kufungiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    🇹🇿Je, Tanzania inaweza kufungiwa na FIFA kutokana na sakata la derby (Yanga vs Simba) na uchaguzi wa TFF?

    Habari.... 1. Sakata la Derby Mechi ya watani wa jadi (Yanga na Simba) imekuwa na mvutano mkubwa. Yanga wamepinga maamuzi ya Bodi ya Ligi (TPLB) na TFF, wakidai kuna upendeleo na hujuma. Waligoma kucheza baadhi ya mechi, na waliwasilisha malalamiko yao hadi kwa viongozi wa serikali. Hii...
  2. Suala la kanisa kufungiwa linaniumiza moyo wangu

    Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura. Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na...
  3. K

    TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!

    TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!. Chadema imefungiwa hata kabla kesi yake haijasikilizwa, kanisa la gwajima limefungiwa bila yeyote kusikiliza kesi au onyo, Lissu kafungwa kama hata kesi yake haijasikilizwa, mshahidi mpaka leo wa siri na hakuna...
  4. Askofu Mwanamapinduzi wa kanisa la Ufufuo na uzima afafanua mwanzo mwisho kanisa kufungiwa. Kesi imesikilizwa, Hukumu ni kesho J'4. DPP atajwa

    https://youtu.be/WKvWtoKpLJs?si=ZqVSuExXQMtxQOv2 √ Huyu ni mmoja wa maaskofu walio chini ya Askofu mkuu wa kanisa la Jumba la Ufufuo na Uzima chini ya usajili wa Glory Christ Tanzania Church (GCTC) Mch Josephat Mathias Gwajima Anasema: 1. Kanisa halikuwahi kupewa notice au onyo au hata nafasi...
  5. R

    Salaam kutoka Jimbo la Indiana Marekani kuhusu kufungiwa makanisa

    Nadhani huyu ni mtanzania kwa lafdhi yake. Msikilize.
  6. W

    James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

    "Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
  7. Nasikitika kwamba suala la kufungiwa Glory Church linapelekwa mahakamani

    Lile ni jambo la kufanyiwa uamuzi tu. Arresting a house maana yake the whole house is corrupt. Kwa mfano nyumba ya wavuta bangi, au danguro, linafungwa. Lakini unafungia vipi Kanisa ambalo Askofu mmoja ameongea dhidi ya serikali wakati wapo wachungaji wengine mia moja ambao hawajasikika...
  8. Ikitokea Rais Samia akakemea kufungwa kanisa la Gwajima na kutengua uteuzi wa Bashungwa CCM hawatamsifia?

    GTs, Hebu fikiria tu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya...
  9. B

    Baada ya Kanisa lake kufungiwa, kifuatacho ni kuvuliwa uanachama wa CCM na kukosa sifa za kuwa Mbunge ili asipate Mafao yake ya ubunge

    Baada ya Kanisa lake kupigwa pini ifuatacho kwa Askofu Josephate Gwajima ni kuvuliwa uanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) na kukosa sifa ya kuwa Mbunge Lengo la CCM na Serikali yake yake ni mkunyoosha Gwagima ili akose fedha na kumnyong'onyesha kiuchumi awe anyone asiwasemee wananchi...
  10. R

    Just for curiosity, inafuata zamu ya kanisa gani kufungiwa?

    Katoliki wamekuwa vocal, though at a low profile. Lakini kitenda cha kumdhuru Fr. Kitima ni hatua moja kuelekea kulifungia Katoliki!
  11. Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

    Wasalaamu Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha, Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe 1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania, 2...
  12. Sababu za VAR kufungiwa stoo zimejulikana.

    Itakuwa aibu kuwa na VAR huku marefa wakitumia VAR hata Kwa matukio yanayoonekana Kwa macho ya kawaida.
  13. Simba kufungiwa kushiriki mashindano ya CAF miaka miwili

    Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya. CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa Adhabu nyingine, Simba atatakiwa kulipa faini ya dollar million 1 Mashabiki wa Simba walifanya vitendo visivyo vya kiungwana...
  14. Ufafanuzi wa kina kuhusiana na kufungiwa kwa mtandao wa X na mingineyo kwa madai ya account za Serikali kudukuliwa

    Kwanza nitoe pole kwa mamlaka za Serikali kwa changamoto hii kubwa ya kudukuliwa kwa account za Serikali Tatizo hili limesababishwa na baadhi ya viongozi wa Serikali wasio na uadilifu walioamua kuwapa wahalifu nywila za kuingia kwenye kurasa za Serikali Taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusiana...
  15. Chief GodLove ulikuwa huwajui Wakenya naona sasa utawajua kwa Nguvu yao ya Kimtandao. Pole kwa Kufungiwa TikTok Account yako

    Kuna siku nilikuja na Uzi hapa JamiiForums wa kuulizia huyu Chief GodLove ni nani ukafutwa haraka sana na sijui kwanini.
  16. Ally Kamwe: Habari za kufungiwa sio za kweli TCRA washughulikie taarifa kama hii

    "Na mimi nitumie nafasi hii kuwaomba watu wanashughulikia mitandao ya kijamii (TCRA) washughulikie taarifa kama hii, kwasababu Unapotoa taarifa kama ile huenda una vyanzo, lakini madhara ya taarifa kubwa kama ile ni makubwa kweli kweli, ule usiku wa taarifa imetoka nilienda kukesha hospitali na...
  17. Ali Kamwe adai taarifa za kufungiwa ni tetesi tu!

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ali Kamwe amesema hajapokea taarifa yoyote ya yeye kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka, kwani bado hajapokea barua kuhusu suala hilo. Akizungumza kwenye mahojiano na Kituo cha Redio cha Wasafi FM Machi 07, 2025 Kamwe amesema hajui taarifa hizo...
  18. Ally Kamwe: Tetesi za kufungiwa zilimpeleka mama yangu hospitali, alipata mshtuko

    Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi...
  19. Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
  20. Wastaafu waangua kilio kwa kufukuzwa na kufungiwa geti, nyumba za TBA

    Familia mbili za Wastaafu wa serikalini ambao walikuwa wakiishi katika nyumba za Wakala wa majengo (TBA) jijini Arusha wanakumbwa na hali ya sintofahamu baada shirika hilo kuwafurusha kwa kutoa vitu vyao nje kwa madai ya kushindwa kulipa kodi. Familia hizo zinadai ni takribani mwezi mmoja sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…