Wakuu wasaalam
Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari mwishoni kodi yangu inaisha na ninatakiwa kulipa kodi ya miezi sita kila nikiwaza nihamie kwa hatua...