndugu yangu Natafuta Ajira ili kuwahasa vijana wenzangu. 1. Jifunze kujidhibiti –...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi kuhusu posho za nje ya kituo cha kazi

    Salaam wakuu. Naomba msaada tajwa hapo juu kuhusu posho Kwa viongozi Hasa kuanzia ngazi ya wizara na juu yahapo. Kinachonitatiza nikwamba,hivi kiongozi mwenye dhamana ya kushughulikia masuala yote ndani ya nchi(mikoa yote) ambaye ofisi Yake ipo Dar Kwa mfano, anaweza kulipwa posho akiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Zumaridi yupo sahihi (Mwafrika hajaumbwa/ Mwafrika ni Mungu) Likud 7th theory of creation

    Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani. Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani. Hii ni nadharia yangu namba saba. MWAFRIKA HAJAUMBWA. Ila? MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu. Kama ambavyo Mungu hana...
  6. JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Likizo

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Ndugu wafanyakazi, Leo nimekuja kuzungumza nanyi siyo tu kama mfanyakazi mwenzenu, bali kama mtu anayejali maisha yenu ya sasa na yale yajayo. Nataka tujiulize swali moja la msingi: Maisha yetu yatakuwaje baada ya kustaafu? Wengi wenu mkisikia neno “likizo”...
  7. JamiiForums Tanzania Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Ndg wanajamvi,Habari za majukumu,Wapo poleni na wapo hongereni,mimi mwenzenu bado ni mzima wa Afya. Kama ilivyo kawaida kwa watu wa asili moja,nchi moja bara moja lazima na ni bora tuwe na mtazamo wa dunia moja katika ulimwengu tuishio,Hapa Nina mtazamo wa kalooism kuhusu namna fulani inayoweza...
  8. JamiiForums Tanzania Mo dewji kaamua kuwasiliana moja kwa moja na raisi wa CAF, motsepe kuhusu mechi ya fainali kuchezwa zenji

    President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe. Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar. He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi CAF yatoa maelekezo kwa broadcasting wote kuhusu mabadiliko ya Uwanja

  10. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Polonium-210

    Habari Wana JF Leo nimeamua kuwaletea Uzi unaojadili Element yenye radioactivity iitwayo polonium. Kwa kuwa polonium ni unstable ina contain isotopes na moja ya Isotopes ni Polonium-210. Polonium huzalishwa kiwandani kitaalamu Kwa njia ya "Neutron bombardment" ambapo element ya Bismuth...
  11. JamiiForums Tanzania Usilo lijua kuhusu kutokwenda na muda kwa Waafrika

    Nimekuwa mdau mzuri sana wa muda toka nikiwa awali.2006. Nilisoma kwa raha sana nikiwa shule ya msingi Vikonje, Dodoma .Sababu ilonifanya nijione mimi ni bora sana kipindi hiko kwa sababu sikuwahi kukutwa kwenye jopo la waliokosa namba za saa Kumi na mbili na nusu. Nilipofika elimu ya juu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama. Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Elie Mpanzu na Simba

    Kuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC. Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita haimmiliki Mpanzu toka msimu jana. Mpanzu alitakiwa aje Simba dirisha kubwa lililoisha ila AS Vita...
  14. JamiiForums Tanzania Simba wapo Morocco, Yanga tumeenda Kongo kuulizia kuhusu Elie Mpanzu. Dunia haipo fair kabisa

    Sisi ndo sisi..... Hakuna kama sisi.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu dini za kuja na demokrasia dhidi ya Waafrika

    Ukweli ni: 1.Dini iliundwa kuwazuia Waafrika kuhoji matendo ya wakoloni (wanaharakati), kupitia ujanja wa Brian. 2. Demokrasia iliundwa ili kulinda uamuzi wa viongozi wa Kiafrika kwa mapenzi ya wakoloni (wanaharakati), kiongozi yeyote ambaye anakiuka au kutowatii huondolewa kwa mapinduzi au...
  16. JamiiForums Tanzania Kukosa akili kwa CCM na System kunazidi kuthibitisha Uhalali wa Ajenda ya Chadema kuhusu No Reforms No Election.

    Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema. Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa. Wakati Maofisa wa System wakienda kumwaga vitu vya kemikali kwenye Ofisi za Chadema Mbeya kuwatisha Wanachadema na Wanambeya kuacha...
  17. JamiiForums Tanzania Try Again atuliza taharuki kuhusu Mpanzu, adai Mpanzu ni mali halali ya Simba na alisaini Miaka Miwili ofisini kwake

    Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah Muhene maarufu 'Try Again' ameeleza yanayoendelea kuhusu Elie Mpanzu kuwa yupo Klabuni humo kwa mkopo. "Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa Simba alisaini mkataba wa miaka miwili tena alisaini ofisini kwangu sasa yanayoendelea kwasasa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Sheria Inasemaje Kuhusu Ukamataji?

    UKAMATAJI, KIZUIZI NA MIPAKA YA MAMLAKA: HAKI ZA MSINGI KATIKA SHERIA YA TANZANIA Katika mazingira ya kawaida ya maisha ya kila siku, si jambo la ajabu kusikia mtu amekamatwa either barabarani, ofisini au hata nyumbani kwake mbele ya familia. Wapo waliowahi kushuhudia mtu akibebwa kimya kimya...
  19. JamiiForums Tanzania Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi, niliibiwa

    Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi unapokwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi niliibiwa Kwanza unachokisoma kwa watu mbalimbali humu unatakiwa kuchanganya na zako, as long as hakitakuwa na shida upande wako, maana kila mtu ana andika jambo...
  20. JamiiForums Tanzania Haya yanayosadikika kuhusu Kaburi la Siri la kijiji cha Lubasazi la Bibi Ajuza ni ya kweli?

    Mwaka 1982, kijiji cha Lubasazi kilichopo Kata ya Kolero, Wilaya ya Morogoro Vijijini, kilipata msiba mzito. Mzee wa heshima kijijini hapo alifariki. Halikuwa jambo la kawaida watu walianza kusema yule Mzee hakufariki kifo cha kawaida, kuna mkono wa watu. Baada ya mazishi maisha yaliendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…