kufungiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Tukio la Kipa wa Yanga, Diarra kuwaonesha Wanahabari kidole cha kati , imenikumbusha Chuji alivyofanya hivyo akafungiwa

    Nimeona clip ya Kipa wa Yanga, Djigui Diarra akioneshea kidole cha kati cha mkono wake wa kushoto kuelekea kwa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiwarekodi Wachezaji wa timu hiyo wakati wakielekea katika basi ili kuondoka kwenye Uwanja wa Jamhuri baada ya matokeo ya sare ya 1-1 dhidi ya Mtibwa...
  2. A

    KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  3. Genius Man

    Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka

    Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka.
  4. R

    Tukumbushane: kufungiwa JF kunaisha lini?

    Nilitegemea hili la uchaguzi , kufungiwa internet na kufunguliwa litainasua JF.... Hii ni mpaka lini?
  5. Tronics guru

    Kweli nimeamini Kila mtu atafikiwa asee,JF kufungiwa imefanya biashara imekua ngumu sana

    JF kufungiwa biashara hazifanyiki kabisa humu asee, traffic imekua chache mno,simu haziiti kabisa tangu TCRA waufungie huu mtandao. Wateja wa JF sio wa wengi ila hua wamenyooka aloo tofauti na huko tunakolipia matangazo. Meta ads unalipia dollar 25 kwa siku but returns hakuna kabisa. Huu...
  6. britanicca

    Melo ataja sababu za JamiiForums kufungiwa

    Katika mazungumzo na The Chanzo amefunguka kuhusu kwanini TCRA wameifungia JamiiForums kwa siku 90 Tukiwa wenye akili timamu kabisa tunajua kuwa bila kupigania haki kwa udi na uvumba hatutoboi https://youtu.be/YLRFPaPTlOA Hatutanyamaza Britanicca
  7. figganigga

    Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

    Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais. Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa. Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
  8. ngara23

    Habari za huko TANZANIA, kufungiwa Kwa Jamiiforums ni ishara ya ushindi wa umma

    Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia CCM na njama zake wanakaribi kuanguka, wamegusa pabaya.mara hii Jamiiforums ni kubwa mno, yaani jamii forums...
  9. bro alex

    JamiiForums kufungiwa mimi nimehusika, tuheshimiane

    Ilikuwa Jumatano siku za nyuma hivi mawiki kadhaa, niliamka masikini nikiwa na furaha TU vizuri, ndo nilipopata wazo la kutoa Uzi kubadilishana mawazo, katika hali isio tegemewa ghafla mambo yalienda tofauti, nilipolomoshewa matusi ya nguoni hadi wazazi wangu walitukanwa kwa makosa wasio yajua...
  10. DELETED ACCOUNT

    Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  11. Fbn

    Kufungiwa kwa JF ila utashangaa wale chawa nao wakaja wanatumia VPN kueleza mama kaachia uhuru

    Hii nchi kuna watu akili hawana hawa chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa usije shangaa baada ya mda wanakuja na nyuzi zao kusifu CCm. Kama mnabisha subiri mjionee na wao wanatumia VPN
  12. Damaso

    Kufungiwa kwa Jamii Forums: Umoja na Sauti ya Watanzania

    Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano. Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja...
  13. Mshana Jr

    Je taarifa ya kufungiwa JF kwa siku 90 ina mapungufu?

    Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapa Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya pia Na mwisho ni hii barua rasmi ya TCRA ambayo "nadhani" ndio ina hayo maelezo yote Pamoja na utata huo na...
  14. Genius Man

    Suala la kufungiwa kwa makanisa na majukwaa pamoja na kuteka ni jaribio la kutaka kuiteka nchi

    Hivi vitu vyote utekaji, mauwaji, ubambikiwaji wa kesi, uhalifu kwa viongozi wa dini na kufungiwa kwa JamiiForums ni jaribio la kutaka kutoa vitisho ili waiteke nchi kila mtu hawaogope. Sasa kuna wahaini wanajaribu kujimilikisha hii nchi wanajaribu kupata control ya kila kitu, nchi bado haija...
  15. Roving Journalist

    TTCL: Kufungiwa Huduma za Fiber ni bure, wanaodaiwa kuchukua rushwa hatua zitachukuliwa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa na tabia ya kuwataka wateja kulipia gharama (Rushwa) za miundombinu ikiwemo nguzo ili waweze kupata...
  16. Jokajeusi

    Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  17. 26 Life

    Mitandao inaweza kupata shida usiku huu wakati Polepole anapozungumza lakini akimaliza utaona inarejea kwenye hali yake

    Kama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo. Bhasi...
  18. JanguKamaJangu

    KERO Responded Wananchi Kawe: Ujenzi wa Kanisa la Mwamposa umetusababishia kukosa Maji na kufungiwa barabara

    Baadhi ya wakazi wanaoishi karibu na eneo linalodaiwa kujengwa Kanisa la Arise and Shine (Kawe), linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wameeleza malalamiko yao kuhusu athari zinazodaiwa kusababishwa na ujenzi huo. Wakizungumza Julai 1, 2025, Saa tatu asubuhi mbele ya Mkuu wa Wilaya ya...
  19. V

    Kufungiwa Kanisa la Gwajima, Uhuru wa Kuabudu na Hatima Yetu

    Tafadhali mods naomba muuache uzi huu ili tuulizane na kupata majibu ya maswali yanayohusu hatima yetu. Wadau wa JF na Watanzania wote. Ni juma la tatu sasa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Gwajima limefungwa na kusababisha Waumini kunyimwa haki yao ya Kikatiba juu ya uhuru wa...
  20. B

    🇹🇿Je, Tanzania inaweza kufungiwa na FIFA kutokana na sakata la derby (Yanga vs Simba) na uchaguzi wa TFF?

    Habari.... 1. Sakata la Derby Mechi ya watani wa jadi (Yanga na Simba) imekuwa na mvutano mkubwa. Yanga wamepinga maamuzi ya Bodi ya Ligi (TPLB) na TFF, wakidai kuna upendeleo na hujuma. Waligoma kucheza baadhi ya mechi, na waliwasilisha malalamiko yao hadi kwa viongozi wa serikali. Hii...
Back
Top Bottom