kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tunakumbuka nini kuhusu August 21?

    Binafsi nilijua naenda kusikiliza vitu vizito kutoka kwa Polepole. Jina lilikuwa kubwa sana kwamba ni siku inayokwenda kushangaza watu. Watu wakaunda nadharia ya vitu ambavyo viko likely kusikika muda umefika tukapata kitu gani? Kwanza tukawekwa zaidi ya lisaa na kutoa trafik kwa youtube mmoja...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Polepole, hawa watu wakiendelea kushupaza shingo kuhusu huo mfumo wa wizi wa kura, toka tena hadharani ueleze unavyofanya kazi na uwataje wahusika

    Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tuige mfano wa Ethiopia kuhusu matumizi ya cheo cha Daktari

    Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na Msukuma. Nasi, kama taifa lenye watu wanaoona mbele hata kama tupo wachache, tupige marufuku ukilaza huu...
  5. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania PolePole hatoongea chochote cha maana acha niwasanue

    Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi?? Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie?? huoni kama anataka atimiziwe...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Comment ya Kitila Mkumbo JF Kuhusu Chanel ten 2009 kabla hajalamba Asali

    GT Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha 😆 🤣 😄 😂 kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..
  7. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi

    Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi tena natafuta kinywaji najipongeza burudani kabisa
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania Alichokijibu Muliro alipoulizwa kuhusu "Oktoba Tunatiki" na "No Reforms No Election"

    Wakuu, Huyu hapa ya Kamanda Muliro alipoulizwa kuhusu hizi slogan mbili ya No Reforms No Election pamoja na ile ya Oktoba Tunatiki Hapa Muliro amesema kwamba ya Oktoba Tunatiki inafuata sheria maana kupiga kura ni jambo ambalo lipo kwenye katibas meanwhile hii ya No Reforms No Election...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kanuni za kuendesha huduma za kifedha zinasemaje kuhusu ukadiriaji wa senti unaofanywa na huduma za pesa mtandao ?

    Kuna jambo nimeona kwenye kutumia huduma za fedha mtandao (Yas, kwa case yangu) likanitatiza. Wakati nikifanya malipo ya serikali kutumia app yao, sikuwa na namna ya kuingiza senti kuendana na nilichokua nalipia. Badala yake, mfumo ukafanya ukadiriaji wa juu (rounding up) na kunilazimu kulipia...
  10. mrKey Milly

    JamiiForums Tanzania Fahamu Zaidi Kuhusu BATI

    FAHAMU ZAIDI: Corrugated / Migongo Midogo rangi ya carrot ni nzuri sana hustahimili hali zote za hewa mvua na jua kwa ubora uleule huzalishwq kwa Geji30 ambazo zinakaa 16pcs kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando FAHAMU...
  11. proton pump

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

    Kuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera. Kuna mambo kadhaa k.v 1.Wewe ni mweusi, 2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu 3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda 4.Umeolewa? Utaolewa lini...
  12. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu sikio kuwa na hali kama ya kujaa maji, nifanyaje kabla ya kwenda hospital?

    Nilipata maumivu ya jino yaliyopelekea sikio kuuma na kufika baadae nikapata kama presha katika sikio, ile hali kama kuna kitu sikioni au maji hivi. Ni siku mbili sasa jino limepona kelele zimepungua ila ear fullness ,bado ipo Dawa za matone zimedoda, kuna njia yoyote ya huduma ya kwanza...
  13. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aliwaonya akina Lissu kuhusu No Elections, wakampuuza

    Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kutokupenda habari kuhusu Mungu ni aina gani ya tatizo?

    Wakuu habari zenu? Naomba mwenye msaada wa kimawazo tafadhali.
  15. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Hii video inazungumzia vizuri kuhusu Serikali hii

    Ni hayo tu!
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

    KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮 1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake. 2: Wakurya ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

    Nimepata uamisho kuelekea Isimani-Iringa, mwenye taarifa na eneo hili naomba anisaidie kujua fursa za uchumi zilizopo, pia tamaduni za watu wa huko pamoja na changamoto mbalimbali zilizopo ili niweze kujiandaa.
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

    Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu. By Ponjoro wa Kinondoni Kwasasa safarini kizimkazi.
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA yawa mfano kwa Taasisi za Umma kuhusu Mawasiliano

    Leo nilitembekea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) Kinondoni, nikakuta wameweka Bango kubwa lenye majina na namba za Viongozi. Hii si kawaida, kukuta majina ya Viongizi yamewekwa wazi na namba zao za simu. Nashauri hata taasisi nyingine zifanye hivi ili kiondoa...
  20. Kichuguu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Azam kuhusu Golikipa Mohamed Mohamed Mustafa?

    Huyu golikipa ni mali sana ila sijui ilikuwaje akaondoka Azam ambayo ina fedha ndefu sana. Nilimwona langoni wakati Sudan ikiwaadabisha Nigeria kwenye CHAN 2024 ikiwa ni dhahiri kuwa hayuko Azam tena.
Back
Top Bottom