kuharibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

    Jeshi la China linasema liko tayari kuharibu harakati za aina yoyote za uhuru wa Taiwan, huku Marekani ikijiandaa kuharakisha uuzaji wa silaha za kujihami kwa demokrasia ya kisiwa kinachojitawala. Msemaji wa Wizara ya Ulinzi, Kanali Tan Kefei anasema ongezeko la hivi karibuni la mabadilishano...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushangiliaji wa mashabiki wa Wydad Casablanca, unatosha kabisa kuharibu saikoljia ya wachezaji wa timu pinzani

    Hakika huu ndio ukweli na hii ni baada ya kuona clip mmoja mtandaoni. Mashabiki wa hii timu wana spirit ya ajabu katika kushangilia na kuna wahamasishaji kabisa wako kwa ajili hiyo. Wingi wa mashabiki pamoja na spirit kubwa ya ushangiliaji, ni wazi hii ndio sababu tosha timu nyingi kula kichapo...
  3. JamiiForums Tanzania Pwani: Baada ya mvua kuharibu Barabara ya Chalinze – Segera, TANROADS waendelea na ujenzi hadi usiku

    Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini zimesababisha uharibifu katika Barabara ya Chalinze – Segera hasa eneo la Kimange Mkoani Pwani. Awali baada ya kudaiwa njia hiyo imefungwa kutokana na mvua iliyonyesha Aprili 15, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo alisema “Barabara ilifungwa...
  4. JamiiForums Tanzania Drones mpya za kisasa zashambulia na kuharibu mifumo ya kiulinzi ya Urusi

    Hizi aina mpya za drones ni muziki tofauti. Ukrainian forces just destroyed two expensive Russian air defense systems using one of their new loitering attack drones according to a video released from the encounter. The video was published by volunteer fighter Serhii Prytula according to...
  5. JamiiForums Tanzania Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

    Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini? Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi...
  6. JamiiForums Tanzania Bashe alitupia lawama Bunge kuharibu Kilimo

    Waziri Bashe jioni hii akichangia bungeni ameutupia lawama Mhimili wa Bunge kuwa ndio umesababisha kuharibu kilimo na kusisitiza kuwa kamwe Serikali ya Rais Samia haiwezi kufanya kosa hilo. Pamoja na lawama hizo nzito kwa watunga sheria..Kiti hakijaweza kutoa mwongozo wowote kuhusiana na jambo...
  7. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kuhusu tathmini ya uharibifu wa shamba baada ya mifugo kuharibu shamba?

    Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu kwanini Matajiri wengi hawaendi Makanisani, na wakienda wanaenda wakiwa wamechelewa sana

    1. Waumini na watumishi, ombaomba. Kuna watu mabingwa wa kuscan watu wenye uwezo na kuanza kuwapiga mizinga. Wakati mtu kaja kuabudu waabuduji wenzake na watumishi wanamvizia wampige vibomu. Hali hii ikizidi inafukuza watu wenye uwezo kifedha. Inakuwa ni kero. 2. Mahubiri mengi yamelenga...
  9. JamiiForums Tanzania Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful! Kwa maoni yako endelea;
  10. JamiiForums Tanzania Kutafuta chief popularity Kwa kuharibu misingi ya Elimu nchini

    Kiongoz anaingia madarakani. Anaanza. 1. Kufuta ada. 2. Kuongeza madarasa. 3. Kuondoa mitihani. 4. Kuweka kitu kipya. 5. Ameona inafaa, what,why! 6. Kupaka wanja. 7. Kuvaa pensi. 8. Kupiga singeli. Eti jangwani, Azania sekondari sio shule teule. Ref. Waliopangiwa shule za sekondari 2023 Jamani
  11. JamiiForums Tanzania DR Congo: Mafuriko yaua watu 141 na kuharibu nyumba 38,000, Rais atangaza siku 3 za Maombolezo

    Taarifa ya Wizara ya Afya imesema hadi kufikia leo Desemba 14, 2022 imehesabu miili 141 na kuongeza kuwa idadi inaweza kuongezeka kadri utafutaji unavyoendelea. Zaidi ya nyumba 38,000 zimekumbwa na Mafuriko na nyingine 280 zikiporomoka jijini Kinshasa, eneo lenye Wakazi Milioni 15...
  12. JamiiForums Tanzania Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

    Sasa ni wazi. Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima. Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao dunia huru haiwezi kuukubali. Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso. Wameamua kuifanya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Uislam ni dini inayoleta vurugu na kuharibu amani ya ulimwengu

    Habari wananchi. Neno uislam ni neno lenye asili ya Kiarabu ambalo maana yake ni unyenyekevu. Kwa uhalisia uislam hauna unyenyekevu na uvumilivu ndani yake. Wanachokifanya Alshabab, Alqaeda, Islamic state, Bokko haram, na vikundi vingine vya itikadi kali ndio taswira halisi ya Uislam...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kuharibu alama za mipaka (beacons)

    Kwa mujibu wa Sheria ya Upimaji na Ramani Sura Na. 324 ya Mwaka 1957 na kama ilivyorekebishwa Mwaka 1997, ni kosa la jinai kwa kuharibu au kusogeza alama za mipaka. Chini ya Sheria hii Vifungu Na.11 na Na.12 vinatoa adhabu ya Faini au kifungo au Vyote kwa pamoja na kugharamia alama...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani: Kimbunga IAN chaua watu 45 na kuharibu nyumba zaidi ya 80,000

    Pia, Kimbunga hicho kinachoanza kutoweka kimeharibu takriban nyumba 80,000 katika mji wa Fort Mayers, na kuwaacha gizani zaidi watu Milioni 1.8 kutoka miji kadhaa ya jiji la Florida. Kituo cha Taifa cha Udhibiti wa Vimbunga cha Marekani, (NHC) kilisema Kimbunga Ian kilichopungua nguvu kufikia...
  16. JamiiForums Tanzania Azam mnaenda kuharibu Mchezo wa Ngumi. Watu wakishaona haya maigizo mara mbili tatu wanaachana na Huu Upuuzi

    Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni. Lakini pia hiyo tabia kuna watu wataacha kabisa kufuatilia mchezo wa ngumi. Sababu inaonekana kabisa...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu simamia watu wa TCU, wanaelekea kuharibu mfumo wa elimu ya juu

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private). Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
  18. JamiiForums Tanzania Mali: Wanajeshi wa Ivory Coast washtakiwa kwa kuharibu Usalama wa Taifa

    Wanajeshi 49 wa Ivory Coast waliokuwa wamezuiliwa kwa zaidi ya mwezi mmoja nchini #Mali baada ya kushutumiwa kuwa mamluki, wamefunguliwa mashtaka ya kujaribu kuharibu usalama wa taifa na kuwekwa rumande. Ivory Coast imekanusha shtaka la shughuli za mamluki na imekuwa ikitoa wito wa kuachiliwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Attention: Hakuna list official ya super league hadi sasa, CAF wanaenda kuharibu champions league

    Ndugu zangu naona vijembe vya wanayanga huku list wanayotumia ni ya yuleyule mbaya wao Micky jnr wa Ghana ambaye ndiye pekee hadi sasa aliyepost teams kumi. CAF hawajatoa list wamesema watatoa maelezo zaidi in coming days,ila msishangae hao Yanga wakawepo kwani hadi sasa jamaa ni kama hili...
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi msije hamishia hasira za mshahara mpya wa mchongo kuharibu Sensa 2022

    najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022 chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi! kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…