kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya CHADEMA kuhusu mgawanyiko wa mali

    Kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi la Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaendelea leo, Jumatano Septemba 10.2025 kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Genius aelezea kuhusu No reform no election!

    Chadema ndiyo chama peke cha upinzani!
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa Kutoka Taifa Group Kuhusu Shutuma Za TANCOAL

  4. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu nini cha kusoma ngazi ya Shahada

    Habari wanajukwaa Naomba ushauri wenu hapa Kuna mdogo wangu ananiomba ushairi kati ya Architecture technology au ualimu wa mathematics na economics unaweza mshauri huyu dogo asome coz gani kati ya hizi
  5. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  6. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wanapropaganda Waliozunguka nchi nzima kuipaka matope serikali kuhusu ubia wa Bandari hawakujua tofauti kati Ubinafshaji na Ubia

    https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mahojiano maalum, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bw. David Kafulila, ametoa...
  7. JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua kuhusu m Koba

    Nimeunga kikundi kupitia m Koba lakini tunacheza vikoba Sasa nahitaji kukopesha hela Kwa wanachachama Ili warudishe Kwa riba mfuko uweze kukua nashindwa nianzie wapi mimi ni mwenyekiti wa kikundi,msaada tafadhali na wakikopa Mwanachama akirudisha hela itakayorudishwa pamoja na riba vitaonekana...
  8. JamiiForums Tanzania Tuelimishane kidogo kuhusu wadukuzi (Hackers)

    Habari wana jm. Juzi katika pitapita zangu uko youtube nilikutana na video moja ya jaamaa anaitwa () ni mbongo mwenzetu alikua akielezea zofauti ya IT na cybersecurity ase niliumia sana🥲🥲. Kilicho niumiza zaidi ni upande wa comment ase pale ndo niligundua watu wanapenda sana kujua udukuzi ni...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

    Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM. Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni. Ingawa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeandika kitabu kuhusu upinzani Tanzania,naomba ushiriki kupendekeza angalau jina la kitabu

    Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo nimewaza haya kwa kuanzia 1“Machozi na Damu za Ukombozi” 2. “Kilio cha Mashujaa: Historia...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

    Iwapo kuna mbinguni na kuzimu wanakoenda Wafrika wakifa je kabla ya wamisionari walienda wapi?
  13. JamiiForums Tanzania TAZAMA JINSI BABA WA SHEIKH NJUKI AKIONGELEA KWA UCHUNGU KUHUSU KIFO CHA MWANAE NA KUHUSU ALBADIR ALIOSOMEWA

    https://youtu.be/_lshKiauQnI?si=oS7IUQmHxyEmnl5u hamis77 Echolima1 Marco Seth Tazameni mazito ya hawa wenzetu
  14. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  15. JamiiForums Tanzania Bitukinao si tu hajali kuhusu TAIFA bali pia hasikii chochote, masikioni kavaa pamba na machoni kavaa miwani ya mbao

    Unaweza kumhukum Bure huyu mtu ila ukijua kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia kuule kwenye ukarani na washauri wake ndo wanamwendesha namna hiyo akiwa kitini basi utapunguza kumuhukumu . Hebu fikiria form four failure alopitia cheti na diploma anawezaje kumanage heavy tasks kama hizo...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana; leo nawaibia siri kidogo kuhusu ugumu wa maisha mnaopitia

    Leo siwapi kila kitu ila nitaendelea kutoa kila nikipata muda 1. Zinaa ( kula/ kuliwa mzigo) ni chanzo no1 kinachokwamisha harakati zako. Kubali, kataa, pinga au andamana ila huo ndio ukweli. Zile hisia za kujilaumu unazozipata baada ya kufanya ngono ni Taarifa ya kukuonesha kuwa kuna kitu cha...
  17. JamiiForums Tanzania Polepole naamini kuna kitu anakijua kuhusu kilichompata Lissu

    Ukiachana na SAGA za kundi mtandao na arithmetic equation ya Nida+Inec +ccm, kuna kitu polepole atakuwa anakifahamu kuhusu shambulio la TAL2017. Itoshe kusema kwamba nimemsikiliza BETWEEN THE LINES , kwa jinsi anavyogusiagusia kwa juu juu Chadema, ni kama kuna kitu kinamkaba koo kuhusu...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9

    Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9 Kumekuwa na ripoti na taarifa mbalimbali zinazosambaa mtandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu mpango uitwao "JICA Africa Hometown" uliozinduliwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) katika Mkutano...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Abdul Nondo amjibu Mwanasheria Garatwa kuhusu suala la Luhaga Joelson Mpina

    ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA. Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa. Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa kiti cha Urais ,Mh.Luhaga Joelson Mpina huku ukielekeza lawama kwa chama chetu kufuatia kinachoitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…