kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Kuhisi Nyege

    Ukweli Kuhusu Kuhisi Nyege: 1. Kuhisi nyege sio dhambi wala si jambo baya. 2. Umepata baraka kama umeoa au umeolewa na mtu anayekuwa na nyege nyingi kwa ajili yako tu. 3. Moja ya vitu vinavyoua hamu ya kushiriki tendo la ndoa ni ugomvi wa mara kwa mara na wa muda mrefu. 4. Sio wanaume tu huwa...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka leo mitaala ya elimu yetu ni ile wanasoma Bunsen burner

    Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu. Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) yatoa ufafanuzi kuhusu hoja za Mdau aliyehoji utendaji wao

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa hoja kadha akieleza kuwa haridhishwi na utendaji wa Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) akidai halisimamii vizuri uhuishaji wa leseni na mengine kadhaa, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo... Hoja ya awali ya Mwananchi huyo ipo hapa - Baraza...
  7. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    IJUE ZAIDI NYOTA YA SIMBA , Angalia zaidi uhusiano wa nyota ya SIMBA na nyota zingine Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba. Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize mchambuzi kuhusu ustawi wa watu ,taifa, na Uongozi/viongozi wetu na matumizi ya fedha zetu na uhalisia wa mipango yetu ya maendeleo 2050

    Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
  9. JamiiForums Tanzania Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

    Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?. Naomba hili swali nijibiwe na...
  10. JamiiForums Tanzania Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili?

    Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili? Katika kipindi hiki ambapo msongo wa mawazo umeongezeka, ni muhimu sana kupata maarifa sahihi. 🎓 Kozi hii kutoka ChuoSmart inaeleza kwa lugha rahisi: Dalili za matatizo ya afya ya akili Namna ya kujisaidia au kusaidia wengine Njia za...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini darasani hatujafundishwa kuhusu wanawake hawa walioshiriki kupigania Uhuru wa Tanganyika?

    Wakuu, Nimekutana na picha hii na nimepata maswali sana. Hawa ni wajumbe wa tawi la wanawake la TANU wakiagana na Mwalimu Nyerere usiku wa kuamkia safari yake ya Umoja wa Mataifa mwaka 1955 Kutoka kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa, maarufu Mama Sakina, Bi. Titi Mohamed, kushoto wa kwanza ni...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwamposa na Mashehe sijui wanasemaje kuhusu mama?

    Naona ili anguko linaenda kuwaangukia watu, maombi ya Mwamposa hayakufanya kazi? Wako wapi mashehe watoa mapovu? Je kanisa nalo limefanya vitu vyake?
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu volunteer au Internship ya computer science

    Ndugu narejea tena naombeni nafasi ya kufanya internship au volunteer niweze kupata ujuzi zaidi mimi ni graduate nina masters of science in computer science umri miaka 28 ninauhitaji wa kufanya intern mkoa wowote. Mimi ni mtaalamu wa data science , Machine learning, AI, mobile app, data...
  15. JamiiForums Tanzania Wakili Marijani: Waliozuiwa CHADEMA hawatakiwi kuzungumza na Vyombo vya Habari kuhusu masuala ya vyama

    Wakili Shabaan Marijani amesema watu wote waliyotajwa katika zuio la Mahakama la kutokushiriki shughuli zozote za kisiasa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hawaruhusiwi hata kuzungumza na vyombo vya habari. Aidha, amesema wakitaka kuzungumza na vyombo hivyo wasizungumze...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?. Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu . Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
  17. JamiiForums Tanzania Yaani kumsema na kuongea ukweli kuhusu imekuwa udini?

    WaTanzania wengi sana wamejengewa fikra kwamba wanapaswa kumuona Nyerere ni kama malaika yaani hapaswi kusemwa wala kukosolewa eti kwamba tukimkosoa basi ni udini na utapata matusi,kejeli na kila Aina ya maneno mabaya je mbona tunamsema Magufuli aliyoyafanya na wengi wenu hamlalamiki? Kwamba...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu dusupay

    Wakuu habari,niende kwenye mada. Ambae ana uzoefu na hawa DusuPay naomba anishirikishe tafadhali. Je wako vizuri? Pesa zinafika kwa wakati? Na pia je wanaruhusu utengeneze Payment links kama hauna document za biashara? Mbarikiwe.
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Tundu Lissu Agosti 12, 2025

    Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Maoni na ushauri binafsi wa Bishop Gwajima kuhusu Nonsense ya CHADEMA ya 'No Reforms No Election' upuuzwe

    Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika. Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…