kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    PreGE2025 Mbunge Saashisha kuna hujuma dhidi yako na serikali jimboni kuhusu umeme wa REA kitongoji cha Mlimafaru

    Naomba msaada kwa anayeweza kupenyeza ujumbe huu kwa Mh.Mbunge Saashisha Mafue wa Jimbo la Hai na Serikali sikivu ya Ccm. Hivi karibuni Serikali ilianza zoezi la kusambaza nguzo za umeme wa Rea kwenye vitongoji kadhaa vya wilaya ya Hai. Kwenye kitongoji Cha MLIMAFARU kilichopo kijiji Cha...
  2. Ukiwa mdogo utaamin kwa 35% mambo ambayo baba yako analalamika kuhusu mama yako, ukisha pevuka utayaamini kwa 45% na ukisha utayaamini kwa 88%

    Kuna wakati utamsjudu baba baadae utamchukia then baadae unaishia kumuenzi. Hii ndio cycle ya kijana wa kiume katika uhusiano wake na baba yake ambao kwa asilimia kubwa utaathiriwa na mama yake. Maan mama ndio sikio ya mtoto wa kiume Ila ukisha oa, dunia yako inasambaratika vipande na kuanza...
  3. Upi ni msimamo wa Wasabato kuhusu sikukuu za Krisimasi na Pasaka?

    Misimamo wa Wasabato imekuwa ya utofauti kwa kiasi kikubwa kulingana na Wakristo wengine. Vp kuhusu hizi siku kuu mbili wanaendana nazo? Na kama haziko katika mifumo yao, je kwao tarehe sahihi za Yesu kuzaliwa na Yeu kufufuka?
  4. Vitabu vinavyoweza kukupa mwanga maarifa kuhusu mafanikio

    Kama unatafuta vitabu vya kujifunza siri za utajiri, kujenga mali, na mafanikio ya kifedha, hapa kuna baadhi ya vitabu maarufu na vya thamani vinavyoshughulikia mada hii: ### 1. Vitabu vya Klasiki kuhusu Utafiti na Uwekezaji - "The Richest Man in Babylon" – George S. Clason (Mtu Mjakazi...
  5. Kauli ya Chriss Brown kuhusu ndoa alipoulizwa kwann haoi?

    “I don’t want to get married because I’ve realized all women do is try to use marriage as a quick way to get rich and continue their expensive lifestyle after making you sign the dǐvorce papers. Most of them come with a plan. They act sweet, marry you, and all of a sudden they switch and show...
  6. PreGE2025 CHADEMA waijibu Polisi kuzuia wananchi kukusanyika Mahakamani siku ya kesi ya Lissu, wasema ni kudhoofisha Demokrasia

    Wakuu,
  7. PreGE2025 Ado Shaibu: CCM inashinda kwa mbeleko ya dola! Atoa msimamo wa ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Oktoba 2025

    Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu amesema CCM inashinda kwa mbeleko ya dola, akitoa msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu Uchaguzi https://www.youtube.com/live/F0cmJ6K7t5E Kuhusu G-55 na Wabunge 19 "Tutawapokea, umezungumza kuhusu Kundi la G-55, mtu yeyote anayetaka kujiunga na ACT Wazalendo...
  8. Niulize lolote Kuhusu Biashara Ya Library Ya Movies

    Karibuni wakuu....
  9. W

    Mambo usiyoyafahamu kuhusu Popo (Bat)

    Kila tarehe 17 Aprili huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Popo (International Bat Day). Lakini wanyama hawa huchukuliwa vibaya, huogopwa na mara nyingi kuchukiwa na kudhaniwa kuwa ni viumbe wenye Bahati mbaya, mkosi na Hatari jambo linalofanya wauwawe kwa hofu. Lakini sehemu nyingine kama...
  10. Mukhtasari wa Ripoti Ya CAG Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mashirika ya Umma nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe...
  11. Sikukuu za Pasaka na mafundisho kuhusu kuishi kwa dhamira na kuchagua kwa Hekima.

    Kwa unyenyekevu na matumaini wanazuoni wenzangu, heshima sana kwenu............... Sherehe za Pasaka zinatufundisha kila mwaka kuhusu maadili ya kujitolea, ukweli, na dhamira. Pasaka ilitokea baada ya Yuda kumsaliti Yesu kwa fedha za dhihaka, lakini pasaka sio tu kumbukumbu ya tukio la...
  12. M

    Mlitudanganya sana kuhusu Bandari kuwa imeuzwa leo mnatudanganya No reforms No elections, ndio maana Dotto Magari anachukia wasomi

    Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu hakuna zuri. Suala la mkataba wa Bandari ndilo lilimpa umaarufu Mwabukusi hadi leo amekuwa Rais wa...
  13. Swali kuhusu combination

    Jaman,mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka 2024,naomba kuuliz je ukiwa na matokeo haya nisomee comb gani ili nipagie coz y radiology chuo Math B Bios B Chem C Phy D Geog c sielew ,nahitaji kusoma PCB lkn sijui kama nitakubaliwa,,,naomben maoni yenu
  14. Maswali Yanayoulizwa kuhusu Matumizi ya Akili mnemba katika Taaluma ya Uandishi Wa Habari

    Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
  15. Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  16. Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

    1. Mke wa Mwalimu 2. Mke wa Mkapa 3. Wake wa Mwinyi 4. Mke wa Karume Sr 5. Mke wa Lowassa 6. Mke wa JPM 7. Wake wa Sokoine 8. Mke wa A. Jumbe 9. Mke wa I. Wakili
  17. Ushahidi kuhusu kampuni za mikopo mtandaoni

    Habari wana JF, Ngoja nisonge kwenye mada, kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni nilikumbwa na changamoto iliyohitaji fedha ya haraka. Basi katika pita pita zangu nikaangukia kwenye kampuni za mkopo mtandaoni ambazo ni PesaX pro na Zimacash. Nilikopa na kulipa kwa wakati. Baada ya hapo...
  18. Naomba munieleweshe kuhusu usajili wa gari Dar es Salaam

    Habari zenu naomba kuuliza ukitoa gari znz kupeleka dar ikifika hatua hadi unatumiwa controll number ukalipie usajili je baada ya hapo unalipa tena pesa kwa ajili ya kadi ya gari na plate number?
  19. Kuhusu Madaraja ya Watumishi na Mseleleko 2025

    Itakumbukwa mwaka jana watumishi walioajiriwa 2005 kurudi nyuma waliseleleka hadi daraja G by default bila kujali daraja alilokuwepo! Je, ajira za 2006 na kuendelea tukae mkao wa kula mwezi ujao?
  20. Houthi waongopa kuhusu shambulizi la uwanja wa ndege wa Ben Gurion na mbeba ndege-vita USS Harry Truman.

    Waasi wa Houthi wanadai kwa uwongo kuwa waliweza kuushambulia uwanja wa ndege wa Israel Ben Gurion, mbeba ndege-vita USS Harry Truman ya Marekani madai hayo ya uongo yalitolewa kama ifuatavyo; Msemaji wa jeshi la Houthi Yahya Saree alijigamba kwamba usafiri wa anga katika uwanja huo wa ndege...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…