NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA
je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU?
Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao?
Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
Wakuu salaam,
Naomba mnipe connection ili niweze kuhama kutoka halmashauri ili nihamie halmashauri x maana naona mfumo wa Ess sina hakika kama itaweza kunisaidia mimi kuhama kama kuna mjuzi wa kunisaidia ili nihame namuona inbox tafadhali
Salaam wanajamvi,
Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani?
Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa upo,
Tafadhalini mnishauri kwa upendo, nina vidonda vya tumbo.
Hi,
Happy New Year.
Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu...
Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote.
Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote Gaza kufuata maeneo waliyoambiwa ni salama lakini kila wanapofika maafa ni yale yale.
Mmoja wao...
Mimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao mazingira yake sio mazuri kuendana na afya yangu. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y.
Je, inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa kazini? Na nifanye nini ili uhamisho wangu uweze kukubalika?
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha Wafanyakazi cha CWT, ambapo Wilaya imetoa maelezo kuhusu kinachotakiwa kufanyika.
Awali, Mdau huyo alidai...
Kweli nimeamini mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni usiku toka nje ukaangalie kama kweli kiza kimetanda
Aliyekuwa kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere kipindi cha uchanguzi wa ndani wa chama chake hicho cha awali kutafuta mwenyekiti wa chama alikuwa upande wa Freeman
Alikuwa na kauli mbiu yake...
Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana
Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
Nimekutana na kauli nzito ya mjasiriamali wa teknolojia Isaya Yunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wabunifu wa Kiafrika katika zama mpya za Artificial Intelligence (AI).
Amesisitiza kuwa AI ni fursa ya kizazi hiki – inaweza kuleta mageuzi katika uongozi, uchumi, usalama, na hata Universal...
Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio
Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
🩸 "Sio dharau, ni self-protection!"
1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa
Mtaa una macho lakini hauna moyo.
Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui.
Kuhama ni kukwepa sumu ya midomo, wivu, na roho za kwanini.
2. 👉 Unajilinda na marafiki wanaotaka kula mafanikio yako...
Habari wakuu, naomba msaada
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya diploma in Clinical Dentistry nikiendelea na masomo yangu katika Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Ni mnufaika wa mkopo kutoka HESLB.
Kutokana na gharama kuwa nyingi chuo hiki Cha private Nina...
Habari Wana JamiiForums, The home of great thinkers.
Moja kwa moja niende kwenye mada. Kuna dogo yeye anasoma chuo fulani Cha diploma kozi ya diagnostic radiography cha private. Sasa kutokana na kile chuo kutokuwa na facilities za kutosha anahitaji kuhama kwenda vyuo vingine vya serikali maana...
Ni kweli kama uchaguzi ulikuwa mzuri na Mbowe alisimamia Demokrasia. Je hao G.55 walipatwa na nini. Njaa au kukosa maono ya maisha yao ya kisiasa. Asante Boni Umewasaidia Watanzania Bravo hotuba yako ina impact sana.
Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.