kufungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe Kufungwa na Azam, Tabora sio sababu kutimuliwa Gamondi, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Yanga afunguka

    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Alexander Ngai amesema maamuzi ya klabu hiyo kuachana na kocha Miguel Gamondi hayajatokana na matokeo ya kupoteza mara mbili mfululizo dhidi ya Azam na Tabora United. Ngai amesema Kuna sababu nyingi zilizowapelekea kuchukua maamuzi hayo huku akigoma...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uwanja wa KMC kufungwa kamera maeneo yote muhimu

    Habari za asubuhi waungwana! Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo. Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe mmoja wa wasimamizi wa uwanja alidokeza kuwa sehemu zitakazofungwa kamera ni pamoja na...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga kufungwa na Azam kumeiongezea umakini na makali

    Yanga ilifungwa na Azam lakini wanaYanga wanaona poa tu. Kufungwa huku sio udhaifu bali ni mwanzo wa wachezaji na walimu kuongeza umakini na juhudi kwenye mechi. Bila ya hivyo kiburi na kujiamini kulikopitiliza kungetamalaki kikosini. Hata wasanii wa hovyo walitunga nyimbo za kuwaaminisha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huwezi kufungwa mara 4 mfululizo kwa bahati mbaya, siku mkiukubali ubora wa yanga na kuwaheshimu mtafanikiwa kupata matokeo!

    Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba! Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua...
  5. JamiiForums Tanzania DIARA KUFUNGWA LEO KWA MARA YA KWANZA

    -Naitazama Forward Line ya Simba yenye Ateba,Kibu na Balua kisha naitazama Defense Line ya Yanga yenye Yao,Boka Job na Bacca. Yanga wakimkosa Bacca leo akacheza Mwamnyeto namuona Ateba akienda kushangilia kwenye kibendera... Namuona Diarra akienda kuokota mpira kambani kwa mara ya kwanza msimu...
  6. JamiiForums Tanzania Video: BMW X1 umeungua kizembe baada ya kufungwa mfumo wa gesi/CNG

    Wataalamu wa magari huwa wanashauri kuepuka matumizi ya gesi kwenye magari na badala yake ni Bora ununue hybrid car ili ufurahie maisha. Tumeona wengi wamefunga CNG eti Kwa kuepuka gharama za mafuta kitu ambacho ni matatizo baadae kwenye engine hata Huko ulaya walishaacha haya matumizi ya gesi...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya mfumo wa ulinzi wa THAAD kufungwa Israel ni bora raia wa iran kuhama nchi yao bila shuruti

    Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran. Jana Rais Joe Biden...
  8. JamiiForums Tanzania Elon Musk: Trump akishindwa Uchaguzi, naweza kufungwa na Democrats

    https://x.com/dogeofficialceo/status/1843382048767258909?t=snaDQf8FVMrm5Dx2zKuZzw&s=19 Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake. Hiyo ndiyo gharama ya kujaribu uhuru wa kujieleza. Bodi za makampuni yake zinaweza kumwondoa kwa kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga ridhikeni na pointi 3, timu zote zimesajili kupunguza kufungwa na Yanga magoli mengi

    Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga. Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3.
  10. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga bado Siku 3 watimize Mwaka 1 bila kufungwa kwenye ligi Kuu ya NBC!

    Nimeona mtandaoni Mkuu wa kitengo cha Digital, Crown Fm ameandika kuwa Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa kwenye Ligi Kuu ni Oktoba 4, 2023 bado siku 3 itimize mwaka mmoja pasipo kupoteza mchezo kwenye Ligi Ligi Kuu ya NBC PL. Eti wadau huyu anasema kweli au anatupanga maana huwa naona kama...
  11. JamiiForums Tanzania Chokri Khartoui kocha wa Al Ahly Tripoli afukuzwa kazi kwa kufungwa na Simba kibabe

    Amefanya kazi miezi miwili tu, Kweli mpira kazi ya ajabu sana. --- Al Ahli Tripoli has decided to sack their head coach Chokri Khatoui after failing to guide the team into the CAF Confederation Cup group stage on Sunday against Tanzanian giants, Simba SC.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mawasiliano kufungwa rasmi kupisha ujenzi wa karakana ya Mwendokasi

    Kituo cha Daladala Simu2000 kimefungwa leo Septemba 14, 2024 kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi. Karakana hiyo ni kwa ajili ya mradi wa mabasi hayo awamu ya nne. Viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Mkuu wa Idara ya Biashara, Viwanda na...
  13. JamiiForums Tanzania Kilichoiponza azam fc hadi kufungwa bao nne na yanga ngao ya jamii

    Angalia na sikiliza kwa makini katika video hii hapa kocha wa azam akihojiwa
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupewa hukumu ya kufungwa katika rushwa ya ngono?

    Sijawahi kuona mantiki ya hizi harakati za kinachoitwa rushwa ya ngono, huu ni kama ubabaishaji, ujanja wa kujipatia kipato kwa harakati uchwara na kuipoteza muda tu jamii.
  15. JamiiForums Tanzania Simba wana haki kufurahia kufungwa goli 1

    Kwa mpira unaochezwa na Yanga Ni haki Simba kufurahi kukwepa hii dhahama ya kupigwa mvua walinusurika
  16. JamiiForums Tanzania Watakaojiandikisha kuwa wapiga kura zaidi ya mara moja kufungwa jela miezi sita

    Wananchi watakaofanya udanganyifu ili wajiandikishe zaidi ya mara moja wanatenda kosa na wakibainika wanaweza kufungwa jela kifungo kisichopungua miezi sita na kulipa faini. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Julai 25, 2024 wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Mzee Magoma na wenzake kufungwa kifungo cha maisha kwa kufoji nyaraka za mahakama

    Kufuatia sakata la Viongozi wa Yanga kutakiwa kuachia madaraka baada ya baadhi ya Wazee wa Club hiyo kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakili wa Mahakama kuu Dedan Kapongo ametolea ufafanuzi wa kisheria kuhusu tuhuma zilizosemwa na Mkurugenzi wa sheria wa Yanga kwamba Wazee...
  18. JamiiForums Tanzania Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

    Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
  19. JamiiForums Tanzania Maduka kufungwa nani alaumiwe?

    Mugomo ulioanza Jana Dar es salaam sasa umefika jijini kwanza Leo maduka yote makubwa ya mefungwa. Jijini kwanza. Kusema kweli huu si utamaduni wetu.watanzania wafanya biashara wanadai haki zao. Selikari nayoinatimiza wajibu wake swali ni Je Nani anawajibika kuleta suruhu la kudumu
  20. JamiiForums Tanzania Maduka mengi yaendelea kufungwa Kariakoo, Jumanne ya Juni 25, 2024

    Licha ya kuripotiwa kuwepo kwa suluhu kwenye baadhi ya madai ya Wafanyabiashara waliyowasilisha Serikalini na kufanyika kikao cha pamoja lakini mpaka kufikia Saa tatu Asubuhi hali ya mgomo inaonekana kuendelea maeneo ya Kariakoo ambapo maduka mengi yameendelea kufungwa. Itakumbukwa kwamba jana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…