kufumania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jambo Kubwa

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma. Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo. Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
  2. Tlaatlaah

    Akifumaniwa au kufumaniwa afanyeje?

    Kwa uchache, Fumanizi ni miongoni mwa matikio ya aibu na fedheha, ghadhabu, hasira na uchungu sana kwa wahusika. Hamu ya tendo inawakata kabisa, nguvu zinawaishia, sauti zinawakatia hazitoki vizuri, maneno yanawaisha ya kusema. Kiufupi wahusika wanakua kama wameparalyese hivi. Wanakua mabubu...
  3. Tien corrector

    Mrejesho kuhusu kufumania Shemeji yangu

    Kwanza kabisa nipende kuwapa pole wanajavi wote kwa changamoto ya corona na pole zaidi kwa waliopoteza ndugu zao. Tuzidi kumwomba mwenyezi MUNGU na kuchukua tahadhari Inshallah tutavuka salama. Leo napenda kuleta mrejesho wa thread yangu ya week kadhaa zilizopita niliyoiandika hapa hapa yenye...
  4. JEKI

    Waliowahi kufumania wapenzi/wake zao tupeane uzoefu

    Wanajukwaa, Moja ya mambo yanayoweza kukuua ni hili la kufumania mpenzi au mkeo na hasa akiwa katikatikati ya sita kwa sita na jamaa mwingine. Mliowahi kufumania leteni uzoefu wenu na nini cha kufanya kuepuka mauaji au madhara mengine yanayoweza kutokea. Kitu gani hasa kinakuuma unapofumania au...
  5. Liverpool VPN

    Sikukuu yote hii eti nimefumania...

    .... Delete ... Moderator Please delete huu Uzi.
Back
Top Bottom