kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tuige mfano wa Ethiopia kuhusu matumizi ya cheo cha Daktari

    Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na Msukuma. Nasi, kama taifa lenye watu wanaoona mbele hata kama tupo wachache, tupige marufuku ukilaza huu...
  2. JamiiForums Tanzania PolePole hatoongea chochote cha maana acha niwasanue

    Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi?? Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie?? huoni kama anataka atimiziwe...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Comment ya Kitila Mkumbo JF Kuhusu Chanel ten 2009 kabla hajalamba Asali

    GT Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha 😆 🤣 😄 😂 kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..
  4. JamiiForums Tanzania Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi

    Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi tena natafuta kinywaji najipongeza burudani kabisa
  5. JamiiForums Tanzania Alichokijibu Muliro alipoulizwa kuhusu "Oktoba Tunatiki" na "No Reforms No Election"

    Wakuu, Huyu hapa ya Kamanda Muliro alipoulizwa kuhusu hizi slogan mbili ya No Reforms No Election pamoja na ile ya Oktoba Tunatiki Hapa Muliro amesema kwamba ya Oktoba Tunatiki inafuata sheria maana kupiga kura ni jambo ambalo lipo kwenye katibas meanwhile hii ya No Reforms No Election...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kanuni za kuendesha huduma za kifedha zinasemaje kuhusu ukadiriaji wa senti unaofanywa na huduma za pesa mtandao ?

    Kuna jambo nimeona kwenye kutumia huduma za fedha mtandao (Yas, kwa case yangu) likanitatiza. Wakati nikifanya malipo ya serikali kutumia app yao, sikuwa na namna ya kuingiza senti kuendana na nilichokua nalipia. Badala yake, mfumo ukafanya ukadiriaji wa juu (rounding up) na kunilazimu kulipia...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu Zaidi Kuhusu BATI

    FAHAMU ZAIDI: Corrugated / Migongo Midogo rangi ya carrot ni nzuri sana hustahimili hali zote za hewa mvua na jua kwa ubora uleule huzalishwq kwa Geji30 ambazo zinakaa 16pcs kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando FAHAMU...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

    Kuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera. Kuna mambo kadhaa k.v 1.Wewe ni mweusi, 2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu 3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda 4.Umeolewa? Utaolewa lini...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu sikio kuwa na hali kama ya kujaa maji, nifanyaje kabla ya kwenda hospital?

    Nilipata maumivu ya jino yaliyopelekea sikio kuuma na kufika baadae nikapata kama presha katika sikio, ile hali kama kuna kitu sikioni au maji hivi. Ni siku mbili sasa jino limepona kelele zimepungua ila ear fullness ,bado ipo Dawa za matone zimedoda, kuna njia yoyote ya huduma ya kwanza...
  10. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aliwaonya akina Lissu kuhusu No Elections, wakampuuza

    Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kutokupenda habari kuhusu Mungu ni aina gani ya tatizo?

    Wakuu habari zenu? Naomba mwenye msaada wa kimawazo tafadhali.
  12. JamiiForums Tanzania Hii video inazungumzia vizuri kuhusu Serikali hii

    Ni hayo tu!
  13. JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

    KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮 1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake. 2: Wakurya ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

    Nimepata uamisho kuelekea Isimani-Iringa, mwenye taarifa na eneo hili naomba anisaidie kujua fursa za uchumi zilizopo, pia tamaduni za watu wa huko pamoja na changamoto mbalimbali zilizopo ili niweze kujiandaa.
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

    Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu. By Ponjoro wa Kinondoni Kwasasa safarini kizimkazi.
  16. JamiiForums Tanzania DAWASA yawa mfano kwa Taasisi za Umma kuhusu Mawasiliano

    Leo nilitembekea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) Kinondoni, nikakuta wameweka Bango kubwa lenye majina na namba za Viongozi. Hii si kawaida, kukuta majina ya Viongizi yamewekwa wazi na namba zao za simu. Nashauri hata taasisi nyingine zifanye hivi ili kiondoa...
  17. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Azam kuhusu Golikipa Mohamed Mohamed Mustafa?

    Huyu golikipa ni mali sana ila sijui ilikuwaje akaondoka Azam ambayo ina fedha ndefu sana. Nilimwona langoni wakati Sudan ikiwaadabisha Nigeria kwenye CHAN 2024 ikiwa ni dhahiri kuwa hayuko Azam tena.
  18. JamiiForums Tanzania Ninataka kuiandikia FIFA kuhusu mapendano ya Yanga na CCM. Niongeze nini?

    Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
  20. JamiiForums Tanzania Unakumbuka kitu gani kuhusu Channel ya TV1

    Januari 10, 2014, historia ya televisheni nchini Tanzania ilibadilika kwa kuzinduliwa kwa kituo kipya cha TV1, kupitia StarTimes Channel nambari 103. Ikiwa sehemu ya kituo cha Viasat 1 kutoka Ghana, TV1 iliingia sokoni kwa kishindo, ikibeba ahadi kubwa ya kubadilisha jinsi Watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…