Hili halihusiani na wanawake kurudi kujifungulia kwao, ni wanawake wanaotaka kurudi kwao moja kwa moja.
Ndugu wana nafasi yao kubwa sana lakini ndoa ni muungano wa mume na mke kuunda maisha yao pamoja. Kwa mfano, kama umekulia nyumbani kwa wazazi wako, hiyo haimaanishi hawakuwa na ndugu zao ...
Habari? Je, Kuna uwezekano mchumba yuko Tanzania na mchumba mwingine yuko japan halafu mchumba aliye Tanzania na na wadhamini wake na WAZAZI wa pande mbili wakaenda kwa ofisi ya DC na wakafanya ndoa kutumia online platform zoom su google meet mbele ya bwana harusi na mpambe wake?vyeti vikatumwa...
Ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine , ni ubatili mkuu kama serikali ya CCM .Lakini hasara za kutapeliwa katika ndoa zinatofautiana kati ya mtu na mtu ..Hivyo basi wewe kama kijana ili walau uwe sehemu ya watakaopata hasara ndogo ya utapeli huu wa ndoa ,fanya haya ayasemayo Mwehu ndama jabali...
Wenye ndoto za kuoa na Mahali ni kipengele baasi tumsikilize huyu mgombea wa CCK
==
CHAMA cha Kijamii (CCK) kimewataka Watanzania, hususan vijana, kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Ubunge na Udiwani unaotarajiwa...
Ukisikia zali la mentali au dua zime tiki basi ndio hili, maana baada ya kusikia taarifa hii basi naona hii ndio turning point yangu.
Taarifa zenyewe ni kuhusu brother mmoja ambae ni Kama mpinzani wangu, kwenye biashara fulani fulani hivi,
Brother huyu katangaza kuwa atafunga ndoa ndani ya...
Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?
Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo nao wanawasindikiza waislamu katika ibada hii ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.
Hivyo kufunga...
Ee bhana eeh huu mwaka umeanza na mbio sana. Huu mwaka utaisha haraka maana si kwa raha hizi!! Ukiangalia mbele raha nyuma raha pembeni raha!! Ni raha juu ya raha!!
Baada ya jux kufunga ndoa, na Hamisa nae anafunga ndoa tarehe 26 mwezi huu wa pili.
Tetesi ambayo ni hoti ni kwamba, Wema Sepetu...
Muigizaji Hamisa na mchezaji wa soka Aziz Ki kufunga ndoa mwaka huu, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili ya video wakila bata Dubai, wakitumia hashtag #MissaKi2025.
Hili linakuja wiki chache baada ya Mobetto kumtambulisha Aziz Ki, MVP wa msimu uliopita Ligi Kuu ya NBC.
Soma, Pia...
Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa.
Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach, nk... wakiwa na furaha kabisa huku wakikubali kurekodiwa na kutoa ushirikiano wa hali ya juu kabisa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi.
Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
Iko hivi!
Huyu mwamba Ali kuwa na Mpenzi wake ambaye Mwanachuo. Mwamba ni alisha maliza chuo kitambo kwa anapiga zake kinanda kwenye moja ya church hapa Town. Mwaka wa pili mwanzoni Manzi akadaka ujauzito. Akajifungua mwaka watatu mwanzoni.
Wakalea mpaka Manzi alipo hitimu chuo. Mwamba huduma...
Habari za jumapili wanajamii forums
Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya waliofunga ndoa na wasiofunga ndoa.Ukiangalia kiundani wanandoa wengi wanachepuka balaa ni wazinzi wa...
Kuzaa mtoto nje ya ndoa mara nyingine kunaweza kuleta changamoto na kero kadhaa kwenye familia hasa bara letu la Afrika. Baadhi ya mambo ambayo nimeona kwa watu ambao wamezaa au kuzalisha nje ya ndoa (watoto waliopatikana ujanani) ni;
• Mambo ya Kihisia: Kuzaa mtoto nje ya ndoa kunaweza...
Sijajua imetokea nchi gani nafikiri kati ya Congo au West Africa kule.
Afu Ex wake inasemekana alihudhuria kwenye ndoa.
Nguo za zamani hazitupwi.
Cha kushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳.
Mshikamawili moja umponyoka.
Kuna scenarios nyingi ambazo kwa mtu mwenye uelewa anaweza jiuliza bila ya kupata majibu. Mfano;
1. Unakuta mwanamke amezaa na mwanaume watoto 3 na wanaishi pamoja ila mwanamke analalamika kwamba bado hajaolewa na anatafuta mwanaume wa kumuoa.
2. Mwanamke anaishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka...
Nimejaribu kutafakari ni kwanini kasi ya kupeana talaka na migogoro ya kwenye ndoa imeongezeka mara dufu katika zama hizi kuliko kipindi chochote kile na nilichokibaini ni kwamba kuna mahali tunakosea.
Ikumbukwe kuwa watu wanapoamua kuishi pamoja kama mke na mume au kufunga ndoa ni moja ya...
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa.
Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili.
Natanguliza Shukrani.
Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.