Juzi niliangalia Video ya mdada anayefanya u sugar baby Akihojiwa, anasema yeye anadate na wanaume wenye pesa Nyingi, ili apewe pesa itakayomfanya aishi maisha ya juu.
Anasema aki-interact na wanaume wanaomuhonga, kiuhalisia hafurahii kabisa anapoongea nao na anapokua nao kwenye date, ila...