Waliowahi kufumania wapenzi/wake zao tupeane uzoefu

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,812
2,000
Wanajukwaa,

Moja ya mambo yanayoweza kukuua ni hili la kufumania mpenzi au mkeo na hasa akiwa katikatikati ya sita kwa sita na jamaa mwingine. Mliowahi kufumania leteni uzoefu wenu na nini cha kufanya kuepuka mauaji au madhara mengine yanayoweza kutokea. Kitu gani hasa kinakuuma unapofumania au kugundua mpz wako analiwa.

Karibuni.

1623145879073.png

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
5,514
2,000
Niliwafumania mbwa wanafanya mapenzi nje ya nyumba yangu. Kabla binti zangu hawajatoka kuona, nikawatawanya kwa rungu. Hao.... Vinginevyo ingekuwa aibu.

Siku nyingine andika kichwa cha mada kwa herufi ndogo ili kuondoa ususmbufu wa moderator kurekebisha. Umeona wangapi humu wameandika vichwa kwa herufi kubwa?
 
GEMBESON

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,167
2,000
Jamii ya kimasai wameweza kudhibiti hii kitu kupitia viongozi wao wa kimila.

Ukikuta mtu wa rika lako anamshugulikia mkeo, wewe pia nenda kwake kafanye hivyo hivyo na kesi imeisha. Hakuna mambo ya wivu.
 
Amehlo

JF-Expert Member
May 8, 2019
2,419
2,000
Jamii ya kimasai wameweza kudhibiti hii kitu kupitia viongozi wao wa kimila.

Ukikuta mtu wa rika lako anamshugulikia mkeo, wewe pia nenda kwake kafanye hivyo hivyo na kesi imeisha. Hakuna mambo ya wivu

Hahahaha, hii naona safi sana.
 
Luvanga1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,013
2,000
Unafumaniwa alafu unakubali kizembe... Mimi niliwahi kukataa mazima sio Mimi,
 
Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,279
2,000
Mimi nilifumaniwa kwa sms..........mume wake alichukua simu ya mkewe toka asubuhi anayo, kumbe mumewe alikuwa amishahisi mchezo anaofanya mkewe na mimi, sasa mume wake alikuwa anaijua namba yangu akatuma sms kwenye simu yangu nikadhani ni mke wake, Daah! jamaa akaniambia ana hamu sana anataka siku hiyo agegedwe, loh! nikamwambia tukutane pale pale lodge nikaitaja!!....ni maeneo ya kwao huko wanapoishi.....

Jamaa akaniambia nikifika na nikachukua room nimwambie, muda huo najua nachart na mke wake........nikaenda nikachukua room akaniuliza namba ya room nikamwambia namba 19.....baadae machale yakanicheza kwamba niende getini nichungulie...........nafika tu getini loooh!!
 
INTERGRITY

JF-Expert Member
Jan 19, 2021
430
1,000

Hukuchezea kifiro?
 
Franky Samuel

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
1,235

Ukaludishwa ndani kwa nguvu
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,665
2,000
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mimi nilifumaniwa kwa sms..........mume wake alichukua simu ya mkewe toka asubuhi anayo, kumbe mumewe alikuwa amishahisi mchezo anaofanya mkewe na mimi, sasa mume wake alikuwa anaijua namba yangu akatuma sms kwenye simu yangu nikadhani ni mke wake, Daah! jamaa akaniambia ana hamu sana anataka siku hiyo agegedwe, loh! nikamwambia tukutane pale pale lodge nikaitaja!!....ni maeneo ya kwao huko wanapoishi.....

Jamaa akaniambia nikifika na nikachukua room nimwambie, muda huo najua nachart na mke wake........nikaenda nikachukua room akaniuliza namba ya room nikamwambia namba 19.....baadae machale yakanicheza kwamba niende getini nichungulie...........nafika tu getini loooh!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom